The House of Favourite Newspapers

#Breaking: Ghorofa Lawaka Moto Kenya – Video

0

MOTO mkubwa umelipuka na kusababisha taharuki miongoni mwa wakazi wa eneo la Matopeni Kayole baada ya jengo refu la ghorofa lililopo eneo hilo linalofahamika kama A3 Store kuungua moto.

 

Watu wawili wamejeruhiwa na kupelekwa katika Hospitali ya Taifa ya Kenya kufuatia mlipuko huo ambao vyombo vya ulinzi na usalama nchini humo vimesema vinaendelea na uchunguzi kubaini nini hasa chanzo cha moto huo.

 

Aidha, hakuna vifo vilivyoripotiwa kutokana na moto huo huku chanzo cha moto huo kikiwa hakijajulikana bado mpaka sasa. Jengo hilo refu lenye lilijengwa na Wa-Norway miaka ya zamani.

Na Innocent Matara – Global TV Kenya.

 

ENDELEA KUFUATILIA GLOBAL TV ONLINE KWA TAARIFA ZAIDI

Leave A Reply