The House of Favourite Newspapers

Breaking: Basi La Abiria Laacha Njia Na Kugonga Nyumba

0

Basi la Ulamaa lenye namba za usajili T330 DGB lililokuwa likitokea jijini Mwanza kuelekea Arusha, limepata ajali alfajiri ya leo Juni 30, 2021 kwa kuacha njia na kugonga nyumba eneo la Mkolani darajani jijini Mwanza.

Taarifa zinaeleza kwamba  ndani ya nyumba kulikuwa na watu 6, hakuna taarifa za vifo na majeruhi wa ajali hiyo wamekimbizwa Katika Hospitali ya Butimba.

Leave A Reply