The House of Favourite Newspapers

Breaking: Mtendaji Mkuu wa Simba Barbara Afiwa na Mama Yake

0

Mtendaji Mkuu wa mabingwa wa nchi Simba, Barbara Gonzalez amefiwa na mama yake mzazi  aitwaye Rhoda Yahya Lambert

kifo hicho kimetokea leo Jumapili 14, 2021 asubuhi nyumbani kwake Kigamboni, Mazishi yatafanyika leo saa 10:30 jioni kwenye makaburi ya Kisutu.

Leave A Reply