×

Celebrities

Barnaba afungukia mkumbo wa kushuti Sauz

Stori: Uwazi Showbiz MKALI katika gemu la Muziki wa Bongo Fleva, Elius Barnabas ‘Barnaba’ hivi karibuni amefungukia uamuzi wake wa...

READ MORE

Keanu Reeves Ana siri kubwa ya utajiri kwako!

UNAPOZUNGUMZIA waigizaji wenye utajiri mkubwa duniani, basi jina la Mkanada, Keanu Reeves litakuwa miongoni mwao. Kwa watu wa filamu, watakuwa...

READ MORE

Aunt ammwagia mil. 6 Neema Chande!

Neema Chande akitabasamu. STORI: Waandishi wetu, Wikienda Dar es Salaam: Staa wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel Grayson amemmwagia aliyewahi...

READ MORE

Nay; Sasa hebu shika adabu yako!

Na Ojuku Abraham EMMANUEL Elibariki ndilo jina lake halisi, lakini amejipatia umaarufu mkubwa kwa jina la Nay wa Mitego katika...

READ MORE

Chozi la Kanumba kwa Maya halikauki

Mayasa Mrisho ‘Maya’ na Kanumba enzi za uhai wake. STORI: Imelda Mtema, Wikienda Dar es Salaam: Mwigizaji wa kitambo Bongo,...

READ MORE

Petit, Esma sasa hadi kiama!

Esma Platnumz na mumewe, Hamad Manungwa ‘Petit Man’ STORI: Imelda Mtema, Wikienda Dar es Salaam: Mume wa dada wa mwanamuziki...

READ MORE

Lungi: Likiibuka gonjwa litaua mastaa kibao

STORI: Hamida Hassan, Wikienda Dar es Salaam: Msanii wa sinema za Kibongo wa kitambo, Lungi Maulanga amefunguka kuwa endapo litaibuka...

READ MORE

Gigy Money, Idris mahaba niue!

Idris na Gift Stanford ‘Gigy Gladness Mallya, Risasi Jumamosi IMEVUJA! Baada ya hivi karibuni penzi la Wema Sepetu na Idris...

READ MORE

R.O.M.A afunguka ‘kumkopi’ Eminem

Ibrahimu Mussa ‘R.O.M.A’ Makala: Erick Evarist WASANII wengi Bongo kabla ya kuanza sanaa walikuwa na watu wanaowavutia kufanya muziki. Ibrahimu...

READ MORE

Kisa kushuti malaika alia kama mtoto

Stori: BMM, RISASI JUMAMOSI MWANADADA anayeanza kujivunia mashabiki wengi kwenye Tasnia ya Muziki Bongo, Diana Exavery ‘Malaika’ amefunguka kuwa amewahi...

READ MORE

Mwanaheri: Umbo langu linanitesa

Stori: Imelda Mtema MSANII anayekuja vizuri kwenye Tasnia ya Filamu Bongo, Mwanaheri Ahmed ametoa dukuduku lake la moyoni kuwa umbo...

READ MORE

Davina alia kupoteza jembe

Stori: Imelda Mtema Halima Yahaya ‘Davina’, staa wa sinema za Kibongo ambaye mwanzoni mwa wiki hii alimpoteza baba yake mzazi,...

READ MORE

Uzee kumwachisha Bi Mwenda uigizaji

Stori: Imelda Mtema MUIGIZAJI mkongwe kwenye Tasnia ya Filamu Bongo, Fatuma Makongoro ‘Bi Mwenda’ amefunguka kuwa anaona uzee umeshamfikia hivyo...

READ MORE

Belle 9: Sitasahau nilivyotendwa kimapenzi

MWANAMUZIKI anayefanya poa ‘always’ kwenye gemu la Muziki Bongo, akitamba kwa sasa na remix ya Wimbo wa Burger Movie Selfie,...

READ MORE

Jini kabula atibuliwa penzi na Kocha wa Yanga SC

Miriam Jolwa ‘Jini Kabula’ na Kocha wa Yanga, Mholanzi, Hans van Der Pluijm. Stori: Gabriel Ng’osha, Ijumaa Dar es Salaam:...

READ MORE

Hii ndiyo hoteli mpya aliyofungua Chistiano Ronaldo

FUNCHAL, Ureno MSHAMBULIAJI wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo hatimaye ameifungua hoteli yake ya nyota tano ambayo inaonekana kuwa na ubora...

READ MORE

Video queens wa bongo imekula kwao!

Kidoa MIAKA ya nyuma kidogo, wasanii wengi wa muziki hususan Bongo Fleva walikuwa wakiandaa video za nyimbo zao hapahapa Bongo...

READ MORE

Young D na madai ya Tunda kubwia unga

KWENYE safu hii ya 10 Questions leo tunaye mwanamuziki wa kurap anayefanya vizuri kwenye Bongo Fleva, Young D ambaye amewahi...

READ MORE

Jeans Mraruko; fasheni ya kijanja inayopondwa

Kwa wale wanaopendelea kuvaa suruali hasa za jeans, sasa hivi imeingia fasheni mpya ambayo kwa wale wasio wajanja bado wanaishangaa....

READ MORE

Taylor Swift kuwashitaki Kanye, Kim

Taylor Swift Mwanamuziki Taylor Swift yuko mbioni kuwashitaki wanandoa Kim Kardashian na Kanye West kufuatia kuvuja kwa mazungumzo ya siri...

READ MORE

Brandy aulalamikia mkataba wa kitumwa!!

Mwanamuziki Brandy Rayana Norwood ‘Brandy’ ameulalamikia mkataba aliosainishwa na Kampuni ya Chameleon Entertainment akiuita kuwa ni wa kitumwa na yuko...

READ MORE

Ferooz awapotezea mademu mastaa

Na Gabriel Ng’osha Kumbe eeh! Msanii wa ‘long time kitambo’ Ferooz Mrisho amefunguka kuwa hawezi kuwa kwenye uhusiano wa kimapenzi...

READ MORE

Banana aanika siri ya kupotea kwake

Na Boniphace Ngumije MKALI katika gemu la muziki Bongo, Banana Zorro amesema kuwa kujitenga na masuala ya skendo ndiko kumemfanya...

READ MORE

Amber Lulu; Kama ana ngoma, watakufa wengi

Stori: Hamida Hassan, Ijumaa Dar es Salaam: Video Queen anayekuja kwa kasi Bongo, Lulu Euggen ‘Amber Lulu’ anadaiwa kuwa na...

READ MORE

Mama Mobeto amaindi mwanaye kutukanwa

Na Imelda Mtema MAMA mzazi wa mwanamitindo ‘hot’ Bongo, Hamisa Mobeto, Shufaa Lutigunga kwa mara ya kwanza anatengeneza ‘headline’ baada...

READ MORE

Baby Madaha: Hatukurupuki, tunafanya kweli

Na Hamida Hassan Mwanadada anayeunda Kundi la Scorpion Girls, Baby Madaha amefunguka kuwa, yeye na wenzake Isabela Mpanda na Jini...

READ MORE

Mama Kubwa: Figa Yangu Imenipa Ustaa Wa Fasta

Na Imelda Mtema MSANII nyota wa tamthiliya ya Mama Kubwa inayorushwa hewani kupitia Televisheni ya ITV, Miriam Ismail amesema kuwa,...

READ MORE

Kiba akataa saluti ya Diamond!

Musa Mateja, Risasi Rumamosi Dar es Salaam: Zile habari njema kuwa bifu lililofukuta kwa muda mrefu kati ya mastaa wawili...

READ MORE

Lady Gaga na Taylor Kinney watengana!

Marekani Mwanamuziki na mwigizaji mashuhuri kutoka Marekani Lady Gaga amefichua kwamba yeye na mchumba wake “wametengana” kwa muda. Hii imedhihiisha...

READ MORE

Davido Ammwagia Sifa Baba’ke Kwa Kufadhili Wanafunzi

MWANAMUZIKI Davido wa Nigeria, amemmwagia sifa kedekede baba yake kwa kufadhili masomo ya chuo kikuu kwa wanafunzi wapatao 100 ambao...

READ MORE

Linex amfungukia video queen wake!

Erycah IMELDA MTEMA STAA wa Bongo Fleva anayetikisa na Ngoma ya Hewala, Sunday Mangu ‘Linex’ kwa mara ya kwanza amemfungukia...

READ MORE

Gigy atokwa povu kisa Nay kumwambia anajiuza

MAYASA MARIWATA MUUZA nyago mwenye vituko Bongo, Gift Stanford ‘Gigy Money’ amejikuta akitokwa povu baada ya kubanwa maswali kuhusu staa...

READ MORE

Chris Brown, Tylor Swift bifu jipya!

Chris Brown STAA wa POP kutoka Marekani, Christopher Maurice ‘Chris Brown’ ameibuka na bifu jipya baada ya kujibu shutuma za...

READ MORE

Kumbe Joh bonge la dairekta

STAA wa Hip Hop Bongo, John Simon Mseke ‘Joh Makini’ ameonesha kuwa anaweza kazi ya udairekta baada ya kufungukia ngoma...

READ MORE

Skaina: Sitaki kuolewa tena

Imelda Mtema STAA wa filamu Bongo, Skyner Ally ‘Skaina’ amefunguka kuwa hahitaji kuolewa tena wala kusikia kitu kinachoitwa ndoa katika...

READ MORE

Wema: Licha ya kuniacha, nitazaa na Idris

Idris Sultan na Wema Sepetu Imelda Mtema LICHA ya madai kuwa wapenzi wawili, Idris Sultan na Wema Sepetu wamemwagana, muigizaji...

READ MORE

Ester Kiama ajutia uigizaji

Imelda Mtema MSANII kutoka Bongo Muvi, Ester Kiama amesema anajutia kujiingiza katika fani hiyo aliyoitamani muda mrefu baada ya kuona...

READ MORE

Nick Dizo ‘Mtendaji’ Nyuma Ya Video Za Hip Hop

Nick Dizo. Makala: Boniphace Ngumije KATIKA nchi ambayo tasnia ya burudani imeshika kasi kuwa na utitiri wa watayarishaji wa muziki...

READ MORE

Kajala: Tunazeeka, hakuna tulichofanya

Kajala Masanja NA IMELDA MTEMA, RISASI Mchanganyiko MMOJA kati waigizaji waliofanikiwa kutengeneza jina katika Bongo Muvi ni Kajala Masanja ambaye...

READ MORE

Yusuf Mlela akiri hana alichopata Bongo Muvi

Stori: Imelda Mtema HUKU kukiwa na madai ya kuporomoka kwa soko la filamu nchini, muigizaji mahiri Yusuf Mlela amekiri kuwa...

READ MORE