The House of Favourite Newspapers

Breaking: Antonio Conte Kocha Mpya Tottenham

0
Klabu ya soka ya Tottenham imemthibitisha Antonio Conte kuwa kocha wao mkuu baada ya kumtimua Nuno Espírito Santo. Conte mwenye miaka 52, aliachana na Inter Milan baada ya kuipa ubingwa wa Italia msimu uliopita wa 2020-21.
Leave A Reply