×

Habari

Polisi Kuongeza Ufanisi Wa Huduma Kwa Wananchi Baada Ya Mafunzo Marekani

Kamishna wa Polisi Utawala na Menejimenti ya Rasilimali wa watu CP Suzan Kaganda amesema kuwa baada ya kufunguliwa kwa Mafunzo...

READ MORE

MASHINDANO YA MBIO ZA MBUZI KUFANYIKA SEPTEMBA 21,2024 DAR

Kwa miaka 20, Mbio za Mbuzi zimekuwa zikiwaleta pamoja wadau katika siku iliyojaa furaha kwa lengo la kuchangia miradi ya...

READ MORE

Nilivyofanikiwa Kupata Kazi Baada ya Kusota na ‘Ujobless’ kwa Takribani Miaka Mitano

Hapa duniani hakuna maisha bila kazi, kazi ndio msingi wa maisha, katika kazi ndipo mtu anajipatia riziki yake (fedha), kazi...

READ MORE

Rais Samia Atengua uteuzi wa Mkuu wa Wilaya ya Longido, Marko Henry Ng’umbi

Rais Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Mkuu wa Wilaya ya Longido, Marko Henry Ng’umbi, ikiwa ni muda mfupi baada...

READ MORE

Mtukio Kilele cha Maadhimisho ya Kutimiza Miaka 60 la Jeshi JWTZ Jijini Dar (Picha +Video)

MATUKIO mbalimbali wakati wa kilele cha Maadhimisho ya kutimiza miaka 60 la Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ)...

READ MORE

Rais Samia Ashiriki Kilele Cha Miaka 60 Ya Jeshi La Ulinzi La Wananchi (Picha +Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki Kilele cha Miaka ya 60 ya Jeshi la...

READ MORE

Harris aahidi kudhibiti uhamiaji na kutozuia upelekaji silaha Israel

Kamala Harris ameahidi kuchukua msimamo mkali juu ya uhamiaji katika eneo la mpaka wa kusini wa Marekani na kusema hatozuia...

READ MORE

Rais Samia Kushiriki Mkutano Wa FOCAC jijini Beijing, China

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,  Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuongoza Ujumbe wa Tanzania katika Mkutano wa Kilele...

READ MORE

Mchengerwa: Wanafunzi Wote Wa Kutwa Wapate Chakula Shuleni

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa amewataka wakuu wa mikoa...

READ MORE

Rais wa Zanzibar Mwinyi Alivyowasili Indonesia Kumwakilisha Rais Dkt. Samia

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi amewasili jijini Bali, Indonesia Agosti 31, 2024...

READ MORE

Kamati ya Mawasiliano, Ardhi na Nishati Zanzibar Yasifu Uwekezaji wa Ujenzi wa Miundombinu na Uwanja wa Ndege

Kamati ya Mawasiliano, Ardhi na Nishati ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar Agosti 30, 2024, imetembelea na kukagua mradi wa ujenzi...

READ MORE

Spika Tulia Alivyogawa Mitungi ya Gesi Kwenye Shindano la Wapishi Baba na Mama Lishe

Serikali imekuwa na mikakati mbalimbali ya kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia nchini na lengo ifikapo mwaka 2034 asilimia...

READ MORE

Rais Samia Ashiriki Mashindano Ya Kimataifa Ya Qur’aan, Ahimiza Kudumisha Umoja – Video +Picha

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, leo Agosti 31, 2024 ameshiriki katika Mashindano ya Kimataifa ya...

READ MORE

Rais Samia Awakabidhi zawadi washindi wa mashindano ya Dunia ya Qur’an tukufu kwa Wanawake – Picha

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amewakabidhi zawadi washindi wa mashindano ya Dunia ya Qur’an...

READ MORE

Mashindano ya Utamaduni ya Mkuu wa Majeshi Yalivyohitimishwa na Washindi Kupatiwa Zawadi

Dar es Salaam 30 Agosti 2024: Mashindano ya Utamaduni ya Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jacob John Mkunda yaliyokuwa yakirindima...

READ MORE

Msikilize Mshiriki wa Tanzania katika Mashindano ya Dunia ya Quran – Video

Msikilize mshiriki wa Tanzania katika Mashindano ya Dunia ya Quran, Sumaiya Othman (13) alivyofanya makubwa jukwaani katika mashindano hayo yanayofanyika...

READ MORE

Mshambuliaji mpya Simba kuanza kazi dhidi ya Al Hilal leo

MSHAMBULIAJI mpya wa Simba, Leonel Ateba anatarajiwa kuanza kazi rasmi leo Agosti 31, 2024 katika mchezo wa kimataifa wa kirafiki...

READ MORE

Watu Wanne Wamefariki Dunia Wakiwemo Wanafunzi Watatu na Dereva

WATU wanne wamefariki dunia wakiwemo Wanafunzi watatu na Dereva mmoja katika ajali iliyohusisha magari mawili ikiwemo Coaster na gari la...

READ MORE

Serikali Kuendelea Kuboresha Sheria za Ulinzi wa Watoto

Serikali imesema imejidhatiti kuendelea kufanyia maboresho sheria za ulinzi wa Watoto ili ziweze kuendana na wakati huu wa sasa kwa...

READ MORE

Majaliwa: Tuondoe Vikwazo Vya Rufaa Za Matibabu Afrika Mashariki

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa ametoa wito kwa watoa huduma za afya wa nchi wananchama wa kanda ya Afrika Mashariki kuondoa...

READ MORE

Ofisi za TRA nchi Nzima Kuwa wazi Kuwahudumia Walipakodi siku ya Kesho

  Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inawataarifu Walipakodi na wananchi kwa jumla kuwa, Ofisi za TRA nchi nzima zitakuwa wazi...

READ MORE

ATCL Kuanza Safari za Ndege ya Mizigo Nchini Komoro

Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) inatarajiwa kuanza safari za ndege ya mizigo nchini Komoro baada ya kuongezeka kwa uhitaji baina...

READ MORE

Waziri Mkuu Asafiri kwa Usafiri wa treni ya Mwendo Kasi kutokea Dodoma kwenda Dar

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Agosti 30, 2024 amesafiri kwa kutumia Usafiri wa treni ya Mwendo Kasi (SGR) kutokea Dodoma...

READ MORE

Mbowe Akanusha Taarifa ya Kufanyika kwa Kikao cha Viongozi Kupanga Maandamano

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe amekanusha taarifa ya kufanyika kwa kikao cha viongozi wa chama...

READ MORE

Expanse Tournament Inatoa Washindi

Ile promosheni yenye mibonasi na zawadi kibao ya kasino bado inaendelea, jisajili na Meridianbet kisha cheza michezo ya kasino ya...

READ MORE

Ahukumiwa Miaka 30 Kwa Kusafirisha Dawa za Kulevya, Asema Zilikuwa Zinamburudisha

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuhukumu Raia wa Marekani, Brandon Dashaurn Summerlin kutumikia kifungo cha miaka 30 gerezani baada ya...

READ MORE

Benki ya TCB Kusaidia Ukuaji wa Tasnia ya Filamu na Sanaa Nchini

Benki ya Biashara Tanzania (TCB) imeshiriki katika kikao kazi cha uzinduzi wa Tamasha la Kimataifa la Maendeleo ya Filamu na...

READ MORE

Harris atetea utendakazi wa White House katika mahojiano ya kwanza

Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris alitetea mabadiliko yake ya sera, Rais Joe Biden, na muda wake katika Ikulu...

READ MORE

Usikae Kimya Ongea, Sema Kabla Aujaharibika

Mkaguzi wa Polisi Sada Salum ambaye ni Mkuu wa Dawati la Jinsia na Watoto Wilaya ya Mbozi Mkoa wa Songwe...

READ MORE

TCB Yathibitisha Dhamira Yake ya Kupanua Wigo wa Uwekezaji Nje ya mipaka ya Nchi

Benki ya Biashara Tanzania (TCB) imeendelea kuthibitisha dhamira yake ya kupanua wigo wa uwekezaji nje ya mipaka ya nchi.  ...

READ MORE

Rais Dkt. Samia Awatunuku Nishani Ya Miaka 60 Ya Jeshi La Ulinzi La Wananchi (Picha +Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan akitunuku Nishani ya Miaka 60 ya Jeshi la Ulinzi...

READ MORE

Tecno yaja na muonekano mpya wa kijanja

TECNO inakuja na teknolojia mpya kabisa ambayo haijawai kutokea kwenye ulimwengu wa smartphone duniani! Inayoenda kwa jina la Ultra-thin PHANTOM ULTIMATE...

READ MORE

Mwenezi Makalla Ahitimisha Ziara Ya Majimbo 10, Dsm Ushindi Mkubwa Serikali Za Mitaa

Katibu wa NEC-Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa Ndugu CPA Amos Makalla na Mlezi wa CCM Kichama Mkoa wa...

READ MORE

OSHA Yawakumbusha Waajiri, Wafanyakazi Umuhimu wa Usalama na afya Kazini

Mtendaji Mkuu wa OSHA,Khadija Mwenda akizungumza. WAKALA wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA) umeelezea umuhimu wa kulinda uwekezaji...

READ MORE

NMB Yaingia Makubaliano ya Ushirikiano wa Kimkakati na K-FINCO ya Korea Kusini

Benki ya NMB leo imesaini Mkataba wa Makubaliano (MoU) ya kushirikiana na Shirika la Korea Kusini linalojihusisha na kufadhili miradi...

READ MORE

Bodaboda Mtandao Sasa Waula Kwa Dili Jipya la Kubeba Vifurushi

Dar es Salaam, 30th August 2024:Waendesha bodaboda wanaofanyakazi na kampuni ya huduma za usafiri mtandaoni Bolt wamepata dili jipya baada...

READ MORE

Bunge Lapitisha Muswada wa Sheria ya Viwanja vya Ndege Tanzania

Bunge limepitisha Muswada wa Sheria ya Viwanja vya Ndege Tanzania wa Mwaka 2024 ambapo ukisainiwa na Rais utaanzisha Mamlaka ya...

READ MORE

Majaliwa: Toeni Taarifa Za Bidhaa Zisizo Rasmi – Video

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka Watanzania watoe taarifa kwa mamlaka husika pindi wanapokuta kuna bidhaa zisizo rasmi zimeagizwa kutoka nje,...

READ MORE

Tanzania Yajipanga Kutumia Nishati Ya Nyuklia Kuzalisha Umeme

Tanzania imeeleza mpango na utayari wake katika uendelezaji wa nishati ya nyuklia ikiwa ni moja ya vyanzo mbadala vya nishati...

READ MORE

Aliyepatikana na mafuvu ya vichwa vya binadamu Uganda kushtakiwa

Mwanamume mmoja raia wa Uganda anayedaiwa kupatikana na mafuvu 24 ya vichwa vya binadamu huenda alikuwa akiyatumia kutoa kafara ya...

READ MORE