×

Global TV Online

Miaka 58 ya Uhuru: JPM Asamehe Wafungwa 5,533 – Video

RAIS John Magufuli leo Desemba 9, 2019, amesamehe wafungwa 5,533 katika sherehe za kuadhimisha miaka 58 ya uhuru wa Tanganyika...

READ MORE

JPM Apokelewa kwa Shangwe CCM Kirumba – Video

  RAIS  John Magufuli amepokelewa kwa shangwe na vifijo wakati akiingia katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza katika kusherehekea...

READ MORE

LIVE: Gwaride, Kwata, Ndege za Jeshi Mbele ya JPM – Video

MAADHIMISHO Miaka 58 ya Uhuru wa Tanzania Bara na miaka 57 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania yanafanyika leo katika...

READ MORE

Rais JPM Aongoza Maadhimisho ya Sherehe za Uhuru Mwanza – Video

Rais Dk. John Magufuli ambaye pia ni Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama amekagua gwaride la heshima...

READ MORE

Video: Rais Magufuli Aweka Jiwe La Msingi Ujenzi Wa Meli Mpya Mwanza

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo Desemba 8, 2019 ameweka Jiwe la...

READ MORE

VIDEO: JOHARI Afunguka Kifo cha Mdogo wa Kanumba

 Msanii mkongwe wa filamu nchini, Blandina Chagula maarufu kama Johari, amefika nyumabani kwa mama Kanumba Kimra – Temboni jijini...

READ MORE

Video: Mwanafunzi Amkuna JPM, Ampa Milioni 5 – Video

Rais John Pombe Magufuli akiwa na msichana Salma Yasini, Kiongozi wa wanafunzi wa Shule ya msingi ya Iseni B ambaye...

READ MORE

Mshtuko Dar! Vijana Wachinja, Wala Nyama Mbichi ya Paka

HUU ni zaidi ya mshtuko! Wakati watu wakiwa wamezoea kula nyama ya ng’ombe, mbuzi na wanyama wengine waliozoeleka tena ambayo...

READ MORE

Nguvu ya Global Group & V.O.A Yazidi Kuimarika Kimataifa

  MKURUGENZI  wa Masoko Joyce Ngoh, Mashariki na Kusini mwa Afrika kutoka wa Shirika la Habari la Amerika, Voice of...

READ MORE

Vijana Wanachinja na Kula Paka Mbichi, Wanabugia Minyoo – Video

UKISTAAJABU ya MUSA utayaona ya FIRAUNI! Hivyo ndivyo unavyoweza kusema kufuatia vijana hawa wawili wa makamu wasioweza kula chakula cha...

READ MORE

Jafo Ambana Mkurugenzi, Azirai Papo Hapo! – Video

MKURUGENZI wa kampuni ya Scol Building Contractors Limited ameanguka na kuzirai mbele ya Waziri wa Tamisemi, Selemani Jafo baada ya...

READ MORE

Tanga: Kijana Akatwa Jembe Shingoni, Auawa

MTU mmoja aliyekuwa akifanya kibarua cha kulima, Fadhili Rashidi (35), ameuawa kwa kukatwa na jembe shingoni.   Tukio hilo limetokea...

READ MORE

Breaking News: Sumaye Abwaga Manyanga, Ajiondoa Chadema – Video

WAZIRI mkuu mstaafu, Frederick Sumaye.  leo Desemba 4, 2019 ametangaza rasmi kujitoa katika Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema).  ...

READ MORE

Mwijaku Amwaga Ubuyu Video za Menina, Amtaja Mobeto – Video

Msanii na mtangazaji, Mwijaku amefunguka kwa mara ya kwanza tangu sakata la picha za utupu za rafiki yake Menina kutokea,...

READ MORE

MISS TZ Asimulia MADAWA ya KULEVYA Yalivyotaka KUMUUA – Video

 Global TV imefunga safari mpaka kituo cha Mwananyamala kinacholea waathirika wa madawa ya kulevya na kuzungumza nao, ni vipi...

READ MORE

DC Sabaya Amsweka Ndani Kapteni wa Jeshi ”Unajifanya Kichaa?” – Video

MKUU wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya, amerejesha Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) eneo lenye ukubwa wa ekari mbili...

READ MORE

Mwakinyo Ahudhuria Mazishi ya Mashabiki Wake

BONDIA namba moja Tanzania, Hassan Mwakinyo amefika jijini Tanga na kuhudhuria mazishi ya mashabiki wake wawili waliofariki kwa ajali baada...

READ MORE

Sapraizi ya Askofu Gwajima Yaacha Gumzo – Video

Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima nchini Tanzania, Dr.Josephat Gwajima Ameahidi Kumpatia Shilingi Milioni 100 Muimbaji Wa Muziki Wa...

READ MORE

Global Habari Dec 01: Waziri Lugola Akanusha Tuhuma Za Kufukuza Wakimbizi

 Serikali ya Tanzania imekanusha tuhuma zinazoelekezwa kwake kwamba imekua ikiwafukuza wakimbizi wa Burundi wanaoishi katika Makambi na Makazi mbalimbali...

READ MORE

Vilio Upya Makaburini! Misa ya Wazazi wa Anna Zambi – Video

SIMANZI na majonzi vimeibuka tena leo Jumamosi, Novemba 30, 2019 katika familia ya Mwanafunzi Anna Zambi ambaye miezi michache iliyopita...

READ MORE

Mfaume Amchapa Keis Ally, Alia Kubebwa – Video

BONDIA Mfaume Mfaume amemtwanga bondia mwenzake Keis Ally, katika raundi ya nane na ya mwisho kwenye pambano la utangulizi kusindikiza...

READ MORE

Simanzi na Vilio! Mazishi ya Bi Cheka – Video

HATIMAYE mwili wa mwanamuziki wa bongo Fleva, Cheka Haji maarufu kama Bi Cheka umehifadhiwa kwenye Makaburi ya Kigofu Bunju, jijini...

READ MORE

EXCLUSIVE: ZAHERA Ataja OFA Alizopata – “SIMBA Naweza Kwenda, Mimi ni KOCHA”- Video

 KOCHA ambaye jina lake likitajwa tu mashabiki wa Yanga wanashtuka, Mwinyi Zahera ametua nchini usiku wa kuamkia jana Jumatano....

READ MORE

JPM: ‘Aliye Tayari Kumwaga Damu Mwambieni Amwage Mkojo’ – Video

RAIS Dkt. John Pombe magufuli amewataka wananchi wa Wilaya ya Bukombe mkoani Geita na Watazania wote kwa ujumla kuendelea kuitunza...

READ MORE

JPM: “Hata Kususia Uchaguzi Nayo ni Demokrasia” – Video

RAIS John Magufuli amesema kitendo cha vyama vya upinzani kususia uchaguzi wa serikali za mitaa ni demokrasia huku akisisitiza kuwa...

READ MORE

Global Habari Nov 26: Moto Waua Watoto Watatu Wa Familia Moja Dsm

 Watoto watatu wa Familia moja akiwemo Idris Masoud, Ikram Masoud na Abubakari Masoud wamepoteza maisha jijini Dar es salaam...

READ MORE

Aliyepania Kumng’oa Mbowe Uenyekiti Chadema Afunguka – Video

Mbunge wa Ndanda, Cecil Mwambe(Chadema), ametangaza azma ya kutaka kuwania nafasi ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)...

READ MORE

Video: Moto Ulivyounguza Hadi Kuua Watoto 3 Familia Moja, Mama Asimulia

 Majonzi yameikumba familia ya Masudi Ally na mkewe Tabu Bakari baada ya kufiwa na nawatoto wao watatu kwa pamoja...

READ MORE