The House of Favourite Newspapers

Boti Yazama, 50 Wanusurika Kifo

0

ABIRIA zaidi ya 50 wamenusurika kufa baada ya boti yao iliyokuwa ikisafiri kutoka Kilindoni – Mafia kwenda Nyamisati – Kibiti kuzama jana Jumatatu, Desemba 30, 2019, asubuhi baada ya kuzidiwa na mawimbi.

 

Mbunge wa Mafia, Mbaraka Dau, amethibitisha tukio hilo na kusema abiria wote waliokolewa na hakuna majeruhi zaidi ya watu kupoteza mizigo yao.

 

Abiria walionusurika wamesema boti hiyo ilizama baada ya maji kuanza kuingia ndani huku pampu za kutolea maji zikizidiwa na kushindwa kufanya kazi vizuri.

 

STRAIKA MPYA YANGA “SIWEZI Kuongelea SIMBA VS YANGA :Njooni Uwanjani Mnione”

Leave A Reply