×

Habari

Nyati Spirit Tanzania Yazindua Vinywaji Vikali

Ofisa Habari wa Kampuni ya Nyati Spirit Tanzania, Alma Miraji akifafanua jambo kuhusu bidhaa zao mbele ya wanahabari (hawapo pichani)....

READ MORE

Etihad Yapewa Tuzo Ya Uzinduzi Bora Sekta Ya Usafiri wa Anga

Shirika la Ndege la Etihad limepokea tuzo  ya  uzinduzi bora katika sekta ya usafiri wa ndege kwa mwaka 2016 kutoka kwenye...

READ MORE

Pichaz: Jengo la Ghorofa 6 Laporomoka Makerere University, Laua 8

Shughuli za uokoaji. Jengo kabla na baada ya kuporomoka. Jengo baada ya kuporomoka. Jengo lililoporomoka. Majeruhi wa tukio hilo.Wananchi wakitaharuki...

READ MORE

Mkataba wa Lugumi wawa kaa la moto

BUNGE limetoa siku tatu kwa Jeshi la Polisi kuwasilisha kwenye Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) mkataba wa...

READ MORE

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Atembelea Jimbo Lake la Ruangwa

   Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na wananchi baada ya kuwasili katika kijiji cha Namahema wilayani Ruangwa kuhutubia mkutano wa...

READ MORE

Dk. Shein awaapisha mawaziri na manaibu waziri

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati)akiwa katika picha ya pamoja na Manaibu Mawaziri...

READ MORE

Isome Hotuba Ya Maalim Seif Kwa Wanahabari

HOTUBA YA MAALIM SEIF SHARIF HAMAD KWENYE MKUTANO NA WAANDISHI WA HABARI – PARK HYATT ZANZIBAR, TAREHE 10 APRILI, 2016...

READ MORE

Jinsi Ya Kutambua Simu Feki

1. Kabla hujanunua simu mpya hakikisha unaandika namba hii *#06#, kwenye simu hiyo au ambayo tayari umenunua. 2. Ukishaandika itaonyesha...

READ MORE

Mambo 8 Muhimu Kuhusu Huduma Mpya ya WhatsApp

KUTOKANA na tatizo la kuingiliwa kwa mawasiliano ya watumiaji wa WhatsApp, hivi karibuni kampuni hiyo ilianzisha huduma ya end-to-end encryption ili kuboresha...

READ MORE

Dkt. Shein Atangaza Baraza Lake la Mawaziri

Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), Dkt. Ali Mohamed Shein RAIS wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), Dkt. Ali Mohamed...

READ MORE

Ndanda Kosovo Afariki Dunia

Ndanda Kosovo enzi za uhai wake. MWIMBAJI nguli wa Muziki wa Dansi hapa nchini kutokea Kongo, Ndanda Kosovo amefariki dunia...

READ MORE

Canaan Banana: Rais wa Zimbabwe Aliyefungwa kwa Kulawiti

HAKUWA rais tu wa Zimbabwe, bali alikuwa Mchungaji wa Kanisa la Methodist!  Ni Canaan Sodindo Banana ambaye alifariki Novemba 10,...

READ MORE

Mtanzania Apigwa Risasi na Kuuawa Marekani, Aporwa Gari

Marehemu Henry Kiherile enzi za uhai wake. Ndugu Wanajumuiya, Tunasikitika kuwataarifu juu ya mauti yaliyomkuta mwanajuiya mwenzetu hapa Houston Marehemu...

READ MORE

Huyu Ndiye Rubani wa Kwanza Mwanamke Tanzania Kurusha Boeing Airbus

KATI ya wanawake wa Kitanzania waliopeperusha bendera yetu vizuri nje ya nchi kielimu ni Kapteni Hilda Wendy Ringo ambaye sasa...

READ MORE

Wafanyakazi Kampuni ya Optima Security Waandamana

Baadhi ya wafanyakazi wa kampuni hiyo wakipaza sauti zao kudai mafao yao.….Wakitafakari kujua hatma yao. …Wakihojiwa na baadhi ya wanahabari...

READ MORE

Rais Magufuli Amteua Bw. Byakanwa Kuwa DC wa Hai

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Bw. Gelasius Gaspar Byakanwa kuwa Mkuu wa Wilaya...

READ MORE

Mabula Ambwaga Wenje Kesi ya Ubunge Nyamagana

Mbunge wa jimbo la Nyamagama, Stanslaus Mabula pichani akifurahia mara baada ya kutangazwa mshindi wa jimbo hilo na Mahakama Kuu...

READ MORE

Mbwa Anunuliwa Miwani, Viatu na Headphone

MBWA mwenye umri wa miaka saba anayeitwa Scooby ni miongoni mwa mbwa 35 maarufu wanaotumiwa na Jeshi la Ulinzi la...

READ MORE

Rais Magufuli Alivyopokelewa Dar Akitokea Rwanda

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Joseph Magufuli akilakiwa na Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa mara...

READ MORE

Christina Mughwai Lissu afariki dunia

Christina Mughwai Lissu enzi za uhai wake. Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum kutoka mkoani Singida, Christina Mughwai Lissu (CHADEMA) amefariki...

READ MORE

JPM katika kumbukumbu ya mauaji ya Kimbari, Rwanda

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakiwa na wenyeji...

READ MORE

Tamko la Serikali Kuhusu Walimu Kushonewa Sare

WIZARA YA ELIMU, SAYANSI, TEKNOLOJIA NA UFUNDI TAARIFA KWA UMMA YAH: TAARIFA ZA UZUSHI KUHUSU WALIMU KUSHONEWA SARE INAYOSAMBAZWA KATIKA...

READ MORE

Rais Magufuli Kagame Wazindua Daraja la Rusumo Rwanda

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na Rais wa Rwanda, Paul Kagame wakifurahia mara...

READ MORE

Nyani Apandikizwa Moyo wa Nguruwe

Moyo wa Nguruwe. Maryland, Marekani WANASAYANSI kutoka Taasisi ya Kitaifa ya Moyo, Mapafu na Damu huko Maryland nchini Marekani wanasema...

READ MORE

Maajabu ya Mamba Kuruka Fensi!

 Mamba huyo akipanda uzio. Rajasthan, India HAYA ni maajabu ya dunia; Mamba mmoja amenaswa hivi karibuni akipanda fensi yenye urefu...

READ MORE

Mila za kufukua maiti, kuziosha na kuzivisha nguo mpya Indonesia

Mkazi wa Toraja, Sulawesi Kusini, nchini Indonesia akiwavisha nguo ndugu zake waliokufa siku za nyuma. UNAWEZA usiamini! Huko Toraja, Sulawesi Kusini,...

READ MORE

Watu 4 Wafariki kwa Kufukiwa na Kifusi Leo Kawe – Dar

Watu wanne wamepoteza maisha na wengine watano wajeruhiwa baada ya kufukiwa na kifusi asubuhi hii eneo la Ukwamani, Kawe –...

READ MORE

Wacheza Pool Wakaidi Agizo la Magufuli

Stori: Richard Bukos AGIZO la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli la kupiga marufuku mchezo wa...

READ MORE

Ted Cruz Amburuza Trump Mchujo Wisconsin

Ted Cruz ameshinda upande wa Chama cha Republican, naye Sanders akashinda Democratic. Wisconsin, Marekani MGOMBEA urais wa chama cha Republican...

READ MORE

Mwenyekiti wa Chadema Iringa Vijijini, Apata Ajali na Kufariki

Ajali hiyo ilivyotokea.Sinkala Mwenda wakati wa uhai wake Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wilaya ya Iringa Vijijini, ...

READ MORE

Mhadhiri UDSM Ateketea kwa Moto Akiwa Kwenye Gari Lake

Mhadhiri  wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) Idara ya Sayansi na Uhandisi wa Kompyuta (CoICT), Dk Richard Mgaya...

READ MORE

Dwight Yorke Aomba Kibarua cha Ukocha Aston Villa

Dwight Yorke. MCHEZAJI wa zamani wa Aston Villa, Dwight Yorke ametangaza rasmi kuwa anahitaji kuwa kocha wa klabu hiyo. Dwight...

READ MORE

Hakutakuwa na serikali ya umoja wa kitaifa – Dk. Shein

Dk.Ali Mohamed Shein. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk.Ali Mohamed Shein amelihutubia Baraza la Wawakilishi leo...

READ MORE

TRA wavuka lengo kwa kukusanya Sh trilioni 1.31

Akizungumza na waandishi habari Jijini Dar es salaam kuhusu mwenendo wa makusanyo ya mapato, Kamishna Mkuu wa TRA Alphayo Kidata amesema...

READ MORE

Ndege Zagongana na Kuwaka Moto, Jakarta – Indonesia

Ndege ya kubeba abiria ya Shirika la Batik Air Jakarta – Indonesia UWANJA wa Ndege wa Mji wa Jakarta nchini...

READ MORE

Rais Magufuli amuaga Raila Odinga

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipunga mkono kuashiria kuagana na wageni wake, Raila Odinga...

READ MORE

Dkt. Shein Kuhutubia Baraza la Wawakilishi Kesho

Rais wa Serikali ya Mapinduzi (SMZ) Dk Ali Mohamed Shein. Rais wa Serikali ya Mapinduzi (SMZ) Dk Ali Mohamed Shein...

READ MORE

Tamko la CUF Kuhusu Serikali ya Zanzibar

MAAZIMIO YA BARAZA KUU LA UONGOZI LA TAIFA LA CHAMA KATIKA KIKAO CHAKE CHA TAREHE 2 – 3 APRILI, 2016...

READ MORE