×

Global TV Online

Inasikitisha! Sadick Aomba Kusadiwa Hajaliona Jua Tangu 2015 Yupo Kitandani Hoi – Video

Sadick Semkuva, yupo kitandani tangu mwaka 2016, akiwa amepooza mwili mzima kiasi cha kushindwa kufanya chochote mpaka asaidiwe. Anasema jinsi...

READ MORE

Exclusive: Anna Juakali Amkabidhi Mungu Ndoa Yake, Afichua Ya Uhusiano – Video

Staa wa Bongo Movie anayefanya vizuri kwenye tamthiliya ya Juakali Anna, amefanya mahojiano na Global Tv kupitia Exlusive za Imelda...

READ MORE

Nical -“Video Vixen Ni Wezi, Wanadanga Kwa Wasanii, Wanakopwa, Marioo Na Paula Tumechoka”- Video

VIDEO vixen matata Bongo, Monica Maulid ‘Nical’ ambaye ameshafanya kazi na wasanii mbalimbali kama vile Mbosso, Diamond Platnumz, Marioo, Rayvanny...

READ MORE

Siza Mazongela Wa Segere – “Mwanamke Hutakiwi Kumuambia Mume Umechoka” – Video

Msanii mkongwe wa muziki wa Taarab, Siza Mazongela aliyepata umaarufu zaidi kwa kuimba ‘Segere’, amepiga stori na Global TV kupitia...

READ MORE

Rushaynah Ex Wa Manara Ajilipua Penzi Lake Na Harmonize – Video

Mwanadada Rushaynah aliyewahi kuwa mke wa Haji Manara, amefungukia video zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii zikimuonesha akiwa na Harmonize. Rushayna...

READ MORE

Mrembo Marry Amlipua Harmonize – “Unashinda DM, Warembo Wapo Sema Hawataki Kuwa Maarufu”-Video

CHOTA MAPENE ndiyo mchongo mpya town! Kwa shilingi 1,000 tu, yaani BUKU unajichotea mapene kibao au kupata nafasi ya kujishindia...

READ MORE

Mamba Mla Watu Nyama Yake Yaliwa Na Watu – Wananchi Wafunguka Mazito Kwa Serikali – Video

Mamba aliyekuwa akiwashambulia watu na mifugo katika Kijiji cha Izindabo Kata ya Lugata Kisiwa cha Kome Wilayani Sengerema Mkoa wa...

READ MORE

Kikwete Aonya Kuchanganya Dini Na Siasa “Ni Jambo Hatari Kwa Amani Na Utulivu Wa Taifa”-Video

RAIS Mstaafu Jakaya Kikwete amewataka Watanzania kuwanyanyapaa viongozi wanaochanganya dini na siasa kwa kuwa ni jambo hatari kwa ustawi wa...

READ MORE

Carina Bado Usaha Unatoka Tumboni, Haamini Hadi Leo Yupo Hai, Aomba Kusadiwa – Video

Muigizaji wa Bongo Muvi, Carolinahawa Hussein “Carina” @officialcarolinhawa ambaye takribani miaka mitano yuko ndani akisumbuliwa na tatizo la tumbo, ambapo...

READ MORE

Nyoshi Afunguka Kuziua Bendi Za Tukuyu Sound Na Town Classic – Video

Msanii mkongwe wa muziki wa dansi nchini, Nyoshi El Saadat amesema wasanii wengi wa dansi, huwa na tamaa jambo linalosababisha...

READ MORE

Prof. Mkenda: Mabadiliko Ya Mitaala Mipya Ya Elimu Bado Hayajapitishwa – Video

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda, amesema “Mapendekezo yana Mabadiliko makubwa kwenye mfumo wa Elimu kwa kuwa...

READ MORE

#Exclusive: Shabiki Mkubwa Wa Simba Aomba Kusadiwa na Mo Dewji Ahame Kwenye Chumba Kimoja-Video

Shabiki kindakindaki wa Klabu ya Simba, Rehema Kamburuta almaarufu Mama Bocco, amesema anawaomba mashabiki wa simba kuanzia Rais wa heshima...

READ MORE

Shetta Afichua Mazito Ugomvi Wake Na Diamond, Auponda Muziki Wa Amapiano – Video

Staa wa kitambo wa Bongo Fleva, Shetta ‘Baba Kayla’, amefunguka kwamba siyo kwamba anawakataza wasanii wa Bongo Fleva kuimba Amapiano...

READ MORE

Mwanafunzi Apotea Akiwa Kwa Mkuu Wa Shule, Adai Alimchapa Kwa Kumkuta Na Simu – Video

Taharuki imetanda kwenye familia ya Warda Mohammed (15), mwanafunzi wa Shule ya Sekondari Nyumbu, Kibaha baada ya binti huyo mdogo...

READ MORE

RC Albert Chalamila Avunja Uongozi wa Soko la Ndizi Mabibo, Zomeeeni Muone – Video

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amevunja Uongozi wa Soko la Ndizi Mabibo na kuwaagiza Jeshi la...

READ MORE

Masudi Alizaliwa Mweusi Akapata Ulemavu Wa Ngozi, Akasakwa Auawe Na Baba’ke -Video

Kupitia Kipindi cha #Konayamtaa, kijana Masoud Shaaban @therealwhitekid amefunguka jambo linaloshangaza kwamba licha ya kuwa na ulemavu wa ngozi, kijana...

READ MORE

Waandishi Wavamiwa Na Kujeruhiwa Kwa Mikuki Ngorongoro, Hali Zao Mbaya – Video

Zaidi ya vijana 200 wa jamii Ngorongoro, Mkoani Arusha wamewavamia na kuwajeruhi waandishi wa habari na mkalimani aliyeambatana nao. Waandishi...

READ MORE

#Exclusive: Kwa Unyonge Dulla Makabila Akiri Bado Anampenda Zaylissa “Siwezi Msema Vibaya Ni Mzuri” – Video

Global Tv imefanya mahojiano na Dulla makabila @dullamakabila na kusema kuwa hawezi kumsema au kumchafua vibaya aliyekuwa mke wake Zaylissa...

READ MORE

#Exclusive: Msanii Wa Bongo Anayesikika Kwenye Movie Ya Black Panther Afichua Siri Ya Mafanikio… Video

CHOTA MAPENE ndiyo mchongo mpya town! Kwa shilingi 1,000 tu, yaani BUKU unajichotea mapene kibao au kupata nafasi ya kujishindia...

READ MORE

#Exclusive: Boss Wa Alex Aliyejipiga Risasi Sinza Afunguka Ukweli Wote – ”Hakuwa Anadaiwa”… Video

Msanii wa mkongwe wa Bongo Muvi ambaye amecheza filamu nyingi,Eva Clement @da_pendoo amefunguka ukweli kuhusiana na kifo cha aliyekuwa mfanyakazi...

READ MORE

Profesa Janabi Aonya Wanaofanya Mazoezi ya Kukimbia ‘Jogging,’bila Kupima Afya -Video

Mkurugenzi Mtendaji Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Profesa Mohamed Janabi, ameonya wanaofanya mazoezi ya kukimbia maarufu kama ‘jogging,’ kuwa wako...

READ MORE

Manara Afunguka Kwa Uchungu -“Sikustahili Adhabu, Serikali Haioni Ninachofanyiwa? – Video

Msemaji wa Yanga, Haji Manara ambaye anatumikia adhabu ya kufungiwa kutojihusisha na soka kwa miaka miwili amefunguka kuhusu adhabu hiyo...

READ MORE

Binti Ateseka Miaka 7 Kwa Figo, Uvimbe Tumbo, TB… Aomba Msaada – Video

Binti Zaidina Issa 29 ambaye ni mama wa watoto 3 Mkazi wa kijiji cha Diloda Halmashauri ya wilaya Hanang’ Mkoani...

READ MORE

#Exclusive: Denzel Trainer Wa Alikiba Afichua Mazito Ya Kajala Wakiwa Gym -Video

 Denzel ni Trainer wa Alikiba ambaye ameweka wazi kuwa Alikiba ndiye alimkutanisha na Rais Mstaafu wa Tanzania Jakaya Mrisho...

READ MORE

Pesa Ya Vikoba Yaondoa Uhai Wa Mtu Arusha, Mama Ajinyonga Kisa Marejesho, Aacha Simanzi…

Hali ya sintofahamu imeibuga jijini Arusha baada ya mwanamke mmoja ambaye jina lake halijafahamika amedaiwa kujinyonga kwa kile kinachodaiwa kuwa...

READ MORE

#Exclusive: Jesca Kitambaa Cheupe Afichua Kufilisika, Kulala Rumande Kisa Baa – Video

Mwanadada Jessica Kikumbi @jessicakikumbi ambaye ni Mkurugenzi wa Kampuni ya Kitambaa Cheupe inayomiliki baa kubwa jijini Dar es Salaam, amesema...

READ MORE

Mke Wa Rafiki Yake Afia Getoni Kwake, Apewa Kesi Ya Mauaji Na Kusota Jela Miaka 9, Mwenyewe Asimulia – Video

Kijana aliyejitambulisha kwa jina la Tumaini Chilu amesimulia kisa cha yeye kumwachia rafiki yake chumba (geto) ili apumzike na mchumba...

READ MORE

#Exclusive: Denzel Trainer Wa Alikiba Afichua Ya Kajala Wakiwa Gym -”Kuna Mipaka, Sio Jambo Baya” – Video

Kupitia #ExclusiveInterview na @imeldamtema, Global TV imefanya mahojiano na Denzel, mwalimu wa mazoezi wa Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete na mastaa...

READ MORE

Penzi La Bibi Miaka 60 Na Kijana Laingia Doa, Waachana Kisa Video Iliyovuja | Mapito – Video

Lile penzi lililozua mijadala kwenye mitandao ya kijamii kati ya kijana mwenye umri wa miaka 27 na bibi mwenye umri...

READ MORE

Rais Samia Alivyopigiwa Shangwe Uwanja Wa Mkapa (Picha +Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Wachezaji wa timu ya...

READ MORE

Simba Day: Hali Ilivyo Kwa Mkapa, Nyeupe Na Nyekundu Tu, Mashabiki Watamba…(Video+Picha)

LEO Jumapili linafanyika Tamasha la Simba Day kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar, ambapo kutakuwa na burudani mbalimbali, kisha kikosi cha...

READ MORE

#Exclusive: Kimewaka! Kumbuka Ajibu Tuhuma Za Kijana Aliyedaiwa Kumlawiti -Video

Kufuatia tuhuma za Kijana anayedai kufanyiwa ukatili wa kingono kwa kulawitiwa na mtangazaji na mshereheshaji mwenye jina lake hapa mjini,...

READ MORE

Kijana Anayedaiwa Kulawitiwa Na Dr Kumbuka Amwaga Ukweli Wote -Video

Kijana anayedai kufanyiwa ukatili wa kingono kwa kulawitiwa na mtangazaji na mshereheshaji mwenye jina mjini, Dkt. Kumbuka amefunguka na kuelezea...

READ MORE

Mtoto Miezi 6 Kilio Tu Kitandani, Baba, Mama Hawalali, Aomba Kusadiwa Tatizo Lilianzia Shule – Video

Mtoto Doreen Sudi (10) mkazi wa Kitunda Kinyatira yupo katika maumivu makali sana, nah ii ni baada ya kusumbuliwa na...

READ MORE

Mishy – “Nilimzalia Mwanaume Ili Niachane Naye, Huwezi Kuamini, Lakini Huyo Ndiye Mimi” – Video

Kwenye Exclusive ya Imelda Mtema leo tupo na Robinha almaarufu Mishy, mwigizaji mwenye jina lake town. Amesema eti alimzalia mpenzi...

READ MORE

Exclusive Video: Abdulrazak Afichua Mazito ya Diva, Shida Ya Kupata Mtoto

Habari iliyotoa mshtuko kwenye ulimwengu wa mastaa wa Bongo usiku wa kuamkia Januari 13, 2023 ni kuhusu sintofahamu ya ndoa...

READ MORE

Aunty Ezekiel- “Mimi Ndiye Msanii Mwenye Ngozi Nzuri Zaidi, Ndoa Kwangu Hapana”- Video

Msanii wa Bongo Movie Aunt Ezikiel maarufu kama Mama Nono ameiambia Global Tv kuwa hakumsanii yeyote hapa Bongo anayemfikia kwa...

READ MORE

#Exclusive: Nakaaya Sumari Afunguka Kichapo Cha Ndoa Kilivyomtesa Mpaka Kutuma Ujumbe Mitandaoni – Video

Mwanadada Nakaaya Sumari kupitia Exclusive Interview aliyofanya na Global TV, amefunguka kuwa wanawake wengi wanateseka sana katika ndoa na hata...

READ MORE

Mc Luvanda: Nyumbani Kwangu Ukoko Hautupwi, Pesa Haitafutwi Inavutwa – Video

KWENYE HARD TALK ya Mtumishi wa Mungu na Mwandishi wa vitabu nchini Lilian Mwasha amepiga stori nyingi na MC Luvanda...

READ MORE

#Exclusive: Duma Afichua Alivyooza Mkono Kimaajabu Hadi Akafanyiwa Oparesheni – ”Walitoa Nyama”…

Msanii wa Bongo Muvi,Duma ameweka wazi kuwa popote atakapokutana na msanii mwenzie Gabo, asimsalimie wala kumpa mkono, kwa sababu walishaamua...

READ MORE