The House of Favourite Newspapers

Burna Boy Ampongeza Wiz Kid Kwa Show Yake UK

0

Msanii Burna Boy hakuacha hili lipite kwakuwa yeye pia ni miongoni mwa waliovutiwa na show kali aliyoifanya msanii mwenzake toka Nigeria ‘Wizkid’ ndani ya ukumbi wa 02 Arena huko London, Uingereza.

Kupitia Insta story yake, Burna Boy amempongeza Wizkid kwa kuandika, “Big up WizKid. Everyday”.

Fahamu kuwa hii sio mara kwanza kwa wasanii hawa kupongezana pale mmoja anapofanya jambo kubwa linalostahili pongezi.

Ikumbukwe tu kwamba Wiz Kid kwasasa anaendelea na tour yake ya kimuziki ya Made in Lagos Tour na show zake za nchini Uingereza zimeanza rasmi (jana) ikiendelea na leo, Novemba 29.

 

Leave A Reply