The House of Favourite Newspapers

Breaking: Meli Yaungua Bandarini Pwani

0

Meli ndogo ya mizigo iliyokuwa imepakia mapipa ya petroli katika bandari ndogo ya Nyamisati wilayani Kibiti mkoani Pwani iliyokuwa ikielekea wilayani Mafia, imewaka moto Feb 26, 2022.

Kwa mujibu wa kamanda wa polisi wa mkoa huo, watu sita wamejeruhiwa, mmoja wao hali yake mbaya na amehamishiwa hospitali ya Muhimbili kwa matibabu zaidi.

Leave A Reply