MWIGIZAJI wa Bongo Muvi mwenye vituko lukuki, Diana Kimari amefunguka kuwa watu wengi wanasema ana bifu na mwanamitindo Hamisa Mobeto...
READ MORESTAA wa Bongo Fleva, Daimond Platnumz, amesema anashughulikia taratibu za kumsafirisha msanii mwenzake, Hawa Said, ambaye aliwahi kumshirikisha kwenye wimbo wake wa...
READ MOREUSIKU wa kuamkia leo, Miss Tanzania 2006 na staa wa filamu za Kibongo, Wema Sepetu, aliangusha pati ya kusherehekea siku...
READ MORERAPA wa kike Claudia Lubao ‘Chemical‘ amesema kuwa amewahi kuwaza kufanya kazi na msanii Diamond Platnumz lakini hawezi kumfata kumuomba...
READ MORESHUGHULI ilikuwa pevu pale kwenye Ukumbi wa Mlimani City MAMBO usiku wa Ijumaa ya Septemba 28, 2018 kufuatia Malkia Bongo...
READ MORELAZIMA unaijua ile ishu kuwa dada wa msanii maarufu Bongo, Ali Salehe Kiba, Zabibu Kiba a.k.a Mrs Banda siku hizi...
READ MOREMAMBO yalikuwa fire usiku wa Septemba 28, kufuatia muigizaji nguli Bongo, Wema Sepetu kusheherekea kumbukumbuku ya siku yake ya kuzaliwa...
READ MORESTAA mwanamitindo wa Marekani, Nicki Minaj na nyota mwendesha magari wa Formula One, Lewis Hamilton, wameibua sintofahamu kuhusu uhusiano wao...
READ MOREMIONGONI mwa vilele vya shamra na “maraha ya kufa mtu” vilivyojiri siku ya kuzaliwa mwigizaji nguli Bongo, Wema Sepetu, ambayo...
READ MORERAPA Mmarekani, Lil Wayne ameadhimisha ‘bethidei’ yake ya mwaka wa 36 na kuachia ngoma yake ya Tha Carter V, katika hafla iliyojaa...
READ MOREMKONGWE wa Muziki wa Hip Hop kutoka Marekani, Snoop Dogg amepata mjukuu wa kike akiwa na umri wa miaka 46,...
READ MOREMSANII Sister Fey ambae hivi karibuni alikamatwa na kuwekwa rumande kwa amri ya Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na...
READ MOREBAADA ya kukaa kwa muda mrefu bila kumuweka hadharani mwanamke anayetoka naye kimapenzi, mkali wa muziki wa R&B nchini Marekani,...
READ MOREMASHABIKI wamekuwa na maswali mengi ni kitu gani anapitia Lady Jaydee kwa sasa kwenye maisha yake baada ya kuandika ujumbe...
READ MORESIKU chache baada ya kuzinduliwa vinywaji vya Juice Kingdom tawi la Tabata-Segerea, taarifa ni kwamba vinywaji hivyo vinazidi kukubalika kwenye...
READ MOREHii ni kolamu ya Gazeti la Amani la Global Publishers ambalo linatoka kila Alhamisi. Lengo la kolamu huu ni kufikisha...
READ MOREMPENZI msomaji tunazidi kutiririka katika safu yetu hii yenye kuvutia, ambapo wiki iliyopita tulikuwa na mwanamuziki wa kizazi kipya Bongo,...
READ MOREFEBRUARI, mwaka jana, ilikuwa chungu kwa mastaa wengi wa filamu na Bongo Fleva baada ya kutajwa na Mkuu wa Mkoa...
READ MORESTAA wa Muziki wa R&B, Benard Paul ‘Ben Pol’ ametoboa siri yake na mkongwe wa filamu Bongo, Yvonne Cherrie ‘Monalisa’...
READ MOREKUFUATIA maandalizi baab’kubwa ya shughuli yake ya kukata na shoka ya kuzaliwa (birthday), staa grade one Bongo, Wema Isaac Sepetu...
READ MORESTAA wa filamu nchini Ghana anayefanyia kazi zake Nollywood, Van Vicker, amewasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere...
READ MOREWATU wengi huamini kwamba malezi bora ya watoto hutoka kwa wazazi wote wawili yaani baba na mama. Mtoto anapolelewa na...
READ MOREZabibu anaishi Polokwane, maisha yake yatakuwa hapa kwa kuwa mumewe, Abdi Banda anafanya kazi hapa. Anaichezea Baroka FC inayoshiriki Ligi...
READ MOREMSANII mkubwa wa filamu nchini Ghana, Van Vicker, amewasili nchini Tanzania leo saa 10 alfajiri na kupokelewa na mwenyeji wake...
READ MOREPATAKUWA hapatoshi! Wakati mashabiki wengi wa Muziki wa Dansi wakiwa tayari kusubiri utambulisho wa Bendi ya Bogos, msanii wa Muziki...
READ MORESITAKI kumuongelea sana Rajabu Abdulkhali ‘Harmonize’ anayewakilisha Wasafi Classic Baby (WCB) aliyetoka kimuziki 2016 na Wimbo wa Aiyola kisha Bado...
READ MOREBAADA ya kusambaa kwa taarifa ya kukamatwa kwa staa wa sinema za Kibongo, Irene Pancras Uwoya na wenzake, Kamanda wa...
READ MOREMAPENZI ni kikohozi kukificha huwezi! Na siku zote unapopenda unaweza kufanya lolote ili tu umfurahishe yule uliyenaye aone tu thamani...
READ MOREMahakama ya Pennsylvania nchini Marekani imemshushia mvua ya kifungo cha kati ya miaka mitatu hadi kumi, mchekeshaji Bill Cosby mwenye...
READ MOREChildish Gambino, nimwimbaji, mwigizaji na mchekeshaji maarufu nchini Marekani, ameumia mguu na hivyo kuahirisha ziara yake aliyokuwa aifanye Leo katika kituo...
READ MORELICHA ya kuachiwa kwa dhamana, Mtangazaji maarufu wa Kipindi cha Shilawadu, Soud Brown na msanii wa Bongo Fleva, Maua Sama...
READ MOREMSANII wa Bongo Fleva ambaye anafanya vizuri na ngoma yake ya Aibu, Faustine Charles ‘Nandy’ amefunguka kwamba kwa sasa hana...
READ MOREBAADA ya picha akiwa anazu-ngumza na mwanaume kwenye Mtandao wa Snapchat kusambaa mitandaoni na kudaiwa kuwa ndiye bwana’ke mpya, video...
READ MOREHATIMAYE Kituo cha Azam TV kupitia chaneli yake ya Sinema Zetu, leo Jumanne imezindua rasmi msimu mpya wa tuzo zao...
READ MOREWAANZILISHI wa mtandao wa Instagram wametangaza wiki chache zijazo watajiondoa kabisa kujishughulisha na kampuni hiyo na kubaki kama watumiaji wengine...
READ MORELuka Modric raia wa Croatia anayecheza soka na klabu ya Hispania ya Real Madrid, amebeba tuzo ya Mchezaji Bora wa...
READ MOREKWA miaka ya hivi karibuni tumekuwa tukiona warembo wengi wa kike wakijiingiza katika kuuza nyago ‘video queen’ kwenye video za...
READ MOREHITMAKER wa Ngoma ya Salama, Mwanaisha Said ‘Dayna Nyange’ amesema kuwa, anajuta kusafiri Ulaya kwani kumemfanya kurudi upya kwenye gemu...
READ MORESTAA wa sinema za Kibongo mwenye mvuto mbele ya kamera, Yobnesh Yusuf ‘Batuli’ amevunja ukimya kwamba, kutoonekana kwake muda mrefu...
READ MORE