The House of Favourite Newspapers

Watu 13 Wakamatwa, Video Ya Prof Jay Iliyovuja Akiwa ICU-Video

0

JESHI la polisi kanda maalum ya Dar kwa kushirikiana na mamlaka ya mawasiliano Tanzania (TCRA) linawashikilia watu kwa tuhuma za kusambaza video ya mwanamuziki Profesa Jay akiwa kitandani hospitali, katika wodi ya wagonjwa wanaohitaji uangalizi maalum (ICU).

Leave A Reply