The House of Favourite Newspapers

CUF Waanika Mchezo Mchafu Waliyofanyiwa Kwenye Uchaguzi – Video

Chama cha Wananchi (CUF) kimezungumza na waandishi wa habari leo na kuelezea kila walichokiona katika uchaguzi mdogo uliofanyika Agosti 12 mwaka huu katika majimbo Buyungu, mkoani Kigoma, Arusha.

CUF wamemlalamikia Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) jimbo la Korogwe kwa kuwafanyia hujuma za kutopokea fomu ya mgombea wao.

VIDEO: FUATILIA TUKIO ZIMA HAPA

Comments are closed.