The House of Favourite Newspapers

BREAKING NEWS: Maalim Seif Kutua Chadema Kuwania Urais- Video

CHAMA Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimesema endapo migogoro ndani ya Chama cha Wananchi (CUF) itaendelea basi watamshawishi Katibu Mkuu wa chama hicho, Maalim Seif kuhamia Chadema na kisha watamsimamisha kugombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chadema.

 

Akizungumza na wanahabari jijini Dar es Salaam, Mwenyekiti wa Baraza la Wazee la Chadema, Hashimu Juma amedai kuwa Chadema na CUF ni kitu kimoja hivyo endapo CUF kitapoteza mwelekeo Zanzibar, basi kutokana na wao kuwa kitu kimoja maalimu atachukua fomu kupitia Chadema pamoja na viongozi wengine wote wa Maalim Seif.

VIDEO: MSIKIE MHE. JUMA AKIFUNGUKA

Comments are closed.