The House of Favourite Newspapers

BREAKING: Basi La Mwendo kasi lawaka moto Ubungo (Picha +Video)

Basi la Mwendokasi likiwaka moto mchana wa leo.

Basi la mwendokasi mchana wa leo limewaka moto katika Injini yake maeneo ya Ubungo kituo cha Ubungo Maji jijini Dar es Salaam ambapo zimamoto walitokea na kufanya shukhuli za uzimaji.

Polisi wamefika katika eneo hilo na kutoa taarifa ya madhara yaliyotokea katika tukio hilo sambamba na kueleza chanzo halisi cha tukio hilo lililozua taharuki kwa abiria wa magari hayo na wakazi wa jijini Dar es salaam.

Wananchi wakiendelea kuzima moto huo.

PICHA: GLOBAL TV ONLINE, GPL

Comments are closed.