The House of Favourite Newspapers

Breaking News: Senzo Mbatha CEO Mpya Yanga

0

ALIYEKUWA Mtendaji Mkuu wa Klabu ya Simba, Senzo Mbatha ameingia Makubaliano na Klabu ya Wananchi Yanga SC kuhudumu kwenye nafasi hiyo hiyo.

Senzo ambaye ameandika barua ya kuacha kazi Simba SC leo Agosti 9, 2020 mchana, amekamilisha Makubaliano na Mabosi wa Yanga SC na tayari ameshasaini Kandarasi. Kilichobaki ni zoezi la kutangazwa Rasmi ambazo litafanyika muda wowote leo.

Inasemekana moja kati ya sababu zilizomuondoa Simba SC ni pamoja na usajili wa winga wa Ghana aliyekuwa Yanga na kusajiliwa Simba Mghana Bernard Morrison.

Alichokisema wakati akijiuzulu simba leo

Leave A Reply