×

Celebrities

Mtoto wa D’Banj Afariki Dunia Kwa Kuzama

HABARI zilizopatikana ni kwamba mtoto wa kiume wa mwanamuziki maarufu wa Nigeria,  D’Banj, amefariki dunia. Mtoto huyo ambaye alimzaa na mkewe...

READ MORE

Prince William Kutembelea Israel, Palestina Mara ya Kwanza

Prince William akiwa  Jordan jana alikopokelewa na viongozi mbalimbali wa kiserikali na kifalme. MAKAO makuu ya kifalme ya Uingereza yamesema mwanamfalme...

READ MORE

Orodha ya Washindi Wote wa BET Awards 2018

HAPA nimekuwekea orodha ya washindi wote wa Tuzo za BET 2018, zilizofanyika usiku wa kuamkia leo kwenye Ukumbi wa Microsoft...

READ MORE

UBUYU: DIANA, ASLAY MAMBO NI MOTO!

KAMA unavyoujua Ubuyu ulivyo, ukiupata mbaya hakuna hata atakayeusogelea kwa sababu madhara yake unachubua ngozi ya mdomo. Lakini ukipata mzuri...

READ MORE

Zabibu Kiba Amfungukia Jokate

DADA wa mwana-muziki maarufu Bongo, Ally Salehe Kiba ‘Ali- Kiba’, Zabibu amem-fungia mpenzi wa zamani wa kaka yake huyo ambaye...

READ MORE

Mwanaheri: Umachinga Unaniokoa

MUIGIZAJI wa Bongo Muvi, Mwanaheri Ahmed amefunguka kuwa umachinga anaoufanya nje ya uigizaji umemsaidia kwa sababu isingekuwa hivyo maisha yangekuwa...

READ MORE

LIVE UPDATES: TUZO ZA BET 2018 KUTOKA JIJINI LOS ANGELES, CALIFONIA NA WASHINDI

 TUZO za BET 2018 (Black Entertainment Television – BET)  zimekuwa Live kuanzia tisa usiku nchini Tanzania ambapo nchini marekani itakuwa...

READ MORE

Duma: Johari ananikuna sana

MSANII wa filamu Bongo Muvi, Daud Michael ‘Duma’, amesema kuwa anakunwa na muigizaji mwenzake Blandina Chagula ‘Johari’ na yeye ndio...

READ MORE

Tajiri Awazawadia Kiwanja Dogo Janja na Uwoya – Video

USIKU wa kuamkia jana ulikuwa ni wa raha yake na wa kihistoria kwa msanii wa Bongo Fleva, Dogo Janja na...

READ MORE

DOGO JANJA AMJIBU MWIJAKU KUHUSU PICHA CHAFU ZA UWOYA – VIDEO

  SAKATA la picha chafu za mke wa Dogo Janja, Irene Uwoya, zilizozua mshangao mitandaoni siku kadhaa zilizopita zikionesha sehemu...

READ MORE

Bieber, Baldwin Waonyesha Mapenzi Yao Hadharani

MWANAMUZIKI maarufu wa Canada, Justin Bieber  na mwanamitindo  na mtangazaji wa televisheni wa Marekani,  Hailey Baldwin,  wamelionyesha penzi lao hadharani, waliponaswa na...

READ MORE

Mmoja wa ‘Wauaji’ wa XXXTentacion Akamatwa

XXXTentacion. MMOJA wa watu wanaotuhumiwa kumwua mwanamuziki wa Marekani, XXXTentacion, aliyetajwa kwa jina la Dedrick Williams, amekamatwa. Mwanamuziki huyo aliuawa na...

READ MORE

Baba wa Michael Jackson Hospitalini Akiumwa Saratani

Mzee Joe Jackson. MZEE Joe Jackson, baba wa wanamuziki, hayati  Michael Jackson na  Janet Jackson,  amelazwa hospitalini akiwa anaugua saratani ambayo madaktari wamesema...

READ MORE

Mobeto Abariki Ndoa ya Lulu

MWANAMITINDO maarufu Bongo, Hamisa Mobeto amebariki ndoa ya staa wa filamu Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ anayetarajiwa kuolewa hivi karibuni na...

READ MORE

Mr Blue: Diamond na Kiba Wana Vitu vya Ziada

Staa wa muziki wa Hip Hop Bongo, Kherry Sameer ‘Mr Blue’, ambaye yupo kwenye gemu tangu mwaka 1999, akiwa amefanikiwa...

READ MORE

SIRI BABA WA ALIKIBA ZAFICHUKA

BAADA ya ukimya wa muda mrefu wa mzazi wa staa wa Bongo Fleva, Ally Salehe Kiba, mzee Salehe hatimaye Ijumaa...

READ MORE

Mbosso Awaka Kisa Video Zake za Matusi

HIVI karibuni kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii ilichafuka video mbalimbali ambazo zilikuwa zinamuonesha mwanamuziki ambaye yupo chini ya Lebo ya...

READ MORE

Jux… Huku ni Kuzubaa, Ushamba, Woga au Kuridhika?

BOB Manecky ni mmoja kati ya maprodyuza naweza sema waliofanikisha kwa kiasi kikubwa safari ya muziki wa Juma Khalid ‘Jux’....

READ MORE

Huddah Aasili Mtoto

Huddah Monroe ‘The Boss Chick’ BAADA ya kukaa muda mrefu bila kupata mtoto, muuza nyago kwenye mitandao na mjasiriamali, Huddah...

READ MORE

Kisa Mtoto, Dudu Baya Amvaa Dully Sykes, Aporomosha Maneno Mazito – Video

Kufuatia msanii Dully Sykes kutoa kauli kwamba Dudu Baya siyo baba bora kwani amemuacha mwanaye bila usimamizi ndiyo maana mtoto...

READ MORE

Muvi ya Black Panther yatisha Tuzo za MTV 2018

TUKIRUKA majuu kiaina, juzi usiku (Jumatatu), kwenye ugawaji wa Tuzo za MTV Movie & TV, ulikuwa ni usiku mkubwa kwa...

READ MORE

Zari ‘Jogoo wa Shamba’ Aliyewika Mjini

ZARINA Hassan ‘Zari’ amezima nyota ya Wema Sepetu na amefubaza mno muonekano wa kisupastaa wa wasanii wengi wa kike Bongo;...

READ MORE

Madawa ya Kulevya Yamuua Kaka’ke Eric Omondi!

KAKA mkubwa wa mchekeshaji maarufu, Eric Omondi, Joseph amefariki dunia huku dawa za kulevya zikitajwa kuwa ndiyo chanzo.  Saa chache kabla...

READ MORE

Ukweli Kitenge Kumuoa Zari

DAR ES SALAAM: Kama ulisikiasikia minong’ono na kuona picha kwenye mitandao ya kijamii bila kujua ukweli wa ishu ya mtangazaji...

READ MORE

KESI YA BABU TALE NGOMA NZITO

DAR ES SALAAM: KESI inayomkabili Mkurugenzi wa Tip Top Connection, Hamis Taletale ‘Babu Tale’ dhidi ya Shehe Salum Mbonde bado...

READ MORE

Bonta Heshimu Jero, Heshimu Buku, Wana Wanywe Bia

ALIANZA kwa kupondwa mawe kwa sababu ni mti wenye matunda, akaona isiwe kesi, akaamua kuuza kura yake, akaonekana shujaa, lakini...

READ MORE

TAASISI YA WAZALENDO NA NGUVU YA MWANAMKE WAADHIMISHA ‘SIKU YA MTOTO WA AFRIKA’

TAASISI ya Wazalendo Tanzania kwa kushirikiana na Taasisi ya Nguvu ya Mwanamke leo wameadhimisha Siku ya Mtoto wa Afrika katika...

READ MORE

Mary J. Blige Atengana na Martin Isaacs

Blige na Isaacs enzi za upendo wao. MSANII Mary J. Blige   wa Marekani hivi sasa hana mume.  Hii ni baada ya...

READ MORE

Blac Chyna Amtosa Almighty Jay Kwa Kuzidisha Michepuko

MWANAMITINDO wa Marekani Blac Chyna  amemtosa mpenzi wake, mwanamuziki Mmarekani  YBN Almighty Jay   akisema amezidi kuchepuka na wasichana wengine. Wawili hao ambao...

READ MORE

Tyga Atakiwa Kurudisha Bil 1.5 Alizotapeli Dubai

Tyga. MWANAMUZIKI wa Marekani, Tyga,  anadaiwa aarudishe fedha aliyopewa na gharama za tiketi alizokatiwa yeye na kundi lake kwa ajili...

READ MORE

Hamisa: Mimi, Mimba Tena? Si Ingetoka!

MWANAMITINDO maarufu na mzazi mwenziye mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond’, Hamisa Mobeto amefunguka kuwa hana ujauzito kama watu wanavyoeneza uvumi huo...

READ MORE

MENEJA: WEMA HAKUKATWA UTUMBO

MENEJA wa muigizaji Wema Sepetu, Neema Ndepanya amefungukia madai ya msanii wake kukatwa utumbo nchini India ili kujipunguza mwili kuwa...

READ MORE

Aibu Yao Mameneja wa Wasanii Mateja

HIT mbili tu kwa msanii wa Bongo ni nongwa; mpigie simu sasa usikie majibu yake: “Mi siwezi kuzungumza kitu, mtafute...

READ MORE

BABA DIMPOZ AMLIPUA BABA DIAMOND

DAR ES SALAAM: HII ni vita ya wakubwa! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya baba wa mwanamuziki wa Bongo Fleva, Omary...

READ MORE

Meghan Markle Ahudhuria Mashindano ya Kwanza ya Farasi

WANANDOA Meghan Markle na mwanamfalme wa Uingereza, Prince Harry,  amehudhuria kwa mara ya kwanza mashindano ya farasi maalum kwa familia ya...

READ MORE

Ariana, Davidson Wahamia Makazi Mapya New York

Pete na Ariana. WACHUMBA ambao ni wasanii maarufu nchini Marekani, Ariana Grande na  Pete Davidson wamehamia katika makazi mapya jijini New York eneo la...

READ MORE

Drake Amzawadia Babaye Gari la Bentley ‘Siku ya Baba’ 👏🏽

MWANAMUZIKI maarufu wa Marekani, Drake,  juzi aliadhimisha Siku ya Baba Duniani  kwa kumnunulia baba yake, Dennis Graham, gari la pesa mbaya ...

READ MORE

Kiwanga: Hamna Pesa Nyie, Mnakopakopa tu- Video

Mbunge wa Jimbo la Mlimba (CHADEMA), Suzan Kiwanga, akichangia hoja katika mjadala wa kupitisha Bajeti Kuu ya serikali 2018 /...

READ MORE

Mabeste Aanika ‘Yaliyomo’ Kwenye Ndoa Yake

MWANAMUZIKI anayefahamika zaidi kwa jina la Mabeste, ambaye hivi karibuni aliachia Wimbo wa Sijui, amefunguka mengi muziki wake na chang-amoto...

READ MORE

Navy Kenzo Wafungukia Wimbo Wao Kubuma

MWANAMUZIKI kutoka Kundi la Navy Kenzo, Aika Mareale ‘Aika’, ameweka wazi kwamba tofauti na maoni ya wengi wimbo wao mpya...

READ MORE