The House of Favourite Newspapers

Breaking News: George Majaba Ashinda Nyumba Ya Global Awamu ya Pili

0
Mshindi wa Nyumba hii ni George Majaba kutoka Dodoma

Droo kubwa ya Bahati Nasibu ya Shinda Nyumba Awamu ya Pili, imechezeshwa leo Uwanja wa Las Vegas Mabibo, Dar mshindi ni George Majaba wa Dodoma

 

Leave A Reply