Breaking News: Serikali Yalifungia Gazeti la ‘Tanzania Daima’

Serikali imesitisha leseni ya uchapishaji na usambazaji wa Gazeti la Tanzania Daima kuanzia Juni 24, 2020 kwa kukithiri, kujirudia makosa yanayokiuka sheria za nchi na maadili ya uandishi wa habari licha ya kuwaonya, kuwaeleza na kuwakumbusha wahariri wa gazeti hilo.

⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

 


Toa comment