×

Habari

Polisi wanne wauawa Dallas, Marekani

Maafisa wanne wa polisi mjini Dallas nchini Marekani wamepigwa risasi na kuuawa huku wengine saba wakijeruhiwa wakati wa maandamano ya...

READ MORE

Rais Magufuli Ateua Mkuu Mpya wa Wilaya ya Kongwa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 07 Julai, 2016 amemteua Bw. Deogratius John...

READ MORE

Rais Magufuli Ateua Wakurugenzi wa Majiji, Manispaa, Miji na Wilaya

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo July 07 2016 amefanya uteuzi wa wakurugenzi wa...

READ MORE

Vodacom Yadhamini Ziara ya Wahariri 30 Nairobi

Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania,Matina Nkurlu(kushoto)akifafanua jambo kwa waandishi wa habari(hawapo pichani)wakati wa hafla fupi ya kukabidhi hundi yenye thamani...

READ MORE

Majambazi wateka kijiji kwa saa 3, wajeruhi na kupora fedha!

KUNDI la watu wanaosadikiwa kuwa ni majambazi wakiwa na sialaha wameteka eneo la mpaka wa Tanzania na Rwanda katika Kijiji...

READ MORE

Msondo Ngoma, Sikinde Walivyotoana Jasho Dar Live

USIKU wa kuamkia leo Makundi mawili ya burudani yenye upinzani mkubwa Mlimani Park Orchestra ‘Sikinde’ na Msondo Music usiku wa...

READ MORE

Mfanyabiashara atoa misaada kwa jamii

Mfanyabiashara maarufu katika visiwa vya Pemba na Unguja,  Said  Nasser Nassor ‘Bopar’ hivi karibuni alikuwa akitoa misaada ya tende kwa...

READ MORE

Nelly; Nimesoma magazeti ya Global kwa miaka 18

Nelly Mwangosi na mumewe. NA FRANCIS GODWIN, IRINGA NELLY Mwangosi, mwanamama mwenye umri wa miaka 45, mkazi wa Kibwabwa Kata...

READ MORE

Wagonjwa watekwa, muuguzi anusurika kubakwa

Na Joseph Ngilisho, AMANI ARUSHA: Muuguzi wa Kituo cha Afya cha Mbuguni wilayani Arumeru jijini hapa, Paulina Mafembo na wagonjwa...

READ MORE

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa awakomesha mastaa

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa STORI: MWANDISHI WETU, AMANI DAR ES SALAAM: Waziri Mkuu wa...

READ MORE

Swala ya Ed-El-Fitr Ilivyofanyika Viwanja vya Mwembe Yanga, Dar

Sheikh Abdulkadir Mohamed akiongoza swala ya Ed- El- Fitr iliyofanyika Viwanja vya Mwembe Yanga Dar es Salaam leo asubuhi. Waumini...

READ MORE

Wateja wa Vodacom Kujichagulia Vifurushi Wavitakavyo

Katika dhamira yake ya kufanya ubunifu wa teknolojia kwa ajili ya kuwapeleka watanzania katika ulimwengu wa sayansi na teknolojia kwa...

READ MORE

Makamu Mwenyekiti wa BAVICHA ahojiwa na Jeshi la Polisi Dar

Patric Ole Sosopi (kushoto mwenye gwanda). Dar es Salaam, Makamu Mwenyekiti wa Baraza la Vijana wa Chadema Taifa(BAVICHA), Patric Ole...

READ MORE

Mabadiliko Ratiba ya Mazishi ya Mhe. Beatrice Shelukindo

Familia ya William H. Shelukindo inapenda kuwataarifu kuwa mazishi huko Arusha ya Mpendwa wao Beatrice Matumbo ShelukindoMbunge wa zamani wa...

READ MORE

Hatimaye Oscar Pistorius ahukumiwa kwenda jela

Oscar Pistorius Mwanariadha mlemavu wa miguu wa Afrika Kusini aliyejinyakulia mataji kibao ya Olympic, Oscar Pistorius leo amehukumiwa kifungo cha miaka sita...

READ MORE

Waziri Mkuu aongoza Swala ya Eid El Fitr jijini Dar

Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa akitoa mawaidha  mbele ya waumini wa kiislamu katika Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar...

READ MORE

Kisa kukataliwa kujiunga na ISIS, mapacha wamuua mama yao, wamjeruhi baba!

MAPACHA wawili wamemuua mama yao mzazi na kuwajeruhi baba mzazi na kaka yao kwenye makazi yao yaliyopo Riyadh, Saudi Arabia...

READ MORE

Donald Trump amkubali Saddam Hussein

Marekani MGOMBEA urais wa Chama cha Republican nchini Marekani Donald Trump amemsifu kiongozi wa zamani wa Iraq, Saddam Hussein akisema...

READ MORE

Basata Yapiga Marufuku Disco Toto, Kumbi Zisizo na Vibali

Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) ambalo ni msimamizi wa sekta ya Sanaa na burudani nchini limepiga marufuku kumbi zote za...

READ MORE

Etihad Yashinda Tuzo ya Heshima ya Adam Smith

Kutoka kushoto ni Naibu wa Fedha Mkuu wa Shirika la Ndege la Etihad, Adam Boukadida, Mkuu wa Idara ya Fedha...

READ MORE

Banda la Mfuko wa LAPF Maonesho ya Sabasaba Dar… Pamenoga!

Waziri wa nchi Ofisi ya Waziri mkuu Kazi, Ajira, Vijana, Wazee na Wenye Ulemavu Mh. Jenista Mhagama (Mb) akipata maelezo...

READ MORE

Banda la GEPF lawa Kivutio kwa Wajasiriamali Maonesho ya Sabsaba Dar

    Waziri wa Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu Mh Jenista Mhagama akipata maelezo kutoka kwa maafisa wa GEPF...

READ MORE

Sikukuu ya Eid El Fitr yawajaza wananchi Kariakoo

       Harakati za hapa na pale zikiendelea katika mitaa mbalimbali ya Kariakoo jijini Dar. Wananchi wakifanya maandalizi kuelekea sikukuu ya...

READ MORE

Waziri Mkuu wa Italy afanyiwa upasuaji wa moyo

Waziri Mkuu wa zamani wa Italia, Silvio Berlusconi. Leonard Msigwa na Mtandao WAZIRI MKUU wa zamani wa Italia, Silvio Berlusconi...

READ MORE

Ziara ya Benjamin Netanyahu na Kuvamiwa kwa Entebbe

Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyau akiwa na mwenyeji wake rais wa Uganda, Yoweri Museven mara baada ya kuwasili uwanja...

READ MORE

Twaweza yatoa tathimini uchaguzi Zanzibar

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya  Twaweze, Aidan Eyakuze akizungumza na wanahabari.(Hawapo pichani.) ..Eyakuze akisikiliza maswali yaliyokuwa yemeulizwa na wanahabari (hawapo...

READ MORE

CMSA yazindua shindano la Masoko ya Mitaji kwa wanavyuo

Mkurugenzi wa Utafiti, Sera na Mipangowa Mamlaka ya Masoko ya Mitaji na Dhamana (CMSA) Nicodemus Mkama akiongea na waandishi wa...

READ MORE

Rais Magufuli, Dk Mpango waipangua safu ya Bodi ya Benki ya TIB

Rais Dk. John Magufuli. Dar es Salaam Rais Dkt. John Magufuli ametengua uteuzi wa Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya...

READ MORE

Wananchi Wazidi Kumiminika Banda a PSPF

 Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Adam Mayingu, akiyekaa, akimuonyesha Mwanachama huyu wa Mfuko huo michango yake papo...

READ MORE

Mtuhumiwa wa Ujambazi na Mauaji Msikitini Awatoroka Polisi

Taarifa ya Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza inaeleza kuwa mnamo tarehe 03.07.2016, majira ya 08:00 usiku katika maeneo ya...

READ MORE

Wateja wa Vodacom kujichagulia vifurishi wavitakavyo

   Mkurugenzi wa mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania,Rosalynn Mworia (katikati) akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati...

READ MORE

Helen Kijo-Bisimba: Hukumu ya kifo ifutwe nchini

Dk. Helen Kijo-Bisimba. Baada ya wiki iliyopita kuwa na Shehe Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhadi Musa Salum...

READ MORE

Aishi na risasi miaka nane

Hassani Athumani akiugulia. Na Gregory Nyankaira, UWAZI MARA: Ama kweli kabla hujafa hujaumbwa! Kijana Hassani Athumani (30) mkazi wa Kiabakari,...

READ MORE

Laana ya titi la mama’ke, amuua nduguye kwa mchi

Mama mzazi wa marehemu na mtuhumiwa,  Mwaija Bakari. Richard Bukos na Issa Mnally, UWAZI MAJALIWA Mzaramingo, mkazi wa Chalinze mkoani...

READ MORE

Amuua mkewe kwa kumpiga na mti

Na Igenga Mtatiro, UWAZI MARA: Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Tarime na Rorya mkoani hapa, linamshikilia Hamis Nyamasinda, mkazi...

READ MORE

Mfanyabiashara maarufu Mwanza afungwa

Na Mashaka Baltazar, UWAZI Mwanza: Mfanyabiashara mwenye asili ya Kiasia, Mukesh Karia almaarufu Mukesh Vunjabei (pichani), amehukumiwa kifungo cha mwaka mmoja...

READ MORE