The House of Favourite Newspapers

INATISHA! Alala Kuamka, Mguu Umekatwa, kilichotokea utatoa machozi! – VIDEO

Kijana Charles ambaye kwa sasa ni Mkazi wa Kivule jijini Dar es salaam amejikuta kwenye wakati Mgumu sana baada ya kupata Matatizo makubwa akiwa ofisini kwake Tabata Segerea hali iliomsababishia kukatwa Mguu.

      Charles ni Fundi cherehani wa kisasa mwenye ujuzi mkubwa wa kubuni mitindo tofautii tofauti ambapo kwa sasa ameshindwa kuendelea na shughuli zake kutokana na Maumivu makali alionayo,

Kupitia Global Tv amefunguka Mkasa mzima na kilichomtokea , baada ya kuangalia Video hii Charles anahitaji Msaada wako ili aweze kununua mguu wa bandia wenye thamani ya shilingi milioni 5

Comments are closed.