The House of Favourite Newspapers

Brandy atelekezwa na ujauzito

Brandy
Brandy.

 

MKONGWE katika Muziki wa R&B, Brandy Rayana Norwood ni mjamzito ambaye ametelekezwa na aliyekuwa mpenzi wake, Rapa Sir The Baptist.

 

Brandy na Sir wameachana miezi michache iliyopita kwa madai kuwa Sir si mwaminifu katika mapenzi. Brandy alionekana akiwa peke yake jijini New York huku kitumbo chake kikiwa kimeanza kuonekana kwa kasi ambapo inadaiwa kuwa analea mimba hiyo peke yake.

 

NA: MWANDISHI WETU| IJUMAA| KWA MSAADA WA MITANDAO

Comments are closed.