×

Celebrities

Mama Dangote Amsifia Wema Sepetu

MAMA mzazi wa supastaa wa Bongo Fleva, Diamond Platinumz, Bi. Sanura Kasimu almaarufu Mama Dangote amesifia aliyekuwa mpenzi wa zamani...

READ MORE

Ed Sheeran Akata Miaka Saba Bila Kutumia Simu

WAKATI mamilioni ya watu duniani kote katika karne hii wakitekwa na matumizi ya simu, hasa smartphones kiasi cha kushindwa kabisa...

READ MORE

Harmonize: Kiba Lazima Aimbe Kwenye Kumvisha Pete Mchumba Wangu

MWANAMUZIKI maarufu nchini Harmonize ameendelea kuonesha heshima kwa mwanamuziki mwenzake Ali Saleh Kiba kwa kumpongeza kwa kazi nzuri kupitia kwenye...

READ MORE

Kifo cha Ayberk Pekcan Chawaumiza Wengi

Muigizaji nyota wa tamthilia ya Ertugrul inayorushwa na kituo cha runinga cha Azam Two, Ayberk Pekcan maarufu kama Artuk Bey...

READ MORE

Kisa Kibano, Mastaa Guinea Wamkimbia Rais

IKIWA ni baada ya kuondoshwa katika hatua ya 16 Bora ya michuano ya AFCON 2021 kwa kuchapwa 1-0 na Gambia,...

READ MORE

Albam ya P Funk Imekamilika, Soon Inaingia Sokoni

HATIMAYE mtayarishaji nguli wa muziki wa Bongo Fleva, Paul Matthysse maarufu kama P Funk Majani, ametangaza rasmi ujio wa albam...

READ MORE

Kajala Amuonya Ringtone

MWANAMAMA wa Bongo Movies, Kajala Masanja au Frida Kajala amemuonya msanii wa nyimbo za Injili nchini Kenya, Ringtone kuwa aache...

READ MORE

‘Mama Tetema’ ya Rayvanny Yatikisa Billboard

NGOMA ya ‘Mama Tetema’ aliyoimba supastaa wa Bongo Fleva, Raymnond Mwakyusa ‘Rayvanny’ pamoja na nyota wa muziki kutoka nchini Colombia,...

READ MORE

Rayvanny, Paula, Fahyma Watajwa Kwenye Tuzo

MWANAMITINDO na mzazi mwenza wa Staa wa Bongofleva, Raymond Mwakyusa ‘Rayvanny’, Faima Msenga ‘Fahyma au Fahyvanny’ na mpenzi wa sasa wa...

READ MORE

Mama: Tayari Zuchu Amelipiwa Mahari

BI KHADIJA Kopa ni Malkia wa Taarab Afrika na ni mama wa malkia mwingine wa Bongo Fleva, Zuchu ambayeamesainiwa kwenye...

READ MORE

Kusah: Aunt Ndiye Amenifanya Hivi Nilivyo

KATIKA safari ya mafanikio ya maisha ya binadamu, kila siku lazima uvuke milima na mabonde ili ufike kwenye ngazi ya...

READ MORE

Vera Kufanya Tena Sajari ya Matiti

MREMBO maarufu mitandaoni nchini Kenya na Afrika Mashariki, Vera Sidika anasema atafanya tena sajari ya matiti yake ili kuboresha muonekana...

READ MORE

Mastaa: Lazima Tufunge Ndoa Mwaka Huu

“LAZIMA tufunge ndoa mwaka huu!” Hii ni kauli ya baadhi ya mastaa nchini Tanzania wakionesha kuchoshwa na maisha ya uchumba...

READ MORE

Wolper: Nikisikia Umelala Naye Nitamuacha

KUTOKA kwenye insta story ya ya supastaa wa Bongo Movies, Jackline Wolper ‘Mama P’ amesema endapo  akigundua mwanamke mwingine ametembea...

READ MORE

Ulinzi wa Mondi Kama Rais Nigeria

STAA wa muziki wa Afro-Pop barani Afrika, Diamond Platnumz ameteka hisia za wengi katika Jiji la Lagos nchini Nigeria baada...

READ MORE

Harmo: Nachora tattoo usoni

HARMONIZE au Konde Boy ni staa mkubwa wa muziki nchini Tanzania ambaye ameeleza uwezekano wa kuchora tattoo usoni. Harmonize au...

READ MORE

Msami Baby Afunguka Kurogwa na Msanii Mwenzake

Msanii wa Bongo Fleva, Msami Baby kupitia ukurasa wake wa instagram amefunguka kuhusiana na kurogwa na msanii mwenzake na ana...

READ MORE

Johari: Mashela yameondoka na ndoa zetu

  STAA wa kitambo hicho kunako Bongo Movies, Blandina Chagula au Johari anasema kuwa, kipindi kile walichokuwa wakiigiza wamevaa mashela...

READ MORE

Julia Fox: Natembea na Mabilionea Tu

Mrembo Julia Fox ambaye yupo katika mahusiano na Kanye West kwa sasa hivi amewajia juu watu wanaomshambulia yupo kwa Kanye...

READ MORE

Kanye West Aungana na Nike

NI HEADLINES kutoka kwenye kiwanda cha burudani, rapa maarufu duniani, Kanye West mbioni kufanya ushirikiano wa kibiashara na Michael Jordan....

READ MORE

Salam SK Ataja Msanii Anayetajwa Kujitoa WCB

Kutoka twitter meneja wa WcB Wasafi @sallam_sk amefichua kwa mara ya kwanza kuhusu uvumi wa msanii aliyetajwa kujiengua kutoka kwenye...

READ MORE

Jay Z, Robin Thicke, Kelly Rowland, Meek Mill Waungana

Jay Z na wasanii wengine, akiwemo Robin Thicke, Kelly Rowland, Meek Mill, wamejitokeza na kuomba marekebisho sheria ya New York...

READ MORE

Muna Yuko Hoi Kisa Sajari?

IMEDAIWA kwamba, kwa wiki ya pili sasa, msanii wa Bongo Movies, Rose Alphonce Nungu haonekani huku tetesi zikisema kuwa sajari...

READ MORE

Zuchu Asifia Mpenzi Wake… Kisa Kipo Hapa

MALKIA mwingine wa Bongo Fleva, Zuhura Othman au Zuchu amemsifia mpenzi wake baada ya kumnunulia zawadi ambayo alikuwa anaitamani mno....

READ MORE

Harmonize Akanusha Kuachana na Briana

MWANAMUZIKI wa muziki wa kizazi kipya, Rajabu Abdul ‘Harmonize’ leo Januari 23, 2022 amebadiliki amebadili maamuzi yake juu ya hali...

READ MORE

Defao Azikwa Kitaifa DRC

MWAMAMUZIKI wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo François Lulendo Matumona, maarufu General Defao amezikwa Jumamosi hii katika mazishi ya kitaifa....

READ MORE

Idris Elba Kuigiza Kama James Bond

PRODUCERS  wa filamu za 007 James Bond, Barbara Broccoli na Michael G. Wilson wamethibitisha kuwa Jina la Idris Elba ni...

READ MORE

21 Savage Kuachia Albamu Mpya

RAPA maarufu duniani, 21 Savage ametangaza ujio wa album mpya ikiwa ni mwaka mmoja na nusu tangu atoe albam yake....

READ MORE

Davido & Wizkid Wamaliza Bifu

WASANII wakubwa Barani Afrika na duniani kutokea pande za Nigeria, Ayodeji Ibrahim Balogun ‘Wizkid na David Adedeji Adeleke ‘Davido’ wamemaliza...

READ MORE

Akon Anadaiwa Bilioni 9.2

MSANII nguli wa muziki duniani kutoka pande za Senegal, Akon anadaiwa mkwanja na aliyekuwa mshirika mwenzake (business partner) Devyne Stephens...

READ MORE

Mpenzi wa Kanye Apata Dili Nono

Mpenzi mpya wa Kanye West, Julia Fox amelamba dili kubwa Hollywood la kuigiza katika filamu ya msanii nguli na mashuhuri...

READ MORE

Harmonize Athibitisha Kuachana na Bryana

Huenda penzi la mwanamuziki na C.E.O.wa KondeGang Harmonize na mpenzi wake mzungu raia wa Australia #Bryana limevunjika , kulingana na...

READ MORE

Harmonize Kutoa Nyimbo Mfululizo

MWANAMUZIKI wa muziki wa kizazi kipya, Rajabu Abdul ‘Harmonize’ amesema mwaka 2022 atawashangaza wengi kwa kutoa nyimbo mfululizo, ambazo zingine...

READ MORE

Arnold Schwarzenegger Apata Ajali

MUIGIZAJI mkongwe wa filamu za Hollywood na Gavana wa zamani wa Jimbo la California, Arnold Alois Schwarzenegger (74) amepata ajali...

READ MORE

TID Mnyama Kuachia Kombora la Albam

LEGENDARI wa muziki wa Bongo Fleva, Khalid Mohamed ‘TID’ ametangaza kuachia albam yake mpya na ya sita amabyo ameipa jina...

READ MORE

Vee Money, Diamond Kwenye Tuzo Moja na Beyonce

Pamoja na Mwanadada Vanessa Mdee kuachana kabisa na mambo ya mziki na kuamua kufanya mambo mengine,ametwaja kuwania tuzo kubwa za...

READ MORE

Siri ya Bill Nass na Sugu Yafichuka

RAPA maarufu Bongo, William Nicholaus Lyimo Bill Nass amefunguka chanzo cha ukaribu wake na legend wa muziki huo wa rap...

READ MORE

Hatimaye Nuh Mziwanda Afuta Tattoo ya Shilole

ALIYEWAHI kuwa mpenzi wa mwanamuziki na mjasiriamali Zuwena Yusuf Mohammed maarufu kama Shilole, msanii Nuh Mziwanda hatimaye amefuta tattoo aliyokuwa...

READ MORE

Hadija Kopa Abariki Ndoa ya Diamond na Zuchu

MALKIA wa mipasho Bongo, Hadija Omary Kopa amesema haoni tatizo kwa msanii Diamond Platnumz kumuoa mtoto wake Zuchu kwa kuwa...

READ MORE

Diamond Ampongeza Dkt. Ackson Tulia

Staa na Rais wa Lebo ya WCB, Diamond Platnumz ampongeza Tulia Ackson kwa kuteuliwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwa...

READ MORE