×

Habari

Jahazi Msagasumu Waacha Historia Dar Live Jana

KUNDI la Muziki wa Taarab lisilo na mpinzani Bongo, Jahazi Modern sambamba na Mfalme wa Singeli, Msaga Sumu jana waliandika...

READ MORE

Polisi Nchini Zimbabwe Wapiga Marufuku Maandamano

  Mmoja wa wananchi akikimbia wakati wa maandamano ya awali HARARE, Jeshi la polisi nchini Zimbabwe wametangaza kuyapiga marufuku maandamano...

READ MORE

Hillary Clinton Afuta ziara Baada ya Kuugua

NEW YORK, MAREKANI MGOMBEA urais wa Chama cha Democratic nchini Marekani, Hillary Clinton, amefuta mkutano wake wa kampeni katika Jimbo...

READ MORE

Exclusive Picha za Marehemu Tupac Zavuja

  Leo tunaungana na mashabiki wa Hiphop duniani kote kumkumbuka rapper, Tupac Amaru Shakur ‘2PAC’ kifo chake ambacho kilitokea tarehe...

READ MORE

Taarifa Rasmi Ya Serikali Kuhusu Tetemeko La Ardhi Mkoani Kagera

1 Tukio la tetemeko: Tarehe 10/09/2016 saa 9 na dakika 27 mchana kumetokea tetemeko la ardhi mkoani Kagera.   Kitovu...

READ MORE

Wahitimu Shahada Za Sayansi Kupatiwa Mafunzo Wakafundishe

Naibu Waziri wa TAMISEMI Selemani Jaffo Naibu Waziri wa TAMISEMI Selemani Jaffo asema wahitimu shahada za sayansi ambao si walimu...

READ MORE

Ripoti yabaini Rais kiir na Machar wanafaidika na vita

Rais Salva Kiir (kulia) na aliyekuwa makamu wake bwana Riek Machar  Waziri wa habari Sudan Kusini amesema kuwa serikali haitajibu...

READ MORE

Sanamu Za Mugabe Zazua Utata

Rais Mugabe akiwa na mtengeneza sanamu Bwana Benhura. Sanamu mbili mpya za kiongozi wa muda mrefu wa Zimbabwe Robert Mugabe...

READ MORE

Wolper Na Harmonize Wala Bata Serengeti

WASANII wawili ambao ni wapenzi wanaogonga vichwa vya habari Bongo, Jaqueline Wolper na Rajab ‘Harmonize’ wikiendi iliyopita wamekula bata kwenye...

READ MORE

David Cameron Ajiuzulu Ubunge

Ametangaza uamuzi huo Jumatatu hii. Hatua hiyo imekuja ikiwa ni karibu miezi mitatu baada ya Cameron kuachia ngazi kama waziri...

READ MORE

David Cameron Ajiuzulu Ubunge

Ametangaza uamuzi huo Jumatatu hii. Hatua hiyo imekuja ikiwa ni karibu miezi mitatu baada ya Cameron kuachia ngazi kamna waziri...

READ MORE

Rais Kenyatta Atoa Msaada kwa Wahanga wa Tetemeko la Ardhi Bukoba na Mwanza

Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya ameto pole kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli na...

READ MORE

Baada ya Kufananisha na ‘Sikio la Kufa’, Barabara ya Mabatini Yawekewa Changarawe

IKIWA ni takribani siku 10 baada ya Mtandao huu kuripoti kupitia Mjumbe wa Mtaa wa Polisi Mabatini, jijini Dar es...

READ MORE

NIDA Kuanza Kutoa Vitambulisho Vyenye Saini, Septemba 12

MAMLAKA YA VITAMBULISHO VYA TAIFA (NIDA) KUANZA KUTOA VITAMBULISHO VIPYA VYA TAIFA VYENYE SAINI KWA WANANCHI WOTE WALIOKAMILISHA TARATIBU ZA...

READ MORE

Mzee Mwinyi Aongoza Eid El Hajj Kitaifa Kinondoni Dar

RAIS mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi, leo amewaongoza waumini wa Kiislamu katika kusherehekea sikukuu ya Eid El...

READ MORE

Ndege Nyingine Yaanguka na Kujeruhi Wawili Nairobi

Naiobi, Kenya: WATU wawili ambao ni mkufunzi na mwanafunzi wake wamejeruhiwa vibaya baada ya ndege waliokuwa wakifanyia mazoezi kuanguka  jijini...

READ MORE

Watu Watatu Watiwa Mbaroni kwa Kuiba Ng’ombe wa Rais Museveni

Rais Museveni KAMPALA: Watu watatu wanashikiliwa na Jeshi la Polisi jijini Kampala, Uganda kwa tuhuma za kuiba ng’ombe ambao idadi...

READ MORE

Waziri Majaliwa Aongoza Sala ya Idd El Hajj Mwembe Yanga, Dar

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitoa hotuba yake katika swala ya Idd El Hajj iliyoswaliwa kwenye Viwanja vya Mwembe Yanga, Temeke...

READ MORE

Orodha ya Matetemeko ya Adhi Duniani Kote, Leo Septemba 12

Matetemeko ya Ardhi Duniani Leo Sept. 12===>Bofya Hapa

READ MORE

Hillary Clinton Augua Homa ya Mapafu, Aondolewa Kwenye Kumbukumbu ya Septemba 11

Mgombea Urais kutoka Chama cha Democratic, Hillary Clinton amegundulika kuwa na ugonjwa wa homa ya mapafu (pneumonia) baada ya kuugua...

READ MORE

Wakazi wa Bukoba Walala Nje ya Nyumba Baada ya Tetemeko Kutokea Mara ya Pili

BUKOBA: September 10, 2016 lilitokea tetemeko la ardhi Kagera kanda ya ziwa Tanzania lenye kipimo cha ritcha 5.7 na kusababisha...

READ MORE

Waziri Mkuu Aongoza Maelfu Kuaga Miili ya Waliofariki kwa Tetemeko Kagera

Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa jana ameongoza maelfu ya waombolezaji kuaga miili ya watu waliofariki kutokana na tetemeko la ardhi...

READ MORE

Magazeti ya Leo Septemba 12, 2016

   

READ MORE

Efm Wasepa na Kijiji, Temeke Dar

  KITUO cha Redio cha Efmkilichopo Kawe-Mikocheni jijini Dar, chini ya Udhamini wa Kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom usiku wa...

READ MORE

Kanisa la Victory Christian Centre Lazindua Tamasha la ‘Campus Night’

KANISA la Victory Christian Centre (VCCT) chini ya Mchungaji Kiongozi Dk. Huruma Nkone leo limezindua maandalizi ya kongamano la kihistoria...

READ MORE

Waziri Mkuu Kuongoza Kuagwa Waliokufa kwa Tetemeko Bukoba

Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa leo anatarajiwa kuongoza waombolezaji kuaga miili ya watu 16 waliopoteza maisha kwenye tetemeko la ardhi...

READ MORE

Polisi Waua Wanawake 3 Magaidi Kenya

WANAWAKE watano waliovalia mabaibui na walioaminika kuvaa mikanda ya kujilipua wamevamia kituo kimoja cha polisi mjini Mombasa katika shambulio linalodaiwa...

READ MORE

Video: Highlights Za Premier League Wikiendi Hii Hizi Hapa…

Premier League iliendelea wikiendi hii, Jumamosi ya Septemba 10, 2016 Manchester United iliambulia kipigo cha mabao 2-1 kutoka kwa Manchester...

READ MORE

DC Same Apiga Marufuku Kufanya Biashara Kwa Kujaza Lumbesa

Mkuu wa Wilaya ya Same, Rosemary Staki Senyamule, akikagua magunia yaliyokutwa yakiwa yamejazwa lumbesa. Mkuu wa Wilaya ya Same, Rosemary...

READ MORE

Tekemeko la Ardhi Laikumba Kanda ya Ziwa, Nyumba Zaporomoka

  Leo Septemba 10, 2016, tetemeko kubwa la ardhi lenye ukubwa wa Ritcha 5.7 limeikumbuka mikoa ya Kanda ya Ziwa...

READ MORE

Kifaa cha Kuchemshia Maji Chateketeza Kiwanda, 15 Wafariki Duniua

WATU 15 wamepoteza maisha nchini Bangladesh baada ya moto mkubwa uliosababishwa na mlipuko wa kifaa cha kuchemsha maji katika kiwanda...

READ MORE

Tanzia: Aliyewahi Kuwa Kocha wa Simba, James Siang’a afariki Dunia

Aliyewahi kuwa kocha wa Simba James Aggrey Siang’a  amefariki leo alfajiri nchini kwake Bungoma nchini Kenya baada ya kuugua kwa...

READ MORE

Rosa Robert wa Navy Kenzo: Nyimbo Zangu Natungia Toilet

       KAMA kawa, kama dawa leo Mpaka Home imemleta kwenu mrembo anayefanya Muziki wa Hip Hop ambaye ni zao...

READ MORE

Gondwe akamata malori saba yakisafirisha madini usiku!

Mkuu wa Wilaya ya Handeni mkoani Tanga, Godwin Gondwe amekamata malori saba yakisafirisha madini ya chuma aina  dolomite yanayotumika kutengeneza...

READ MORE

Ummy Mwalimu: Marufuku Kuozesha Waliomaliza La 7

SERIKALI imewaonya wazazi, walezi na jamii kwa ujumla kutowaozesha watoto wote wa kike waliohitimu darasa la saba mwaka huu wakati...

READ MORE