The House of Favourite Newspapers

JPM AMRARUA WAZIRI JAFO HADHARANI ‘SIJAFURAHISHWA KABISA’- Video

Rais Dkt John Magufuli ameataka wananchi kufanya kazi kwa bidii na kuongeza uzalishaji mali ili kuliendeleza Taifa.

Rais Magufuli ametoa wito huo mkoani Simiyu na kuwataka wananchi kuacha utegemezi kwa serikali bali wao wawe ndio chachu ya kuisaidia serikali.

Tazama video hapa chini alivyomzungumzia Waziri Jafo, hadharani

Comments are closed.