×

Celebrities

Diamond Alivyocheza KWANGWARU Bila HARMONIZE – Video

DIAMOND Plantinum ameachia show ya kufa mtu katika birthday ya Rom Jons iliyofanyika katika ukumbi wa Samaki Samaki Masaki jijini...

READ MORE

Rich Mavoko Akinukisha BASATA, Sakata Lake na WCB – Video

MSANII wa Bongo Fleva, Rich Mavoko amegeuka mbogo mbele ya waandishi wahabari baada ya kugoma kuzungumza kuhusu nini kinaendelea kwenye...

READ MORE

Calisah Kuja na Vidonge vya Kung’arisha Ngozi

BAADA ya ‘kutrend’ na ishu ya kuwapa mimba wanawake 25, mwanamitindo maarufu Bongo, Calisah Abdulhamid, ameibuka na ishu nyingine kuwa...

READ MORE

Sabby: Nipo Tayari Kubeba Mimba ya Staa kwa Mil. 20

BAADA ya Mtangazaji wa Redio, Loveness Malinzi ‘Diva thebawse’ kudai kuwa ana tatizo la kizazi na hivyo anahangaika kubeba mimba,...

READ MORE

KWA DAWA HIZI, DIAMOND ‘HATARINI KUFA’!

DAR ES SALAAM: Kama ni kweli Staa wa Muziki wa kizazi kipya, Nasibu Abdul ‘Diamond’ anatumia vidonge vya kusisimua misuli...

READ MORE

Mastaa Hawa Ndo Wanaomchefua Skaina

MUIGIZAJI wa kitambo kwenye tasnia ya filamu Bongo, Skyner Ally ‘Skaina’ amewafungukia mastaa mbalimbali wanaokopa kwenye duka lake la nguo...

READ MORE

BABY MADAHA: UGONJWA WANGU NI MAPENZI

MSANII wa filamu na Bongo Fleva, Baby Joseph Madaha ‘Baby Madaha’, ametoa kituko cha mwaka baada ya kusema hakuna starehe...

READ MORE

Johari Adaiwa Kuonja Penzi la Petit

MREMBO mkongwe Bongo Movies, Blandina Chagula ‘Johari’ amedaiwa kuonja penzi la kijana wa mjini, Petit Man ambaye ni mume halali wa...

READ MORE

Diamond, Mavoko Uso kwa Uso BASATA Leo – Video

MSANII wa Bongo Fleva, Rich Mavoko na uongozi wa Lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB), Diamond Platnumz  na Sallam SK, wamekutana...

READ MORE

MOBETO: KUOLEWA NA DIAMOND SAWA; ILA…

KWA wanamitindo wakali Bongo, Hamisa Mobeto ni moja kati ya warembo ambao wanafanya vizuri na kusumbua kwenye mitandao ya kijamii...

READ MORE

HUYU NDO ANGEL NYIGU, DANSA HATARI WA DIAMOND – VIDEO

Moja kati ya wadada wanaofanya vizuri kwa sasa kutokana na kipaji chake cha kucheza ni, Angel Nyigu, ambaye wengi wamemfahamu...

READ MORE

DIVA ALIA: Watanzania Nisaidieni Nizae, Nishakata Tamaa – Video

MTANGAZAJI maarufu, Diva The Bawse ameweka wazi kuwa anahitaji mchango wa kiasi cha dola $7,000 (sawa na Tsh. Milioni 15)...

READ MORE

Diamond Kuongeza Mjengo Mwingine Sauzi

STAA wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz ameweka wazi kuwa ana mpngo wa kununua nyumba nyingine nchini Afrika Kusini. Muimbaji huyo...

READ MORE

SHILOLE AWAPA SOMO WEMA SEPETU, UWOYA

BAADA ya kuanika mjengo wake aliojenga maeneo ya Majohe, Dar, staa wa muziki wa Bongo Fleva, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ ameibuka...

READ MORE

LYNN WA DIAMOND ADAIWA KUBANJUKA NA IDRIS

MUUZA nyago kwenye video za Kibongo ambaye hakauki vituko mitandaoni hasa kwenye Mtandao wa Instagram, Irene Geofrey ‘Lynn’, anadaiwa kuwa...

READ MORE

JUX AMUWEKA PEMBENI VANESSA, AJA KIVYAKE

MSANII wa muziki wa ki­zazi kipya, Juma Mussa ‘Jux’, ametamka kuwa kwa sasa anaweka pembeni ziara yake na msanii mwenzake,...

READ MORE

BOBI WINE HALI TETE

WANA-SHERIA wawili wa msanii wa muziki ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Kyadondo Mashariki, Robert Kyagulanyi ‘Bobi Wine’, wamesema mwanasiasa...

READ MORE

KAULI YA DULLY KUHUSU NDOA YAZUA GUMZO

MWANAMUZIKI mkongwe kwenye Tasnia ya Muziki wa Bongo Fleva, Abdul Sykes ‘Dully Sykes’ hivi karibuni mbele ya umati wa mashabiki...

READ MORE

MOBETO: WANAWAKE MILIONI 5 WANAMTAMANI DIAMOND

MWANAMITINDO gumzo Bongo, Hamisa Mobeto ameamua kumwaga mboga kuwa, hata siku moja hawezi kumfanyia mwanamke ubaya katika mitandao ya kijamii...

READ MORE

Naibu Waziri Shonza Apata Mtoto

Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo, Juliana Shonza amejifungua mtoto wa kike juzi Jumapili, Augosti 19, 2018.  Uongozi...

READ MORE

Ndoa ya Davido, Chioma Yanukia, Waenda Ukweni Owerri

MWANAMUZIKI maarufu wa Nigeria, Davido, na mchumba wake Chioma, wanaelekea katika  kukamilisha uvumi wa penzi lao — kufunga ndoa hivi...

READ MORE

Alikiba na Mkewe Wawasaidia Yatima Kigamboni

NGULI wa Bongo Fleva, Alikiba mke wake Amina sambamba na watu wake wa karibu wamewatembelea watoto wa Kituo cha Kulelea...

READ MORE

Red Carpet Lilivyokuwa Tuzo za 2018 MTV Video Music

TAMASHA la  2018 MTV Video Music Awards lilifanyika uziku wa kuamkia jana Agosti 20 kwenye ukumbi wa Radio City Music Hall jijini...

READ MORE

Cardi B, Minaj, Ariana, Gambino Washinda Tuzo 2018 MTV

Nicki Minaj akiwa na tuzo ya tamasha la 2018 MTV Video Music Awards  lililofanyika Radio City Music Hall, usiku wa Agosti...

READ MORE

MKWASA AFUNGUKA MADAKTARI WALIVYOOKOA UHAI WAKE – VIDEO

ALIYEKUWA Katibu Mkuu wa klabu ya Yanga, Charles Boniface Mkwasa, amerejea nchini baada ya kukamilisha kufanyiwa operesheni kubwa ya moyo...

READ MORE

SABABU YA VEE MONEY KUZUNGUKA NA JUX

IKIWA imepita wiki moja tangu wamalize ziara yao ya In Love and Money, staa wa Muziki wa Bongo Fleva, Vanessa...

READ MORE

ZARI AMFANYIA MONDI UMAFIA

NI umafia wa ajabu! Hakuna maneno mengine mazuri unayoweza kuyazungumza kusherehesha tukio la mwanamama wa Kiganda, Zarinah Hassan ‘Zari The...

READ MORE

BAADA YA 40 YA PATRICK… MUNA ANENA MAPYA

IKIWA zimeshatimia siku 40 tangu mtoto wake, Patrick Peter afariki dunia, msaani wa filamu nchini, Rose Alphone ‘Muna Love’ ameamua...

READ MORE

Chid Benz: Bongo Fleva Inakwenda Mbali

MSANII wa Muziki wa Ki­zazi Kipya, Bongo Fleva, Rashid Mak­wilo ‘Chid Benz’, amesema kuwa muziki huo kwa sasa unaonekana utafika...

READ MORE

PETIT MAN: Mirror Amejipoteza Mwenyewe – Video

Wasanii wengi ni Petit Man Wakuache ambaye kwa sasa ni meneja wa wasanii kama Country Boy na Mirror,  Kupitia Exclusive...

READ MORE

SHILOLE AANIKA MJENGO WAKE

MSANII wa Bongo Fleva, Zuwema Mohammed, “Shilole” ameamua kutuonyesha mjengo wake ambao uko kwenye hatua za finishing ili aweze kuhamia...

READ MORE

Dude Jipya la Harmonize – ‘Atarudi Official Video’

MSANII Harmonize kutoka WCB ameachia video ya wimbo wake mpya wa Atarudi, ambapo video ya wimbo huo imeongozwa na Zoom...

READ MORE

MASTAA WAIFAGILIA TWANGA PEPETA

MASTAA mbalimbali Bongo, hivi karibuni wameifagilia Bendi ya The African Starz ‘Twanga Pepeta’ kutokana na juhudi zake za kurudisha msisimko...

READ MORE

DIVA ALIA, MADAKTARI WAGUNDUA HANA UWEZO WA KUPATA UJAUZITO

MTANGAZAJI maarufu, Diva The Bawse ameweka wazi kuwa anahitaji mchango wa kiasi cha dola $7,000 (sawa na Tsh. milioni 15)...

READ MORE

Figo ya Mbunge Bobi Wine Yaharibika kwa Kipigo

Wanasheria wa Mbunge wa Kyaddondo Mashariki nchini Uganda, Robert Kyagulanyi maarufu kama Bobi Wine, wameitaka Tume ya Haki za Binadamu...

READ MORE

NAY WA MITEGO AFUNGUKA ISHU YA KUFILISIWA NA BENKI

Staa wa Bongo Fleva, Emm-anuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ ameifungukia ishu ya kufilisiwa na benki inayosemekana inamdai baada ya kukopa...

READ MORE

MAMA MOBETTO AAPA KUSIMAMA NYUMA YA MWANAYE

  MAMA wa mwana-mitindo Hamisa Mobetto, Shufaa Rutiginga ameweka wazi kuwa hata kama watu wote watamtenga mwanaye huyo, lakini yeye...

READ MORE

FEY AHAMISHWA NYUMBA, KISA KIBEN’TENI

UBUYU mzuri ni ule unaopikwa kwa ustadi wa hali ya juu, yaani watu wa Pwani wanaelewa ubuyu mtamu ulivyo. Ubuyu...

READ MORE

WCB Waanika ya Rich Mavoko BASATA!

LEBO ys WCB imesema taarifa za Rich Mavoko kwenda kujisali Baraza la Sanaa Taifa (BASATA) si sawa kwani tayari alikuwa...

READ MORE