BREAKING: Mtangazaji Isaac Gamba Afariki Dunia -Video
MTANGAZAJI wa Idhaa ya Sauti ya Kiswahili (DW) ya Ujerumani, Isack Gamba amefariki dunia leo akiwa nnyumbani kwake chini humo.
Mmoja wa marafiki zake amesema jana Gamba hakuonekana kazini kuanzia siku ya Jumanne ndipo leo walienda kutoa taarifa polisi, waliofika nyumbani kwake na kuvunja mlango wakamkuta Gamba ameshafariki dunia.”
Akiwa nchini, Gamba amewahi kufanya kazi vyombo mbalimbali vya habari ikiwamo Redio Uhuru, RFA, ITV na kabla ya kwenda Ujerumani alikuwa Radio One.
Comments are closed.