The House of Favourite Newspapers

BREAKING: MKUU WA MKOA MSTAAFU, ABBAS KANDORO AFARIKI DUNIA

TANZIA: Aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Abbas Kandoro amefariki dunia usiku huu wa Ijumaa, Aprili 27, 2018 katika Hospitali ya Taifa, Muhimbili alikokuwa amelazwa akipatiwa matibu.

Kabla ya hapo, Kandorro alikuwa amelazwa katika Hospitali ya Benjamin Mkapa jijini Dodoma.

Kabla ya kustaafu utumishi wake, Kandoro alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya kabla ya kumwachia Amos Makalla.

Aidha, Abbas Kandoro aliwahi kushika nafasi ya ukuu wa mikoa katika zaidi ya mikoa sita Tanzania Bara ikiwemo Dar es salaam, Mwanza, Arusha, Singida na Mbeya.

Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda ameandika;

Comments are closed.