×

Habari

Vodacom Tanzania Kuboresha Huduma kwa Kuunganisha My Vodacom App na M-Pesa Supa App

Vodacom Tanzania inayo furaha kutangaza kuunganishwa kwa My Vodacom App na M-Pesa Supa App, hatua inayolenga kurahisisha na kuboresha zaidi...

READ MORE

Programu ya Code Like A Girl Imewajengea Uwezo wa TEHAMA Wasichana Mkoani Dodoma

Jumla ya wanafunzi wa kike 2600 wamejengewa uwezo wa masomo ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) na Kampuni ya...

READ MORE

Harmonize Agonga Kolabo na Mastaa Kibao Kutoka Ghana Kwenye Ngoma ya Messi

MSANII wa Bongo Fleva, Rajab Abdul ‘Harmonize’ ameshirikishwa na staa wa muziki kutoka nchini Ghana, KJ Spio katika kibao kiitwacho...

READ MORE

Benki ya Absa Tanzania Yashinda Tuzo 11 za Heshima Mwaka 2024

Utendaji bora wa Benki ya Absa Tanzania mwaka 2024 umeoneshwa kupitia matokeo yake mazuri ya kifedha kwa nusu ya kwanza...

READ MORE

Rais Samia Azipandisha Hadhi Rufiji Na Geita kuwa Manispaa

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mohamed Mchengerwa amesema Rais wa Jamhuri ya...

READ MORE

Madaktari Waaswa Kuwa Sehemu ya Utoaji wa Fidia kwa Wafanyakazi

Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Mheshimiwa Paul Chacha ametoa wito kwa madaktari nchini kuwasaidia wafanyakazi wanaopata ajali au ugonjwa unaotokana...

READ MORE

Dkt. Philip Mpango: Asisitiza Matumizi ya teknolojia ya habari na mawasiliano (TEHAMA)

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango amesema ili kuinua viwango vya tafiti za vyuo...

READ MORE

JK Ahudhuria Mkutano Wa Taasisi Ya Ubia Wa Wadau Wa Maji Kusini Mwa Afrika

Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Dkt. Jakaya Kikwete, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Ubia wa Wadau wa...

READ MORE

Kijana Adaiwa Kumuua Baba Yake, Mjumbe na Kumjeruhi Mwenyekiti wa Kijiji – Video

Mwanaume mmoja aliyefahamika kwa jina la Zuberi Habibu, Mkazi wa Kijiji cha Mandudumizi B, Kata ya Zombo, Kilosa mkoani Morogoro,...

READ MORE

Apps and Girls na Yas Watoa Mafunzo ya Tehama kwa Wanafunzi wa Kike

Taasisi ya Apps and Girls ya jijini Dar es Salaam kwa kushirikiana na Yas Tanzania imeendesha programu maalum ya mafunzo...

READ MORE

Dada wa Kazi za Ndani Ajishindia Mil. 10 za Magift ya Kugift

Dar es Salaam, 13 Desemba 2024: Ni kama masihara lakini ukweli ni kwamba dada, Safina Selasi Mgala anayefanya kazi za...

READ MORE

DC Kilakala Awataka Wananchi Morogoro Kushiriki Uzinduzi wa Kampeni ya Msaada wa Kisheria wa Mama Samia

Mkuu wa Wilaya ya Morogoro, Mussa Kilakala ametoa wito kwa wananchi wa Mkoa wa Morogoro kushiriki Uzinduzi wa Kampeni ya...

READ MORE

NBC Yazindua Kampeni Kuwezesha Punguzo la Bei za Bidhaa Msimu wa Sikukuu

Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imezindua msimu wa pili wa kampeni yake inayofahamika kama “Tabasamu Tukupe Mashavu,” ikilenga kutoa...

READ MORE

Prof. Janabi Asisitiza Jamii Kujikinga Na Magonjwa Yasiyoambukiza – Video

Mkurugenzi Mtendaji Hospitali ya Taifa Muhimbili ambaye pia ni Mshauri wa Rais kwenye masuala ya Afya na Tiba, Prof. Mohamed...

READ MORE

Tundu Lissu Atangaza Kuchukua Nafasi Ya Mbowe Chadema – Video

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Tundu Lissu ametangaza kugombea uenyekiti wa chama hicho, nafasi ambayo kwa sasa...

READ MORE

Waziri Mkuu Kufungua Mkutano Mkuu Wa Wakuu Wa Shule Za Sekondari

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Desemba 12, 2024 anafungua mkutano Mkuu wa 19 wa Umoja wa Wakuu wa Shule za...

READ MORE

Historia Nyingine Yaandikwa Mradi Wa Umeme Wa Julius Nyerere (JNHPP)

Leo Tanzania imeandika historia nyingine katika utekelezaji wa miradi mikubwa ya umeme baada ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa...

READ MORE

Kuelekea Msimu wa Sikukuu Wananchi Wazidi Kunufaishwa na Magift ya Kugift

Dar es Salaam, 13 Desemba 2024:  Watumiaji wa mtandao wa simu wa Yas kupitia Kampeni yake inayoendelea ya Magift ya...

READ MORE

Muinueni Mtoto Wa Kike Wa Urambo Kupenda Masomo Ya Sayansi

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Urambo Bi. Grace Quintine amesema kinachopelekea Watoto wa Kike kutopenda kusoma masomo ya...

READ MORE

SmartLab na Climate-KIC Wazindua Rasmi Programu ya Mazingira Nchini Tanzania

Dar es Salaam 12 Desemba 2024: Kampuni ya SmartLab ambayo ni kitovu cha ubunifu nchini Tanzania, kwa kushirikiana na EIT...

READ MORE

Mpiga Solo wa East African Melody, Abdallah Bwiga Bwiga Afariki

Mpiga solo maarufu wa East African Melody, Abdallah Bwiga Bwiga, amefariki dunia. Bwiga amefariki ghafla jana usiku na mazishi yanatarajiwa...

READ MORE

Rais Mwinyi Azindua Rasimu Ya Dira Ya 2050

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema malengo makuu ya Rasimu ya Dira...

READ MORE

Huku Barca Kule Dortmund Ligi Ya Mabingwa Ulaya

Ligi ya mabingwa ulaya itaendelea usiku wa leo ambayo itakupa nafasi ya kuweza kupiga mshindo wa kutosha kupitia michezo itakayochezwa...

READ MORE

Lungu azuiliwa kuwania urais wa Zambia na Mahakama ya Katiba

Mahakama ya Katiba ya Zambia Jumanne kwa kauli moja imetoa maamuzi kuwa rais wa zamani Edgar Lungu hawezi kuwania kugombea...

READ MORE

Waziri Chana Atembelea Kituo Cha Mafunzo ya Misitu na Viwanda Vya Misitu (FWITC)

Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) leo Novemba 25, 2024 ametembelea Kituo cha Mafunzo ya...

READ MORE

M-Bet, HaloPesa kuwazawadia mashabiki wa soka kupitia kampeni ya Amsha Amsha

Mashabiki wa soka wa Tanzania, sasa wanaweza kujishindia zawadi mbalimbali ikiwa pamoja na fedha kupitia kampeni ya Amsha Amsha iliyozinduliwa...

READ MORE

Mwenyekiti wa UWT Mkoa wa Njombe Atunukiwa Shahada ya Uzamivu ‘PhD’

Mkurugenzi wa Kampuni ya Udalali ya Yono, Scholastica Kevela ametunukiwa Shahada ya Uzamivu katika masuala ya fedha (PhD in Finance)...

READ MORE

Jeshi la Polisi Nchini Laipongeza Kampuni ya Ulinzi Ilitoyotoa Huduma Bora kwa Miaka 40

Jeshi la Polisi nchini limepongeza kazi nzuri zinazofanywa na kampuni za ulinzi binafsi ikiwemo kampuni ya SGA Security, ambapo limeahidi...

READ MORE

Rais Samia Amtangaza Profesa Janabi Kugombea nafasi ya Ndugulile WHO – Video

Rais Samia Suluhu Hassan ametangaza kwamba Profesa Mohamed Janabi atakuwa mgombea wa nafasi ya Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani...

READ MORE

Rais Samia Awaapisha Viongozi Wateule, Ikulu Ndogo Ya Tunguu, Zanzibar – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan Akiwaapisha Viongozi Wateule Ikulu Ndogo ya Tunguu Zanzibar, leo...

READ MORE

Hassan Na Hussein Warejea Nchini Baada Ya Kufanyiwa Upasuaji Wa Kuwatenganisha Saudi Arabia

Watoto Hassan na Hussein Amri Jummane (3) waliozaliwa wakiwa wameungana kwenye nyonga, kifua na wana miguu mitatu sasa wamereja nchini...

READ MORE

DAS Bariadi Aongoza Mdahalo Kuadhimisha Miaka 63 Ya Uhuru Tanzania Bara

Katibu Tawala Wilaya ya Bariadi ndugu Justine Manko ameongoza kilele cha Maadhimisho ya Miaka 63 ya Uhuru wa Tanzania Bara...

READ MORE

Rais Mwinyi Ashiriki Maziko Ya Mama mzazi wa Naibu Kadhi Mkuu wa Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi amewaongoza Viongozi na Wananchi mbalimbali katika Maziko...

READ MORE

Msigwa Ataja Chanzo Cha Ugomvi Chadema, “Kuna Bwana Mkubwa Amejimilikisha Chama – Video

Mchungaji Peter Msigwa amesema kuwa chama cha CCM ni chama kinachoongoza kwa kutekeleza ilani barani Afrika na hilo linapelekea wananchi...

READ MORE

Mchekeshaji Frank Patrick ‘Molingo’ Afariki Chato, Geita

Mchekeshaji wa Mtandaoni maarufu, Frank Patrick ‘Molingo’ (17) mkazi wa wilaya ya Chato Mkoani Geita amefariki dunia usiku wa kuamkia...

READ MORE

RC Kunenge Aridhishwa na Jitihada Nishati Safi Mkoani Pwani, Aipongeza Taifa Gas

Pwani; Disemba 10, 2024: Mkuu wa Mkoa wa Pwani Bw Abubakar Kunenge, ameonyesha kuridhishwa na jitihada zinazofanywa na wadau mbalimbali...

READ MORE

Rais Samia Afanya Uteuzi wa Makamishna Wa Jeshi La Polisi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amempandisha cheo Naibu Kamishna wa Polisi DCP. Kombo...

READ MORE

Vijana Wang’ara Katika Fainali za NCBA Junior Golf Series

Dar es Salaam, Tanzania – Desemba 9, 2024 – Mashindano ya NCBA Junior Golf Series yamefikia tamati kwa mafanikio makubwa...

READ MORE

Wakazi Wa Arusha Waomba Kwenye Mnara Wa Saa (Clock Tower) – Video

  Maelfu ya Wakazi wa Mkoa wa Arusha, wamejitokeza kwa wingi kuungana na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Christian...

READ MORE

Wizara Utalii, Dar Kushirikiana Kuboresha Utalii

Wizara ya Maliasili na Utalii ikiongozwa na Katibu Mkuu wake Dkt. Hassan Abbasi imefanya kikao cha pamoja na Katibu Tawala...

READ MORE