Bundesliga, Ligue 1 Kuendelea Wiki hii Ndani ya StarTimes


Meneja Masoko wa Startimes Bw.David Malisa ameliambia Gazeti la Uhuru kwamba Mechi kali za Euro qualifiers, Bundesliga na Ligue 1 zinaendelea kuonyeshwa ndani ya king’amuzi cha Startimes kupitia chaneli ya World Football.

BUNDESLIGA
Tarehe 19 Oktoba,2019.Saturday.
1.Augsburg na FC Bayern Munich. saa10:30jioni.
World football.
2.Dortmund na Monchengladbach.Saa1:30 usiku, World Football

Ligue1
Tarehe 18 Oktoba,2019.friday.
1.Nice na PSG ,saa 3:45usiku.
Kwenye sports premium,

Tarehe 20 Oktoba,2019 Jumapili,
Marseille vs Strasbourg Alsace.
Chaneli ya World football,
Saa 4:00 usiku

Ameongeza na kusema mechi hizi zitaruka moja kwa moja hivyo wateja wa startimes wakae mkao wa kushuhudia mechi kali hizi.
Hata hivyo Bw.Malisa amesema Startime ina chanel nyingi za michezo,burudani na tamthilia ambapo ameongeza kua Tamthilia pendwa ya Wildflower msimu wa pili imerudi kwa Kishindo ndani ya ST.Swahili,ambayo inaanzwa kuonyeshwa rasmi tarehe 14 Oktoba,amewashauri watu kulipia vifurushi vyao ili wasikose uhondo huu .

Toa comment