The House of Favourite Newspapers

BreakingNews: Rais Magufuli Azindua Kiwanda cha Matunda Msoga kwa Kikwete

0

Rais Dkt. John Pombe Magufuli anazindua Kiwanda cha kusindika matunda cha Sayona kinachotumia nishati ya Biogas kilichopo katika Kijiji cha Mboga, Kata ya Msoga, Pwani ambako anaishi Rais Mstaafu, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete.

FUTAILIA LIVE TUKIO ZIMA HAPA==> bit.ly/2rYn6Jz

 

Leave A Reply