MSHINDI wa droo ya tatu ya promosheni ya akiba inayojulikana kama ‘Weka Amana Ushinde’, mkazi wa Arusha amejishindia Sh. milioni moja ambapo zaidi ya Sh. milioni 20 zinaendelea kushindaniwa na wateja wa benki ya CBA.
Hafla ya kuchezeshwa droo hiyo imefanyika jijini Dar es Salaam ambapo mshindi wa droo hiyo amepatikana wakati wa kuchezeshwa droo ya tatu ya promosheni ya akiba inayojulikana kama ‘Weka Amana Ushinde’.
NA DENIS MTIMA/GPL