×

Championi

Mkude: Lwandamina Hayupo! 5 Zinawahusu Yanga SC

WAKATI homa ya mchezo wa marudiano wa Ligi Kuu Bara kati ya Simba na Yanga ukianza kupamba moto, kiungo wa...

READ MORE

Mfaransa Simba Amtaja Kamusoko

KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida, Kocha Mkuu wa Simba, Mfaransa, Pierre Lechantre, juzi alimuulizia kiungo mkabaji wa Yanga Mzimbabwe, Thabani...

READ MORE

Mabosi Yanga Wakutana Usiku Kumjadili Lwandamina

KAMATI ya Utendaji ya Yanga, juzi usiku ilikutana haraka kujadili suala kuondoka kwa kocha wao Mzambia, George Lwandamina aliyejiunga na...

READ MORE

WAJUE MABEKI WENYE MABAO MENGI ZAIDI UEFA

GERARD Piqué sasa ni beki anayekamata nam­ba tatu (pacha) kwa ku­funga mabao mengi zaidi katika historia ya Ligi ya Mabingwa...

READ MORE

Kichuya: Hakuna Wa Kuzuia Ubingwa Simba

BAADA ya kufanikiwa kuwafunga Mtibwa Sugar, kiungo mshambuliaji wa Simba, Shiza Kichuya ameweka wazi kuwa kwa sasa hakuna timu itakayowazuia...

READ MORE

Mfaransa Simba Awapigia Magoti Waamuzi

KOCHA Mkuu wa Simba, Mfaransa, Pierre Lechantre amefunguka kuwa amekuwa akipata wakati mgumu katika mechi za Ligi Kuu Bara zilizosalia...

READ MORE

Pluijm: Yanga Tunawajua, Hawatusumbui

KOCHA wa timu ya Singida United, Mholanzi Hans van Der Pluijm kuele­kea kwenye mechi yao ya leo Jumatano dhidi ya...

READ MORE

Lwandamina Atimka Yanga, Atua Zesco

HATIMAYE kocha wa Yanga, George Lwandamina, jana aliwashangaza wengi baada ya kutimka kwenye timu hiyo kimyakimya na kujiunga na timu...

READ MORE

WALIOFIKISHA MABAO 50 KATIKA MICHUANO YA KLABU UEFA:

CRIST IANO Ronaldo ame­kuwa mche­zaji wa kwanza kufunga mabao 120 katika mi­chuano ya klabu Ulaya: siyo mbaya, hasa kwa kuwa...

READ MORE

RANALDO: ANATAJWA BORA ZAIDI UEFA KIHISTORIA

MADRID, Hispania: MIEZI kadhaa iliyopita, kuna wengi waliombe­za Cristiano Ronaldo wakati akipitia kipindi kigumu cha ukame. Ni Ronaldo huyo­huyo ambaye...

READ MORE

YANGA: HATUACHI KITU

BAADA ya Yanga kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Wolaita Dicha ya Ethiopia, wachezaji wa timu hiyo wamesema...

READ MORE

REKODI ZAONYESHA UGUMU WA MECHI MTIBWA VS SIMBA

KIKOSI cha Simba leo kinashuka uwanjani kupambana na Mtibwa Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu Bara kwenye Uwanja wa Jamhuri,...

READ MORE

TFF YATANGAZA KUIBEBA YANGA ETHIOPIA

UONGOZI wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) umesema kuwa unaji­panga kuhakikisha unaisaidia na Yanga katika mchezo wake wa marudiano wa...

READ MORE

Camp Nou, Mashine Ya Fedha Ulaya

   x GAZETI la Championi ndiyo pekee kutoka Tanzania lililofanya matembezi kwenye klabu ya FC Barcelona kwa mwaliko maalum wa klabu...

READ MORE

Mfaransa Ashusha Straika Mbadala Wa Bocco, Okwi

WAKATI Ligi Kuu Bara ikielekea ukingoni Kocha Mkuu wa Simba Mfaransa, Pierre Lechantre amegusia usajili kwa kuwaambia mabosi wake kuwa...

READ MORE

Yanga Lazima Washinde Leo Dhidi Ya Wolayta Dicha Ya Ethiopia

YANGA itawakosa nyota wanne wa kikosi cha kwanza pia makocha wake wasaidizi hawatakuwa benchi kutumikia adhabu za Shirikisho la Soka...

READ MORE

Azam Wana Mzuka Kinoma Kuwavaa Mbeya City

KUELEKEA mchezo wao dhidi ya Mbeya City utakaochezwa leo Jumamosi, Azam FC imesema ina hamu kubwa ya kupata ushindi ili...

READ MORE

Kamusoko Awapania Waethiopia

  KIUNGO wa Yanga, Thabani Kamusoko amewapia wapinzani wao Wolayta Dicha wa Ethiopia katika mchezo wao wa leo kwa kusema...

READ MORE

Mkude Gari Limewaka Simba

KIUNGO wa Simba, Jonas Mkude gari limewaka kwani amesema kwa sasa yupo fiti kucheza baada ya kuanza mazoezi ya pamoja...

READ MORE

Pluijm Atamba Kutwaa Kombe La FA

BAADA ya kuitoa Yanga katika nusu fainali ya Kombe la FA, Kocha wa Singida United, Hans van Der Pluijm ametamba...

READ MORE

Chirwa Anaiwahi Simba Fasta

JUMATANO wiki hii straika wa Yanga, Obrey Chirwa alienda kwao Zambia kutokana na matatizo ya kifamilia, sasa uongozi wa klabu...

READ MORE

Simba Hawana Presha na Mtibwa

INGAWA machoni inaonekana kiroho kinamdunda, lakini Mfaransa wa Simba,Pierre Lechantre amewaambia mashabiki kwamba hana wasiwasi kabisa na mechi ya Mtibwa...

READ MORE

Chid Benz: Hata Mama Yangu Haniulizi Kuhusu Madawa

  JANGA la matumizi ya madawa ya kulevya hapa nchini limekuwa kubwa siku hadi siku na hata duniani kwa jumla,...

READ MORE

Kadi Ya Yondani Yaipeleka Yanga Caf

WAKIPOKEA barua ya kuonywa kutowatumia wachezaji wake wanne, Yanga imekwenda kwenye Shirikisho la Soka Afrika (Caf) kwa kupinga adhabu ya...

READ MORE

Niyonzima Ampa Ahadi Mfaransa Simba SC

BAADA ya kurejea uwanjani, kiungo wa Simba, Haruna Niyonzima raia wa Rwanda amemuahidi makubwa kocha wake Pierre Lechantre kwa kusema...

READ MORE

Yanga: Tumegundua Janja Ya Waethiopia, Tunawapiga Kesho

BENCHI la Ufundi la Yanga lina­loongozwa na Mzambia, George Lwandamina, limewashitukia wapinzani wao, Wolayta Dicha ya Ethiopia ambapo sasa limeamua...

READ MORE

Simba: Yanga Wananatishia Ubingwa Wetu

UONGOZI wa Simba umeingiwa na hofu na Yanga na kudai sasa vita ya ubingwa wa ligi kuu imekolea, baada ya...

READ MORE

Tuzo ya Mchezaji Bora EPL Ni Ya Kevin De Bruyne na Mohamed Salah

VITA  kubwa  kwenye Ligi Kuu ya England sasa imehamia kwenye tuzo ya mchezaji bora wa mwaka wa ligi hiyo am­bapo...

READ MORE

Mfaransa Simba SC Aitumia Salamu Yanga

KOCHA Mkuu wa Simba, Mfaransa, Pierre Lechantre ambaye CV yake imewafunika makocha wote walioko Bongo kwa sasa, ametoa angalizo kwamba...

READ MORE

Yanga Mmejifunza Hatutaki Kuwaona Mkirudia Makosa

YANGA wikiendi hii inatarajiwa kuiwakilisha nchi katika michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika ikivaana na Wolayta Dicha ya nchini Ethiopia...

READ MORE

Mzungu Aiweka Kiporo Yanga

Lechantre, raia wa Ufaransa, ameiweka Yanga kiporo baada ya kusema kuwa, mechi hiyo itakuja kuamua bingwa wa ligi kuu msimu...

READ MORE

Sakata la Wambura Yafikia Patamu

RUFAA ya aliyekuwa Makamu wa Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Michael Richard Wambura, sasa imefikia patamu baada ya...

READ MORE

Vurugu, Pluijm awavaa Yanga, arusha ngumi

VURUGU ziliibuka baada ya Sin­gida United kufanikiwa kuwatoa Yanga katika robo fainali ya Kombe la FA jana Jumapili. Kocha wa...

READ MORE

TP Mazembe Wamfuata Kichuya TFF, Kichuya Amtaja Samatta

JUMANNE iliyopita, Shiza Kichuya akiitumikia Taifa Stars alipiga mpira mwingi na kuwavutia maelfu ya mashabiki waliojitokeza kwenye Uwanja wa Taifa,...

READ MORE

Msuva Afunguka Waarabu Kumuuza Sh Bilioni 1.3

SIMON Msuva ni kiungo mshambuliji wa timu ya Diffaa Al Jadi­da ya nchini Morocco ambaye ametua katika klabu hiyo mwanzoni...

READ MORE

Mfaransa Awa Mbogo Mazoezini Simba

  KOCHA Mkuu wa Simba, Pierre Lechantre, juzi Jumatano, alijikuta akiwa mwenye hasira katika mazoezi ya timu hiyo, yaliyofanyika kwenye...

READ MORE

Unafiki, Uroho wa Madaraka Unaipeleka TFF Shimoni

TAKRIBANI wiki mbili sasa ndani ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), hakuna jambo la maendeleo ambalo linazungumziwa badala yake mizengwe...

READ MORE

NYOSSO: NARUDI KUIOKOA TIMU YANGU

  BEKI wa kati wa Kagera Sugar, Juma Nyosso, amefunguka kuwa, kwa sasa amebakiza mechi moja tu kati ya zile...

READ MORE

Kocha Mbelgiji: Nipeni Taifa Stars Niipeleke Kombe la Dunia 2022

BAADA ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kutangaza kuanza mchakato wa kumsaka kocha mpya wa Taifa Stars, Mbelgiji, Adel Amrouche...

READ MORE

SIMBA WAGOMA KUMUUZA OKWI KWA WAARABU

  UONGOZI wa Simba, umedai kuwa hauwezi kumuuza mchezaji wao Mganda, Emmanuel Okwi kwa timu ya Al Masry na umesisitiza...

READ MORE