×

Global TV Online

VIDEO: CHADEMA WATOA TAMKO, TUNDU LISSU KUVULIWA UBUNGE

Siku mbili baada ya Spika wa Bunge, Job Ndugai, kutangaza kumvua ubunge aliyekuwa Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu, Chama...

READ MORE

Atembea Kwa MIGUU Mikoa 8 Akimuenzi Nyerere – Video

KIJANA anayejulikana kwa jina la Ramadhani Salum Mohamed mkazi wa Mbeya amewka Historia ya aina yake na ya kizalendo baada...

READ MORE

Harusi ya MC Pilipili: Tazama Baby Wake Akipambwa – Video

Unaambiwa hayawi hayawi, mwishowe yamekuwa! ile siku ya harusi ya mchekeshaji maarufu nchini, Emmanul mathias aka MC Pilipili na mchumba...

READ MORE

Amuua Mdogo Wake, Kisa Anaitwa Sana Jikoni

JESHI la Polisi mkoani Mara linamsaka Mniko Chacha (20) mkazi wa Kijiji cha Kitagutiti Kata ya Mbogi Wilaya Tarime mkoani...

READ MORE

BREAKING: BoT Yakabidhiwa Madini Yaliyokamatwa Yakitoroshwa – Video

Benki kuu ya Tanzania (BOT), leo Juni 29, imekabidhiwa madini, fedha na vito mbalimbali viliyotaifishwa na serikali vilipokuwa vinatoroshwa nje...

READ MORE

Watanzania 9 Wauawa Mpakani na Msumbiji, Sirro Atoa Tamko – Video

RAIA tisa wa Tanzania  na raia wawili wa Msumbiji wameuawa na watu wasiojulikana huku Watanzania wengine sita wakijeruhiwa vibaya katika...

READ MORE

NEC Taifa Yatembelea Miradi Mikubwa Ya Serikali – Video

Ujumbe wa Kamati Kuu Taifa wa CCM, umefanya ziara ya kutembelea miradi mikubwa ya inayotekelezwa na serikali ya awamu ya...

READ MORE

Zitto: Bunge Liibane Serikali Kuhusu Mikopo – Video

MBUNGE wa Kigoma Mjini (ACT-Wazalendo), Zitto Kabwe, amesema kuna umuhimu wa Bunge kuipangia serikali ya kiasi cha fedha inachotakiwa kukopa...

READ MORE

Pedi, Pampas, Zamgusa Bashe, Aishauri Serikali – Video

MBUNGE  wa Nzega Mjini (CCM), Hussein Bashe,  ameishauri Serikali ya Tanzania kuruhusu wakulima wa pamba kuuza moja kwa moja zao...

READ MORE

Wabunge Wapiga Kura, Waipitisha Bajeti Kuu ya Serikali 2019/2010 – Video

Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Juni 25, wamepiga kura ya maoni na kupitisha Bajeti Kuu...

READ MORE

RAIS MAGUFULI AZINDUA GHALA NA MITAMBO YA GESI KIGAMBONI, VIJIBWENI, DAR – Video

       RAIS John Magufuli amemruhusu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, kwenda nchini Misri...

READ MORE

NDUGAI: “Huyu Kijana Hajitambui, HAJIELEWI, Anamdanganya RAIS Hadharani” – Video

Spika wa Bunge, Job Ndugai, amemjibu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kufuatia kauli aliyoitoa leo mbele...

READ MORE

Rostam Afunguka Kilichomrudisha Nchini, Amtaja Magufuli- Video

MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi wa Kampuni ya Taifa Gas Tanzania Ltd. mfanyabiashara Rostam Aziz, amemshukuru Rais John Magufuli kwa...

READ MORE

LIVE: JPM Azindua Ghala, Mitambo ya Gesi Kigamboni – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli, leo June 25, 2019, anazindua ghala na Mitambo ya...

READ MORE

VIDEO: SPIKA NDUGAI, Wabunge WAFUNGUKA Baada Ya Taifa Stars KUCHEZEA KICHAPO…

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job ndugai na baadhi ya wabunge walioshiriki kwenda kuipa sapoti timu...

READ MORE

UCHAMBUZI: Uwepo wa Maabara Zisizo Rasmi, Nani Alaumiwe? – Video

Ni uchambuzi wa magazeti kutoka +255 Global Radio, Juni 25, 2019, leo tunauliza, Je, Unahisi uwepo wa maabara zisizo rasmi...

READ MORE

#Breaking: Wabunge Wapiga Kura Kupitisha Bajeti Kuu ya Serikali – Video

Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Juni 25, wanapiga kura ya maoni ya kupitisha Bajeti Kuu...

READ MORE

VIDEO: UAMUZI wa YANGA Kuhusu AJIB – “Akitaka Aende Popote Tu”

 MAKAMU Mwenyekiti wa Yanga, Fredrick Mwakalebela,  leo Juni 20, 2019,  akiongea na wanahabari makao makuu ya klabu hiyo,  ametoa kauli...

READ MORE

VIDEO: Mbowe, Azungumza Akiwa Mahakama ya Afrika Mashariki

 Mahakama ya Afrika ya Mashariki, imetupa mbali maombi ya dharura ya  viongozi wa vyama vya upinzani nchini Tanzania, wakiongozwa...

READ MORE

RC MWANRI KAWAGEUKIA MADIWANI -“Mzee Nitafyeka Wote Hawa” – Video

Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Aggrey Mwanri amewaasa madiwani kutumia vizuri madaraka waliyonayo katika kuleta maendeleo kwa wananchi.   Mwanri...

READ MORE