×

Celebrities

STEVE: TUUNGANE KUWAOMBEA WENZETU

MWIGIZAJI na komediani maarufu Bongo, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ amewataka wasanii wote kwa jumla bila kujali wa muziki au filamu...

READ MORE

DIANA KIMARI ADAIWA KUKACHA KANISA!

UBUYU ukimpa asiye na meno, kamwe hawezi kumung’unya, raha yake mpe mwenye meno yote 32! Ubuyu uliotua kwenye meza ya...

READ MORE

SIRI WEMA KUMFUNIKA MOBETO YAFICHUKA

BAADA ya kuwepo kwa mvutano wa nani anastahili kuwa mrembo bora wa Tanzania (Tanzania Sweetheart) kati ya Hamisa Mobeto na...

READ MORE

ZABIBU KIBA Afunguka Alivyoumshuhudia Mumewe Banda Uwanjani – VIDEO

MKE wa Abdi Banda ambaye ni dada wa Staa wa Bongo Fleva, Alikiba, Zabibu Kiba amefunguka baada ya kumshuhudia mumewe...

READ MORE

MAMA AWEKA BARAKA WIMBO WA MOBETO

MAMA wa mwanamitindo ambaye kwa sasa amejiingiza kwenye uimbaji wa Bongo Fleva, Hamisa Mobeto, Shufaa Rutiginga amefunguka kuwa ameamua kuigiza...

READ MORE

EXCLUSIVE: MOBETO Afunguka Kumroga DIAMOND – Video

Mwanamitindo maarufu Bongo ambaye kwa sasa amejitumbukiza kwenye muziki, Hamisa Mobeto, amepiga stori na Global TV na kufunguka kuhusiana na...

READ MORE

EXCLUSIVE: MOBETO Amempa MHE JOKATE Laki 5 – Video

    MWANAMITINDO Hamisa Mobeto amejitokeza Wilayani Kisarawe kumuunga mkono Mkuu wa Wilaya hiyo Jokate Mwegelo kwenye kampeni yake ya...

READ MORE

LYNN ABANWA KUMPIKU MOBETO KWA MONDI

MUUZA nyago (video queen) aliyewahi kuuza sura kwenye Wimbo wa Kwetu wa Msanii Raymond Mwakyusa ‘Rayvanny’ wa Lebo ya Wasafi...

READ MORE

CALISAH AJITAPA KWA UFUSKA!

MWANAMITINDO asiyeishiwa skendo mjini, Calisah Abdulhamid amefunguka kwa mara nyingine tena kuwa katika ukuaji wake mpaka sasa alipofikia ameshatembea na...

READ MORE

SISTER FEY MBARONI KWA MAKOSA YA MTANDAO

JESHI la Polisi Dar es Salaam linamshikilia msanii wa Bongo Fleva, Faidha Omary ‘Sister Fey’ kwa kosa la kukiuka maadili...

READ MORE

DUDE AONA FURSA BONGO MOVI

MWIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Kulwa Kikumba ‘Dude’ ameona fursa ya kutangaza biashara ya filamu ni kubwa kwa sasa tofauti...

READ MORE

BRANDY; MTOTO WA NYOSHI EL SAADAT ALIEVAMIA ‘GAME’

UPO msemo kuwa mtoto wa nyoka ni nyoka! Yaani anachofanya baba au mama basi na mtoto naye anaweza kufuata nyayo...

READ MORE

NANDY: NAACHA MUZIKI 2020

MSANII wa Bongo Fleva, Faustine Charles ‘Nandy’ anatarajia kuacha kazi ya muziki ifikapo mwaka 2020 na badala yake atajikita kwenye...

READ MORE

LICHA YA KISUKARI, PRESHA… UGONJWA MPYA WA CHOKI WASHITUA

DAR ES SALAAM: WAKATI bado akiwa kitandani akisumbuliwa na maradhi ya presha na kisukari, ugonjwa mpya wa staa wa muziki...

READ MORE

KUMBE DRAKE NI MZEE WA DOGODOGO

RAPA maarufu nchini Marekani, Aubrey Graham ‘Drake’ ajakauka midomoni kwa watu baada ya kusambaa kwa picha yake akiwa na msichana...

READ MORE

MENEJA AFUNGUKIA ‘U-FREEMASON’ WA DAVIDO

David Adeleke ‘Davido’MENEJA wa staa wa muziki nchini Nigeria, David Adeleke ‘Davido’, Asa Asika amekanusha tetesi zilizoenea wiki iliyopita dhidi...

READ MORE

TOP 5 MASTAA WALIOTIBUANA NA WAZAZI WAO

KUNA usemi usemao ‘uchungu wa mwana aujuaye mzazi’, ukiwa na maana kuwa mama ndiye mwenye uchungu zaidi na mtoto wake.  Ni...

READ MORE

HOYCE TEMU ALIACHA KAZI BENKI ILI AISAIDIE JAMII

Hoyce Temu MWAKA 1999 ni miongoni mwa miaka ambayo haitasahaulika kwenye kinyang’anyiro cha Miss Tanzania. Kwa waliobahatika kukishuhudia watakumbuka namna...

READ MORE

KIKI YA UWOYA, DOGO JANJA YAFIKA MWISHO

WAFUATILIAJI wa habari za mastaa Bongo, watakumbuka wakati ule mastaa wa Bongo, Irene Uwoya na mwenziye Abdulaziz Chende ‘Dogo Janja’...

READ MORE

Bobi Wine Arejea Kutoka Marekani, Kaka’ke Akamatwa

MWIMBAJI, Eddy Yawe, kaka wa Mbunge wa Kyadondo Mashariki, Robert Kyagulanyi (Bobi Wine) amekamatwa asubuhi ya leo na maofisa wa...

READ MORE

FUNDI NGUO ALIYEVUTA MKOKO KWA KUMSHONEA WEMA

MAISHA ni kama karata, ukijua kuzichanga na kucheza vizuri na Mungu akashusha baraka zake, hakika utafurahia matunda ya mikono yako.  Kijana...

READ MORE

Soudy, Maua Sama, Mx, Shaffih Dauda, Luvanda Wazidi Kusota Rumande

JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam bado inawashikilia Soudy Brown, Maua Sama, Mx , Shaffih Dauda pamoja...

READ MORE

UGONJWA WA DOGO JANJA UWOYA ATAJWA

UKURASA wa maisha ya ndoa ya Dogo Janja na Irene Uwoya uko wazi, unasomeka mengi wanayoyapitia mastaa hao; kubwa kabisa...

READ MORE

MUNA ABURUZWA POLISI NA MAMA’KE

BADO mambo ni moto! Mama mzazi wa mwigizaji wa filamu za Kibongo, Rose Alphonce Nungu almaarufu Muna Love, Ritha Rabia...

READ MORE

DRAKE AMSHITAKI MWANAMKE ANAYEDAI ALIMBAKA, KUMPA UJAUZITO

MWANAMUZIKI wa Marekani, Drake,   amefungua mashitaka dhidi ya mwanamke anayedai alimbaka na kumpa ujauzito na sasa ana mtoto wake. Drake amesema...

READ MORE

KANDAMBILI HAIPIGWI KIWI

KAMA nakuona vile shoga yangu ulivyotumbua macho kuangalia kaniki ikiwekewa dawa ya madoa! Heee heeeeiyaaaaaa! Na utashanga’ sana mwaka huu...

READ MORE

JUSTIN BIEBER AOMBA URAIA WA MAREKANI

MWANAMUZIKI kijana ambaye ni raia wa Canada, Justin Bieber, ametuma maombi ya kuwa raia wa Marekani, ambapo atabaki pia na...

READ MORE

WOLPER AMWAGA MATUSI KISA MUNA

MUIGIZAJI mwenye jina kubwa Bongo, Jacqueline Wolper ‘Wolper’ ameshindwa kujizuia na kujikuta akiporomosha matusi baada ya kuulizwa anazungumziaje sakati la...

READ MORE

SHILOLE WANAOFICHA WATOTO WATAUMBUKA WOTE

BAADA ya sakata la mwanamama Rose Alphonce ‘Muna Love’ la kukana kwamba hana mtoto mwingine zaidi ya marehemu Patrick Peter...

READ MORE

UCHUMBA WA TUNDA, CASTO CHALI

LICHA ya hivi karibuni kujinadi kwamba anampenda mchumba wake na wana malengo kibao, lile penzi la mtangazaji wa Runinga ya...

READ MORE

RAYVANNY: MAMA WATOTO AKITEMBEA UTUPU POA TU

MWANAMUZIKI kutoka Lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB), Raymond Mwakyusa ‘Rayvanny’ amefunguka kwamba, kwa dunia ilipofikia sasa kwa upande wake...

READ MORE

Baba Sonia wa Masogange Afunguka A-Z Maisha ya Mwanae – Video

Ikiwa imepita zaidi ya miezi mitatu tangu aliyekuwa Mwanamitindo maarufu Bongo, Agness Masogange, afariki dunia na kumuacha mtoto mmoja anayeitwa...

READ MORE

Uwoya, Dogo Janja Mapenzi Kwisha?

TAARIFA zinazotrendi kwenye social network kwa sasa ni kuhusiana na couple ya mastaa wa Bongo iliyokuwa gumzo kuanzia Novemba mwaka...

READ MORE

FIESTA YA TIGO 2018 YAZINDULIWA, KUANZIA MOROGORO

PICHA: RICHARD BUKOS / GPL   

READ MORE

Pete ya Uchumba ya Wiz Khalifa ya Mil. 342 kwa Amber Rose Yapotea

PETE ya uchumba yenye thamani ya Dola 150,000 (Sh. bilioni 342) kwa Amber Rose  kutoka kwa  Wiz Khalifa  yasemekana imepotea na polisi...

READ MORE

Yusaku Maezawa Awa Abiria wa Kwanza Kwenda Mwezini!

Yusaku Maezawa ambaye ni mfanyabiashara na mwendesha shughuli za mitindo, atakuwa abiria wa kwanza kwenda kwenye mwezi. Mtu huyo ambaye ana...

READ MORE

HAWA: NATESEKA, TUMBO LINAJAA MAJI KILA WIKI

KAMA watoto wakinililia, waambie kesho nitarejea, Wadanganye na vibagia, waambie pipi ntawaletea, Nawe usichoke kuvumilia, na kila siku kuniombea, Unapokwenda...

READ MORE

KUSALITIWA KUNAUMA ILA KUMUACHA , KUMPIGA SIYO SULUHISHO !

NI wiki nyingine tunakutana tena kupitia safu hii ambayo kimsingi tunakumbushana na kuelimishana juu ya mambo mbalimbali yanayogusa maisha yetu...

READ MORE

ESMA: NITACHANGUA MWANAUME KAMA KARANGA

BAADA ya kuachana na mumewe, dada wa mwanamuziki maarufu wa Afro-Pop, Na­sibu Abdul ‘Diamond Platinumuz’, Esma Khan amefunguka kuwa amejifunza...

READ MORE