×

Celebrities

Tammy: Niliombwa rushwa ya ngono nipewe shoo!

WIKI hii tunaye msanii wa kike wa Muziki wa Hip Hop Bongo, Tamari Ally ‘Tammy the Baddest’ anayejulikana pia kama...

READ MORE

Chura huyu wa Snura ni wa mwendokasi

Mashabiki wa muziki hivi karibuni walijikuta wakibaki wameduwaa kufuatia staili ya chura aliyokuwa akiicheza msanii Snura Mushi akiwa na kundi...

READ MORE

Kanye asapoti picha chafu za Kim

New York, Marekani Kanye West ana vituko! Katika kile kilichowashangaza mashabiki wake hivi karibuni, jamaa huyo ameeleza kuwa anachukulia poa...

READ MORE

Beanie Man akumbwa na ugonjwa wa Zika Kingstone, Jamaica

Mwanamuziki Beanie Man amekuwa kwenye hali ngumu kufuatia kukumbwa na ugonjwa wa Zika unaoambukizwa na mbu aina ya Aedes. Akiizungumzia...

READ MORE

Wenyewe wanataka niwauze – Kelvina

Na Hamida Hassan Mwanadada anayeuza nyago kwenye filamu za Kibongo, Kelvina John ameibuka na kudai kuwa anashangaa kunyooshewa kidole kuwa...

READ MORE

Kisa pesa ya upatu, Ester Kiama aoga matusi

Na Hamida Hassan Msanii wa filamu Bongo, Ester Kiama amejikuta akioga mvua ya matusi kwa madai kuwa amekuwa akisumbua sana...

READ MORE

Malaika achukulia poa tu video yake kuzuiwa

Mwanamuziki Diana Exavery ‘Malaika’ awali alichanganyikiwa kufuatia aliyekuwa mpenzi wake, Edward Baruti ‘Eddie’ kushikilia msimamo wake kuwa hawezi kuruhusu video...

READ MORE

Uwoya, Mkuu wa Mkoa

Stori: Imelda Mtema,  Risasi Jumamosi DAR ES SALAAM: Staa wa Sinema za Kibongo, Irene Pancras Uwoya ‘Mama Krish’, anadaiwa kuwa...

READ MORE

Kisa Rosa Ree… uhusiano wa Aika, Nahreel watibuka!

Navy Kenzo DAR ES SALA-AM: Ule uhusiano uliodumu kwa zaidi ya miaka mitano unaowahusisha wasanii wanaotamba katika Muziki wa Bongo...

READ MORE

Gabo ataka wasomi Bongo Muvi

Na mwandishi wetu, RISASI MCHANGANYIKO MKALI wa filamu za Kibongo anayetikisa kwa sasa, Gabo Zigamba amemnasa Rachel Bithulo ambaye ni...

READ MORE

Kisa mkutano wa CCM Dom… JB, Steve Nyerere vitani

Jacob Stephen ‘JB’ Na Mwandishi Wetu, RISASI Mchanganyiko DAR ES SALAAM: Imevuja! Wasanii wawili wa filamu Bongo, Jacob Stephen ‘JB’...

READ MORE

Prof Jay, Huu Ndiyo Wakati wa Kuwasaidia Wasanii Wenzako

KWAKO Mbunge wa Mikumi, Joseph Haule ‘Prof Jay’ habari yako. Pole na majukumu ya kila siku, vipi familia yako haijambo?...

READ MORE

Flora Mvungi: Wanaoniombea mabaya wananibariki

Na Gladness Mallya, RISASI MCHANGANYIKO BAADA ya hivi karibuni ndoa yake kudaiwa kuvunjika, staa wa muziki na filamu Bongo, Flora...

READ MORE

Ishu ya kufungiwa muziki… Shamsa ampa makavu Nay wa Mitego

Shamsa Ford Na Gladness Mallya, RISASI MCHANGANYIKO KUFUATIA Baraza la Sanaa la Taifa (Basata) kumfungia Nay wa Mitego kufanya muziki...

READ MORE

Skendo za mapenzi zinamponza Belle 9

Stori: Uwazi Showbiz MWANAMUZIKI wa Bongo Fleva ambaye anajivunia Wimbo wa Burgger Movie Selfie sokoni, Abedinego  Damian amefunguka kuwa kila...

READ MORE

Vee Money: Sitasahau nilivyotimuliwa hotelini Sauz

Stori: Uwazi Showbiz MWANADADA anaye peperusha vyema bendera  ya Bongo  kwenye Tasnia ya Muziki Afrika Mashariki, Vanessa Mdee ‘V-Money’ hivi...

READ MORE

Jose Mara atikisa na New Mapacha Watatu

Stori: Uwazi Showbiz WAPENZI wa Muziki wa Dansi nchini, hivi karibuni walimshuhudia Mwanamuziki Jose Mara akitumbuiza peke yake kwenye tamasha...

READ MORE

Kisa kipigo, Nuh akodi bodigadi

Stori: Gabriel Ng’osha KUFUATIA kuwepo madai kuwa msanii wa Bongo Fleva, Nuh Mziwanda kutishiwa kupewa kichapo na mijemba inayodaiwa ilitumwa...

READ MORE

Gigy: Nazaa na Idris

  Stori:  Hamida Hassan, Mayasa Mariwata, Ijumaa Dar es Salaam: Msanii wa muziki ambaye pia anafanya ‘modeling’ na utangazaji kwenye...

READ MORE

DC abembeleza penzi la Lungi, akataliwa

Stori: Hamida Hassan, Wikienda DAR ES SALAAM: Mmoja wa Wakuu wa Wilaya (DC) wa Kanda ya Ziwa ambaye pia ni...

READ MORE

Ubunge + Singeli = Prof Jay

MUZIKI wa Bongo Fleva kwa sasa ni biashara kubwa, umefika mbali kwa maana ya kutoka nje ya mipaka ya nchi...

READ MORE

Nuh adaiwa kupigwa ndoa ya mkeka

Stori: Imelda Mtema, Wikienda DAR ES SALAAM: Staa wa Ngoma ya Jike Shupa, Naftal Mlawa ‘Nuh Mziwanda’, anadaiwa kupigwa ndoa...

READ MORE

Familia imebariki penzi la Naj na Baraka – Lady Naa

Baraka Andrew ‘Baraka The Prince’ na mpenzi wake Najma Dattan ‘Naj’. Stori: Hamida Hassan, Wikienda DAR ES SALAAM: Dada wa...

READ MORE

Esha: Mwanangu siyo haramu

Stori: Hamida Hassan, Wikienda DAR ES SALAAM: Mwigizaji wa sinema za Kibongo, Esha Buheti amewacharukia wanaodai mwanaye Clarisa ni haramu,...

READ MORE

Navy Kenzo wapewa kuwa mabalozi wa Klobaa App ya Marekani

Navy Kenzo wakizungumza na wanahabari jana jijini Dar. DILI NONO! Ndivyo tunavyoweza kusema, ni baada ya kundi la muziki wa...

READ MORE

Mama Diamond anywea kwa Zari

Mama Nasibu Abdul ‘Diamond’, Sanura Kassim ‘Sandra’, Stori: Mayasa Mariwata, Risasi Jumamosi DAR ES SALAAM: Imevuja! Baada ya muda mrefu...

READ MORE

Kisa kuboronga Kiingereza Mashabiki wamtetea Barakah The Prince

Barakah The  Prince HIVI karibuni msanii anayefanya poa kwenye Bongo Fleva, Barakah The  Prince ametengeneza vichwa vya stori za burudani...

READ MORE

Namba za magari ya Nay zahusishwa na Freemason

 Stori: BMM, Risasi Jumamosi NAMBA za magari ya msanii wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay Wa Mitego’, zinahusishwa na baadhi...

READ MORE

Mama: Mimba Ya Jokate Hainihusu

Jokate Mwegelo ‘Jojo’ Stori: Boniphace Ngumije na Mayasa Mariwata Mama mzazi wa mwanamitindo Jokate Mwegelo ‘Jojo’, Benadertha Ndunguru amefungua kinywa...

READ MORE

Shilole adaiwa ‘kumuua’ nuh!

Zuwena Mohammed ‘Shilole’ Stori: Boniphace Ngumije KUNA tetesi kuwa mwanadada asiyekauka kwenye ‘media’ ambaye pia anafanya Muziki wa Bongo Fleva,...

READ MORE

Sabby Angel, Bob Junior wadaiwa kurudiana

Sabrina Omary ‘Sabby Angel’ Stori: Boniphace Ngumije MWANAMUZIKI wa Bongo Fleva, anayesumbua na Ngoma ya Inahusu, Sabrina Omary ‘Sabby Angel’...

READ MORE

Bill Nas azidi kuteswa na madawa ya kulevya

MSANII anayefanya vizuri kwa sasa kwenye Tasnia ya Muziki wa Hip Hop, Bongo Bill Nas hivi karibuni amefunguka kuwa sakata...

READ MORE

Lil Ommy wa Times FM afunga ndoa na Shamimu Mlacha wa ITV

Mtangazaji wa kituo cha redio cha Times FM, Omary Tambwe ‘Lil Ommy’ akiwa na mke wake Shamimu Mlacha. Mtangazaji wa kituo...

READ MORE

Kisa ‘unga’, Chris Brown apoteza mvuto

LOS ANGELES, Marekani STAA wa muziki, Chris Brown amepoteza mvuto wake kisura kisa kikiwa ni madawa ya kulevya ambayo aliwahi...

READ MORE

Blac Chyna, Rob Wamwagana

NEW YORK, Marekani PAMOJA na kutarajia kupata mtoto, Blac Chyna na Rob Kardashian wameachana ambapo Rob amefuta picha zote za...

READ MORE

Miss Tanga Kufanyika Ijumaa hii Ukumbi wa Hotel ya Tanga Beach Resort

 Warembo wanaowania Taji la Mrembo wa Mkoa wa Tanga (Miss Tanga 2016) wakiwa kwenye pozi katika hotel ya Tanga Beach...

READ MORE

Davido ageukia kusomesha wanafunzi

STAA wa muziki kutoka Naija, David Adeleke ‘Davido’ amesema kuwa ameingia rasmi katika kusomesha wanafunzi ili waweze kujikwamua kimaisha. Davido...

READ MORE

Tiwa Savage, mumewe Kurudiana?

Tiwa Savage INAWEZEKANA! Baada ya kutabiri kupatana kwa ndugu wa damu ambao walikuwa hawapatani, Peter na Paul Okoye, staa wa...

READ MORE

Kwa ninayoyaona, sitamani ndoa -Mary Mawigi

HAMIDA HASSAN, IJUMAA MSANII wa filamu za Kibongo, Mary Mawigi amesema kuwa tofauti na wanawake wengine wanaotamani ndoa, yeye hafi...

READ MORE

Faiza, Wema ndani ya bifu nzito

Faiza Ali. IMELDA MTEMA, IJUMAA MTIFUANO wa maneno makali umeibuka kati ya wasanii wa fi lamu Bongo, Wema Sepetu na...

READ MORE