×

Habari

Bajeti ya Trilioni 56 Yapitishwa Bungeni Bila Kupinga! – Video

Dodoma, Juni 24, 2025 – Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limepitisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa...

READ MORE

Mbunge Job Ndugai Aibua Vigelegele Bungeni Dodoma – Video

Shangwe la wabunge bungeni jijini Dodoma leo mara baada ya jina la Mbunge wa Kongwa, Job Ndugai kutajwa wakati wa...

READ MORE

NIT na Jeshi la Polisi Watoa Elimu ya Usalama Barabarani kwa Madereva Kibaha

Pwani, 24 Juni 2024: Katika jitihada za kukabiliana na changamoto ya ajali za barabarani, Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT)...

READ MORE

Zaidi ya Bilioni 1 Kuwaniwa Kwenye Mashindnao ya Mystery Multiplier Drop

Je unajua kuwa kwenye mashindano haya ya WAZDAN unaweza kujishindia mpaka Bilioni Moja na zaidi?. Kama hujajua basi ni hivi...

READ MORE

Kesi ya Wajumbe wa Bodi ya Wadhamini CHADEMA Yaahirishwa Mpaka Julai 10

Leo Juni 24, 2025 Kesi namba 8323/2025 ambayo imetoa zuio la muda kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuendesha...

READ MORE

Waziri Mkuu Azindua Mitambo Ya Uchorongaji Na Vita Vya Utafiti Kwa Wachimbaji Wadogo

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa leo Juni 24, 2025 amezindua mitambo ya uchorongaji na vifaa vya utafiti kwa wachimbaji wadogo kupitia...

READ MORE

Rais Samia Amteua John Pima Kuongoza Manispaa ya Tabora

Rais Samia Suluhu Hassan amemteua John Pima kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Manispaa ya Tabora mkoani Tabora akichukua nafasi...

READ MORE

Rais Samia Awapumzisha Wakuu wa Mikoa Watano, Yumo Makonda – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amefanya mabadiliko ya uongozi kwa kuwahamisha au kuwaweka kando wakuu...

READ MORE

Rais Samia Afanya Uteuzi wa viongozi Mbalimbali, RC Kenan Amrithi Makonda Arusha

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uhamisho na mabadiliko ya uteuzi wa viongozi...

READ MORE

Makalla: Barabara ya Mpwapwa Njiapanda Kongwa Kujengwa Lami

• Rais Dkt Samia ametoa fedha mkandarasi ameanza maandalizi MPWAPWA: KATIBU wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Cham cha...

READ MORE

Bosi  Kituo cha Afya Salaaman Alivyoshinda Kesi Mbili za Jinai Dhidi Yake

Mkurugenzi na mmiliki wa kampuni ya Salaaman Health Services Ltd inayomiliki Kituo cha Afya cha Salaaman (Salaaman Health Centre), Dk...

READ MORE

NMB Yatwaa Ithibati ya Pili ya Benki Kinara Usawa wa Kijinsia Afrika

Kwa mara ya pili katika kipindi cha miaka minne, Benki ya NMB leo imetunukiwa Cheti cha Ithibati ya kutambuliwa kuwa...

READ MORE

Michuano ya CDF CUP Kuanza Kutimua Vumbi Julai 2

Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe. Stergomena Lawrence Tax (Mb) anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye mashindano ya...

READ MORE

Orodha Fupi ya Tuzo ya SAFAL ya Kiswahili 2024 Yatangazwa Dar

Tuzo ya Kiswahili ya Safal ya Fasihi ya Afrika imetangaza orodha fupi ya miswada ya mashindano ya mwaka 2024. Tuzo...

READ MORE

Airtel UNICEF Waunganisha Shule 30 Mkoani Dodoma Na Intaneti Ya Bure

Kampuni ya Airtel Tanzania na Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF) kupitia mradi wake wa kijamii wa...

READ MORE

Majaliwa Azipa Wiki Tano Taasisi Za Serikali Kujiunga Na Mfumo Unaowezesha Serikali Kuwasiliana

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa ameziagiza taasisi za Serikali ambazo hazijajiunga na mfumo wa kielektroni utakaowezesha mifumo ya Serikali kuwasiliana (GovESB)...

READ MORE

Serikali Kusaidia Matibabu Kwa Kaya Zisizokuwa Na Uwezo Kupitia Bima Ya Afya Ya NHIF

Na Sabina Wandiba Serikali kupitia Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), inatarajia kuanzisha huduma ya kuzilipia huduma ya...

READ MORE

Chuo Kikuu Cha Kampala (KIUT) Chang’ara Fainali Ya Ubingwa Mpira Wa Wavu (DAREVA)

Timu za Mpira wa Wavu (Volleball) wanawake na wanaume, za Chuo Kikuu cha Kampala kilichopo Jijini Dar es Salaam, zimetangazwa...

READ MORE

YAS Yashirikiana na Watu Tanzania Kurahisisha Upatikanaji wa Simu Janja Nchini

Dar es Salaam, Tanzania – 27 Juni 2025 – Kampuni ya mawasiliano ya YAS, kwa kushirikiana na Watu Tanzania kupitia...

READ MORE

Fadlu: Tuna Mechi Moja Tukishinda Tutakuwa Mabingwa

Kocha Mkuu wa Simba SC, Fadlu Davids ameweka wazi kuwa wana mchezo mmoja mkononi ambao wakishinda watakuwa mabingwa. Mchezo huo...

READ MORE

Jeshi La Iran: Marekani Na Israel Zisubiri Majibu Ya Majuto

Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (SEPAH) limelaani shambulio la Marekani dhidi ya vituo vya nyuklia vya...

READ MORE

Meridianbet Foundation Yaadhimisha Miaka Mitano ya Msaada wa Masomo Duniani

Meridianbet Foundation, taasisi ya kijamii chini ya Golden Matrix Group (NASDAQ: GMGI), imeadhimisha miaka mitano ya kutoa ufadhili wa masomo...

READ MORE

Makamu Wa Rais Dkt. Mpango Ashiriki Dominika Ya Ekaristi Takatifu Nchini Italia

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango, akiambatana na Mwenza wake Mama Mbonimpaye Mpango, wameungana...

READ MORE

Bunge la Iran Lapitisha Kufungwa kwa Mlango-Bahari wa Hormuz

Tehran, Iran – Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran limepitisha kwa kura nyingi muswada wa kufunga Mlango-Bahari wa Hormuz,...

READ MORE

Betway Yazindua Rasmi Mashindano ya Kwanza ya Aviator Legends

Kampuni kinara na mvumbuzi wa kimataifa katika tasnia ya michezo ya kubashiri mtandaoni imezindua rasmi mashindano ya kwanza ya Aviator...

READ MORE

Rais Samia Aongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri Ikulu Dar – Picha

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo Juni 22, 2025 ameongoza Kikao cha Baraza la...

READ MORE

Waziri Dkt Stagomena Awatunuku Shahada ya Uzamili na Stashahada Maafisa 71

Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mheshimiwa Dkt Stagomena Tax ametunuku Shahada ya uzamili na Stashahada kwa Maafisa...

READ MORE

Rais wa Zanzibar, Dkt. Mwinyi, Ahudhuria Kikao cha Baraza la Mawaziri Jijini Dar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ameungana na Mawaziri, Makatibu Wakuu pamoja na...

READ MORE

Jeshi la Polisi Lafafanua Ukamatwaji wa Wachokonozi – Video

Jeshi la Polisi limesema linawashikilia Vijana wawili wanaojulikana kwa jina la Wachokonozi ambao ni Joseph Mrindoko (37) na Jackson Kabalo...

READ MORE

Iran Yatoa Onyo Kufuatia Mashambulizi ya Marekani Kwenye Vituo vya Nyuklia

Serikali ya Iran imelaani vikali mashambulizi ya anga yaliyofanywa na Marekani dhidi ya vituo vyake vya nyuklia, ikiyataja kuwa ya...

READ MORE

Harmonize Aibua Gumzo na Kionjo cha ‘Best Couple’

Msanii nyota wa Bongo Fleva, Harmonize, ameibua mjadala mitandaoni baada ya kuachia kionjo cha wimbo wake mpya Best Couple kupitia...

READ MORE

Rwanda na DRC Wakubali Amani, Trump Ajisifu Bila Kutambuliwa Rasmi

Rais wa Marekani Donald Trump alishukuru jana Ijumaa kwa makubaliano ya amani yaliyojadiliwa jijini Washington DC kati ya Jamhuri ya...

READ MORE

Baraza la Maaskofu Lapiga Marufuku Hotuba za Wageni Madhabahuni

Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) limetangaza mabadiliko ya Liturujia, likiboresha baadhi ya vipengele vya ibada ikiwa ni pamoja na...

READ MORE

Katibu Mkuu wa CCM Atoa Pole kwa Familia ya Marehemu Mobutu Malima

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi leo Juni 20, 2025 amefika nyumbani kwa familia...

READ MORE

Familia ya Hayati Edgar Lungu Yapanga Mazishi Afrika Kusini Licha ya Taarifa ya Serikali ya Zambia

Juni 19, Rais wa Zambia Hakainde Hichilema alitangaza kuwa Rais wa zamani wan chi hiyo Hayati Edger Lungu atazikwa nchini...

READ MORE

Rais Dkt. Samia Chifu Hangaya Awa Mtemi Wa Sungusungu Mikoa 5

  MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan...

READ MORE

Fred Lowassa Amuenzi Dkt. Mengi, Amtambua Bilionea Mulokozi

Mbunge wa Jimbo la Monduli, Fred Lowassa, amewataka Watanzania kumuenzi kwa vitendo hayati Dkt. Reginald Mengi kwa kuwawezesha watu wenye...

READ MORE

Kampuni ya Meridianbet Yasaidia Usafi wa Mazingira Kinondoni

Kampuni kubwa ya ubashiri Tanzania, Meridianbet leo hii iliamua kufunga safari moja kwa moja mpaka mtaa wa Mpakni Kinondoni B...

READ MORE

Majaliwa Aagiza Usimamiaji Na Udhibiti Wa Ubora Wa Elimu

_▪️Asema lengo ni kuendelea kutoa wahitimu wenye uwezo wa kukidhi vigezo vya kimataifa_ _▪️Rais Dkt. Samia atoa milioni 100 kuchangia...

READ MORE

Kilio cha Teddy: Baba Anatokwa na Wadudu Jichoni, Anahitaji Msaada wa Haraka

Msichana mmoja anayeitwa Teddy, mkazi wa Chang’ombe, jijini Dar es Salaam, anapitia kipindi kigumu cha kumuuguza baba yake mzazi ambaye...

READ MORE