The House of Favourite Newspapers

Breaking: Watu 30 Wanusurika Kifo Jangwani Wakielekea Kariakoo – Video

0

Zaidi ya watu 30 waliokuwa wamepanda daladala kuelekea Kariakoo wamenusurika kifo baada ya kuvamiwa na maji wakiwa katikati ya daraja la Jangwani Dar es Salaam, na kuzua taharuki kubwa ya watu waliomo ndani yake kusombwa na maji.
Baadhi ya mashuhuda wanasema gari hizo wakati zinakatiza maji yalikuwa ya kawaida lakini walipofika katikati maji yakaongezeka kwa nguvu hali iliyopelekea kusimamisha magari mpaka walipokuja kuokolewa.

Leave A Reply