×

Breaking News

Breaking: Ishu ya Polisi Kusitisha Tamasha la Wasafi Dar

  Kamanda wa polisi Mkoa wa Temeke, Amon Kakwale amekanusha taarifa zilizosambaa kwenye mitandao ya kijamii kwamba limesitisha tamasha la...

READ MORE

Breaking News: Lori la Mizigo Laungua Moto Kimara – Dar (Video)

TAARIFA zilizotufikia hivi punde zimeeleza kuwa lori la mizigo limeungua kaa moto, majira ya saa 4:45 usiku huu wa Januari...

READ MORE

Tanzia: Naibu Waziri wa Kikwete Afariki Dunia

MBUNGE  wa zamani wa Mpwapwa mkoani Dodoma nchini Tanzania, Gregory Teu, amefariki dunia usiku wa kuamkia jana baada ya kujisikia...

READ MORE

Breaking News: Chelsea Yamtimua Frank Lampard

KLABU ya soka ya Uingereza, Chelsea,  imemfuta kazi kocha wake mkuu, Frank Lampard, kutokana na mwendelezo mbaya wa matokeo ya...

READ MORE

5 Wajeruhiwa Basi ‘Simba Mtoto’ Likipata Ajali Chamwino- Video

WATU watano wamejeruhiwa wakati basi la abiria kampuni ya Simba Mtoto linalofanya safari zake kati ya Dodoma na Tanga kupata...

READ MORE

Breaking: Kocha wa Simba Abwaga Manyanga

UONGOZI  wa Klabu ya Simba umetangaza rasmi kuachana na kocha wake mkuu, Sven Vandenbroeck,  kwa makubaliano ya pande mbili. Nafasi...

READ MORE

Watatu Wafariki, 66 Wajeruhiwa kwenye Ajali ya Treni

TRENI ya abiria iliyokuwa inatoka Dar es Salaam kuelekea Bara (Mwanza, Mpanda na Kigoma kupitia Tabora) imepata ajali Wilayani Bahi...

READ MORE

Breaking: Rais Magufuli Amtumbua Mkurugenzi Igunga – Video

RAIS  John Magufuli, leo Desemba 28, 2020 ametengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Igunga mkoani Tabora, Revocatus...

READ MORE

Moto Wateketeza Maduka Zaidi ya 10 Kagera

MOTO umeunguza maduka zaidi ya 10 na kuteketeza baadhi ya vitu katika majengo yanayomilikiwa na familia ya Nekemia Kazimoto yaliyopo...

READ MORE

Breaking: Jengo la Kihistoria Laanguka Zanzibar – Video

JENGO la ghorofa linalofahamika kama House of Wonders au Palace of Wonders (Beit Al Ajaib) lililopo Stone Town, Zanzibar limeanguka...

READ MORE

Breaking: Waliomuua Alphonce Mawazo Wahukumiwa Kifo

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Mwanza leo Desemba 24, 2020, imewahukumu washtakiwa wanne katika kesi ya mauaji ya aliyekuwa mwenyekiti wa...

READ MORE

Jafo Ataka Wakurugenzi wa Halmashauri Nne Kujieleza

WAZIRI  wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Seleman Jafo, leo Desemba 21, 2020,...

READ MORE

Breaking: Kiboko na Mkewe Watupwa Jela Miaka 20

MAHAKAMA Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi maarufu Mahakama ya Mafisadi, imemhukumu mfanyabiashara maarufu nchini, Ayubu Kiboko...

READ MORE

Ajali ya Basi la Frester Yaua Mtoto Kahama

  MTOTO mmoja amefariki dunia na wengine kujeruhiwa kufuatia basi la Kampuni ya Frester lenye namba za usajili T 965...

READ MORE

Tanzia: Mzee Jengua Afariki Dunia

  MSANII mkongwe wa michezo ya runingani na filamu za Kibongo, Mohamed Fungafunga almaarufu Mzee Jengua, amefariki leo, Desemba 15,...

READ MORE

Breaking News: Bilionea Subash Patel Afariki Dunia

MWENYEKITI  Mtendaji wa Makampuni ya Motisun Group ambaye anatajwa kuwa miongoni mwa mabilionea wachache nchini Tanzania na mfanyabiashara, Subhash Patel...

READ MORE

Rais Mwinyi Amtumbua Katibu Wake Siku 37 Baada ya Kumwapisha

Rais wa Zanzibar, Hussein Mwinyi leo Jumatatu, Desemba 14, 2020 ametengua uteuzi wa Katibu wa rais, Suleiman Ahmed Saleh na...

READ MORE

Mwanamke Ajifungua Kuku Kigoma

MWANAMKE mmoja wilayani Uvinza mkoani Kigoma, amejifungua kuku katika kituo cha Afya Uvinza baada ya kufika kituoni hapo akidai anapata...

READ MORE

Rais Magufuli Atuma Salamu za Rambirambi Kifo cha Nsekela

RAIS Dokta John Pombe Magufuli ametuma salamu za rambirambi kufuatia kifo cha Jaji Mstaafu wa Mahakama ya Rufani ya Tanzania...

READ MORE

Boko Haram Wakiri Kuua Wakulima

KIONGOZI wa kundi la Boko Haram, Abubakar Shekau, amesema kundi lake ndilo lililohusika na mauaji ya wakulima 78 katika eneo...

READ MORE

Halima Mdee, Wenzake Kukata Rufaa Ndani ya Chadema

HALIMA MDEE na wenzake 18  waliovuliwa uanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na Kamati Kuu ya chama hicho...

READ MORE

Rais Magufuli Amteua Humphrey Polepole kuwa Mbunge.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli amefanya uteuzi wa Wabunge wawili kwenye Bunge la Jamhuri ya...

READ MORE

Manyara: Ajali Yaua 6 Akiwemo Padri

Watu sita akiwemo padri wa kanisa katoliki parokia ya Masaktas jimbo la Mbulu mkoani Manyara, Sixtus Masawe wamefariki dunia katika...

READ MORE

Breaking: Diego Maradona Afariki Dunia

MKONGWE wa soka raia wa Argentina, Diego Maradona amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 60 kwa mshtuko wa moyo,...

READ MORE

Kibaha: Diwani Mteule (CCM), Wajukuu Zake Wauawa

DIWANI mteule Kata ya Kikongo, Kibaha Vijijini (CCM), Fatuma Ngozi na wajukuu zake wawili wamekufa baada ya nyumba yake kuchomwa...

READ MORE

Lema Akamatwa Kenya Akitafuta Hifadhi

ALIYKUWA  Mbunge wa Arusha Mjini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Godbless Lema, amekamatwa na Polisi katika Kaunti ya...

READ MORE

Breaking: Magufuli Ashinda Urais, Kura Mil. 12.5 – Video

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imemtangaza Dkt. John Pombe Magufuli wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwa mshindi wa kiti...

READ MORE

Breaking: Watu 13 Wafariki kwa Ajali, Ngara – Video

WATU  13 wamefariki dunia na wengine 11 wamejeruhiwa mkoani Kagera kufuatia ajali ya basi la Emirates ambalo hufanya safari zake...

READ MORE

Breaking: Waziri Kabudi Apata Ajali Morogoro – Video

WAZIRI wa Mambo ya Nje, Prof. Palamagamba Kabudi, amepata ajali ya gari eneo la Kihonda, na  Morogoro, amepelekwa katika Hospitali...

READ MORE

Watano Familia Moja Wafariki Nyumba Ikiwaka Moto

WATU watano wa familia moja akiwemo mama, watoto wake watatu na wifi yake, wamepoteza maisha baada ya nyumba yao kuwaka...

READ MORE

Moto Wateketeza Nyumba Sinza – Dar

Nyumba namba 50, iliyopo mtaa wa Sinza D, Vatican jijini Dar es salaam, imeteketea kwa moto leo Jumatatu, Oktoba 12,...

READ MORE

Bad News: Moto Wazuka Mlima Kilimanjaro

    MOTO  umezuka  Mlima Kilimanjaro  jana, Jumapili, Oktoba 11, 2020, mchana na jitihada za kuuzima bado zilikuwa ainaendelea.  ...

READ MORE

Breaking News: Zitto Kabwe Apata Ajali Kigoma

KIONGOZI Mkuu wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Zuberi Kabwe, amepata ajali ya gari katika Kijiji cha Kalia, mkoani Kigoma, ...

READ MORE

NEC Yamfungia Lissu Kufanya Kampeni kwa Siku 7

KAMATI ya Maadili ya Kitaifa ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imemsimamisha mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa...

READ MORE

Nyumba Yateketea kwa Moto Keko – (Pichaz + Video)

MOTO mkubwa umeibuka na kuteketeza nyumba za watu na vibanda vya biashara katika maeneo ya Keko jijini Dar es Saalam...

READ MORE

Breaking: Mgombea Mwenza wa Urais Anusurika Kifo kwa Ajali Mbaya

Gari alilokuwa akiitumia Mgombea Mwenza wa Urais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),...

READ MORE

Tanzia: Kamanda Shana Afariki Dunia

ALIYEKUWA Ofisa Mnadhimu wa Chuo cha Polisi Moshi (CCP), Jonathan Shana, amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Jumatano, Septemba 16,...

READ MORE

Tanzia: Jaji Bomani Afariki Dunia

Jaji Mstaafu Mark Bomani ambaye alikuwa Mwanasheria Mkuu wa kwanza wa Tanzania amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Septemba 11,...

READ MORE

Tabora: Miili ya Watu 8 Yakutwa Imeteketea Hifadhini

WATU wanane, kati yao watatu wanaokadiriwa kuwa na umri wa miaka 25 mpaka 40,  na watoto watano  wanaokadiriwa kuwa na...

READ MORE

Lulu Diva, Belle 9, Bonge la Nyau Wapata Ajali

  WASANII wa Bongo Fleva, Lulu Diva, Belle 9 na Bonge la Nyau, wamepata ajali ya gari alfajiri ya leo,...

READ MORE