×

Championi

Marefa Msituharibie Uhondo wa Dabi ya Kariakoo

LEO ndiyo leo pale Chang’ombe Wilaya ya Temeke, ni siku ambayo shuguli zote nchini husimama kwa dakika tisini kupisha shughuli...

READ MORE

Morrison, Chikwende Wapewa Silaha Kuivuruga Yanga

KATIKA kuonyesha kuwa amepania kupata zaidi ya matokeo katika mchezo wa Dabi ya Kariakoo utakao–pigwa kesho Ijumaa, Kocha Mkuu wa...

READ MORE

Gomes Amfungukia Morrison

KOCHA Mkuu wa Simba, Didier Gomes, amefunguka kuwa kiungo mshambuliaji wake, Bernard Morrison ni ‘Super Sub’ kutokana na uwezo mkubwa...

READ MORE

Mwamuzi Simba vs Yanga Mali ya Yanga

MWAMUZI wa mchezo kati ya Simba na Yanga, Emmanuel Mwandembwa, ni mali ya Yanga kutokana na michezo yote ya Yanga...

READ MORE

Cheza Kibingwa Na Kasino Ya Mtandaoni Ya Meridianbet!

Sloti ya Deuces Wild Poker Usisubiri kuhadithiwa! Jiunge na Meridianbet sasa ili uweze kupata bonasi na promosheni kibao katika michezo...

READ MORE

Kwani Yanga Wenyewe Wanasemaje

ZIMEBAKI siku nne kabla ya mchezo wa watani wa jadi, Simba na Yanga, kupigwa Jumamosi Mei 8 kwenye Uwanja wa...

READ MORE

Bwalya: Tutafanya Maajabu Kimataifa… Droo Ya CAF Leo

KIUNGO mshambuliaji wa Simba, Larry Bwalya amesema kuwa timu hiyo ina nafasi kubwa ya kufanya maajabu katika Hatua ya Robo...

READ MORE

Simba Wakutana Kujadili Ofa ya Manula

BAADA ya mabosi wa timu ya Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini kuzidi kuwa ‘siriaz’ na ishu ya kuipata saini ya...

READ MORE

Yanga Wamuandalia Saido Mwaka Mmoja

YANGA wajanja sana, fasta wamefikia makubaliano mazuri na kiungo wao mshambuliaji Mrundi Said Ntibazonkiza ‘Saido’ kwa ajili ya kumuongezea mkataba...

READ MORE

Simba ni Mwendo wa Pasi, Bao

KINACHOFANYWA na Simba kwa sasa ni ishara ya kuwa timu hiyo imekuwa kwenye ubora wake wa hali ya juu mara...

READ MORE

Wawa: Hakuna wa Kuzuia Ubingwa Simba

BEKI wa kati wa Simba, Muivory Coast, Pascal Wawa ameibuka na kuweka wazi kuwa kutokana na ubora wao kwa sasa...

READ MORE

Luis Anawakimbiza Kinoma Waarabu CAF

KIWANGO cha juu ambacho anakizidi kukionesha kiungo mshambuliaji wa Simba, Luis Miquissone, kimekuwa cha hatari kiasi kwamba kwa sasa anawakimbiza...

READ MORE

Dakika 90 Za Maangamizi Ligi Ya Mabingwa Leo na Kesho

Hii ni wiki ambayo tutazijua mbivu na mbichi za baadhi ya timu kunako Mashindano ya UEFA na Ligi ya Europa....

READ MORE

Mwambusi Ataja Mambo Manne Yanga

KAIMU Kocha Mkuu wa Yanga, Juma Mwambusi, ameanza kuonesha moto ndani ya timu hiyo baada ya kuwapa wachezaji wake mambo...

READ MORE

Mukoko Afunguka Dili la Kujiunga na Kaizer Chiefs

HATIMAYE baada ya kiungo wa Yanga, Tonombe Mukoko kuhusishwa kuhitajika na miamba ya soka kutoka Afrika Kusini, Kaizer Chiefs, kiungo...

READ MORE

Manula Akubali 230M za Waarabu

PAMOJA na Kocha Mkuu wa Simba, raia wa Ufaransa, Didier Gomes Da Rosa, kusema hayupo tayari kumuachia kipa wake, Aishi...

READ MORE

Faili la Fiston, Metacha Mikononi Mwa Migne

UONGOZI wa Yanga, umepanga kumkabidhi Kocha Mkuu mpya wa timu hiyo, Mfaransa Sebastien Migne faili la wachezaji wote wanaotarajiwa kumaliza...

READ MORE

Mwambusi Aunda Vikosi Vitatu Yanga

UNAAMBIWA kocha wa muda wa Yanga, Juma Mwambusi, amedhamiria kufanya kweli kwenye michezo iliyosalia baada ya kukigawa kikosi hicho kwenye...

READ MORE

Man United Kumpa Mkataba Mpya Ole

KLABU ya Manchester United inajiandaa kumuongezea mkataba mpya Ole Gunnar Solskjaer kuendelea kuwa kocha wa timu hiyo.Imeelezwa kuwa mazungumzo ya...

READ MORE

Waarabu Wamng’oa Manula Simba

WAKATI kipa wa Simba, Aishi Manula akiendelea kung’ara kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika msimu huu, taarifa kutoka Sudan...

READ MORE

Gomes Aliandaa Jembe Jipya la CAF Kumrithi Wawa

KOCHA Mkuu wa Simba, Mfaransa Didier Gomes ameanza kumuandaa beki wake mpya raia wa Zimbabwe, Peter Muduhwa katika kuelekea mchezo...

READ MORE

Manchester United Kukiwasha na West Ham United Jumapili

Zikiwa imesalia michezo 10 tu kabla ya msimu huu wa EPL kumalizika, kila timu inajitutumua kuhakikisha inamaliza msimu katika nafasi...

READ MORE

Yanga Yatenga Mechi 12

  UONGOZI wa Yanga, umesema kuwa bado una nafasi ya kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara licha ya kuwa kwenye...

READ MORE

Dube Majanga Tena, Nje Wiki Mbili Azam FC

MAJANGA! Ndivyo utakavyoweza kusema kwa mshambuliaji wa Azam FC Prince Dube ambaye anatarajiwa kukaa nje ya uwanja kwa muda wa...

READ MORE

Jembe la Kaze Larejea Kikosini Yanga

RASMI sasa kiungo mshambuliaji wa Yanga, Mburkinabe Yacouba Songne, atakuwa sehemu ya kikosi cha keshokutwa kitakachocheza na Coastal Union ya...

READ MORE

Harmo: Kajala Akiniacha Naweza Kujiua

UNAAMBIWAstaa anayefanya poa kwa sasa kunako Bongo Fleva, Rajab Abdul almaarufu Harmonize au Konde Boy, amenyoosha maelezo kwa mpenzi wake...

READ MORE

Straika Tegemeo Ahly aumia Dar

WAKATI joto la mchezo wa hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya Simba na Al Ahly ya...

READ MORE

Mo Amwaga Mamilioni Mwarabu Afe

SIMBA chini ya mwekezaji bilionea Mohamed Dewji ‘Mo’, imewatangazia wachezaji na benchi la ufundi motisha ya Sh milioni 400 kama...

READ MORE

Rekodi ya Simba Yaivuruga Al Ahly

REKODI ya Simba katika michuano ya kimataifa inapocheza katika uwanja wa nyumbani wa Benjamin Mkapa imeonekana kuibeba zaidi timu hiyo...

READ MORE

Carlinhos ni Balaa Kubwa Yanga SC

BAADA ya kiungo mshambuliaji wa Yanga, Carlos Carlinhos, juzi Jumamosi kuifungia Yanga bao la ushindi dhidi Mtibwa Sugar, sasa mchezaji...

READ MORE

Tonombe Ashusha Presha Yanga

UONGOZI wa Yanga umewatoa hofu mashabiki wa timu hiyo kuhusu hali ya kiungo wao kipenzi, Mkongomani Mukoko Tonombe ambaye juzi...

READ MORE

Barcelona Kukiwasha Na PSG Leo Ligi Ya Mabingwa

Ligi ya Mabingwa inarejea Jumanne hii hatua ya 16 Bora, Barcelona anaialika Paris Saint German. Kupitia Meridianbet Barcelona amepewa Odds...

READ MORE

Mfaransa Simba Ashuka na Mipango Mizito Dar

KOCHA Mkuu wa Simba, Mfaransa Didier Gomes, amefunguka kuwa hesabu zake ni kuhakikisha kwamba anapata pointi zote tisa katika mechi...

READ MORE

Beki Mpya Simba ni Kocha Mchezaji

KAMA Kocha Mkuu wa Simba, raia wa Ufaransa, Didier Gomes Da Rosa atamtumia beki wake mpya raia wa Zimbabwe, Peter...

READ MORE

Nyota Al Ahly: Tunakuja Kusaka Ushindi Dar

NYOTA wa Al Ahly, Walter Bwalya, amesema kuwa watakuja Dar kwa lengo moja la kusaka ushindi mbele ya Simba kwenye...

READ MORE

Kaze Awatumia Ujumbe Mzito Simba SC

BIG bosi wa benchi la ufundi la Yanga, Mrundi Cedric Kaze ametamba kwamba hakuna namna ambayo itawafanya wapinzani wao Simba...

READ MORE

Vita: Simba Walistahili

BAADA ya AS Vita kukubali kichapo cha bao 1-0 dhidi ya Simba, wachezaji wa timu hiyo wamesema kuwa Simba walistahili...

READ MORE

Namungo Yarejea, Yasubiri maamuzi ya Caf

  BAADA ya kuahirishwa kwa mchezo wao wa hatua ya mtoano ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi Clube Desportivo 1º...

READ MORE

Lokosa Ashtukiwa, Simba Wamtwisha Zigo Zito

UNAAMBIWA baada ya jana Kocha Mkuu wa Simba, raia wa Ufaransa, Didier Gomes Da Rosa, kumaliza mchezo wake wa kwanza...

READ MORE

Kaze Ajivisha Mabomu, Atupa Kombora Simba

BAADA ya mchezo wa Dar es Salaam Dabi kusogezwa mbele, Kocha Mkuu wa Yanga Mrundi Cedric Kaze ameibuka na kutamka...

READ MORE