The House of Favourite Newspapers

Breaking: Baba Mzazi wa Dkt. Slaa Afariki Dunia – Video

Peter Qamara Slaa (98), baba mzazi wa Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Dk Wilbroad Slaa amefariki dunia jana Jumatatu Novemba 18, 2019 kwa ugonjwa wa moyo.

Kwa taarifa zilizopo ni kwamba mzee slaa alikuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa moyo kwa zaidi ya miezi nane.

Comments are closed.