×

Habari

Aweso Afanya Kikao na DAWASA, Wakandarasi na Watoa Huduma za Maji

Mapema leo Agosti 26, 2024 waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso amefika makao makuu ya Mamlaka ya Majisafi na Usafi...

READ MORE

NBC Yatoa Elimu ya Fedha kwa Wanafunzi, Walimu Pugu

Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imetoa elimu ya fedha na umuhimu wa uwekaji akiba kwa wanafunzi na walimu wa...

READ MORE

Rais Samia Aishukuru TAWA na Tanapa Kwa Kuleta Wanyamapori Hai Tamasha la Kizimkazi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amezishukuru Taasisi za Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori...

READ MORE

Shigongo Aishukuru Serikali Mapambano Dhidi ya Mamba na Miradi ya Maendeleo Buchosa

MBUNGE wa Buchosa, mkoani Mwanza, Mhe. Eric Shigongo James ameishukuru Serikali kwa kuonesha juhudi kubwa za mapambano dhidi ya janga...

READ MORE

Kamala Harris amtangaza Gavana wa Minnesota Tim Walz kama mgombea mwenza wake

Kamala Harris amemtangaza Gavana wa Minnesota Tim Walz kama mgombea mwenza wake Jumanne, vyombo vya habari vya Marekani vimeripoti, wakati...

READ MORE

Waziri Mkuu Amwakilisha Rais Dkt. Samia Katika Msiba Wa Mke Wa Mnadhimu Mkuu Wa Jeshi

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Agosti 24, 2024 amehani msiba wa Jokha Hassan Omary ambaye ni Mke wa Mnadhimu Mkuu wa...

READ MORE

Rais Samia Atembelea Banda La Wizara ya Maliasili na Utalii Kizimkazi Zanzibar

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Agosti 24,2024 ametembelea banda la Wizara ya...

READ MORE

Ziara ya Waziri Mkuu Majaliwa Ruangwa, Yazoa Wanachama Wapya Wa CUF na ACT Wazalendo

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi wa kijiji cha Namikulo wilayani Ruangwa Mkoa wa Lindi, Agosti 23, 2024.    ...

READ MORE

TFS Yapongezwa Kwa Kazi Nzuri ya Ulinzi Wa Misitu

Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana (Mb) ameipongeza Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) kwa...

READ MORE

Kampeni Ya Polisi Kunusuru Wanafunzi Shuleni, Vyuoni Yaja

  JESHI la Polisi limeanza kampeni ya ‘Tuwaambie Kabla Hawajaharibiwa’ inayolenga kuwanusuru wanafunzi wapya wa kidato cha kwanza, cha tano na...

READ MORE

Rais Samia Afunga Zoezi La Medani Katika Kuadhimisha Miaka 60 Ya JWTZ, Msata-Pwani (Picha +Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akifunga zoezi la Medani katika kuadhimisha Miaka 60...

READ MORE

Rais Samia Atoa Maagizo Kuhusu Ngorongoro

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amewahakikishia wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya...

READ MORE

RC Chalamila Afanya Kikao na Mashirika Yasiyo ya Kiserikali na Taasisi

-Atoa elimu na umuhimu wa mashirika yasiyo ya kiserikali katika Mkoa. -Ahamasisha uimarishwaji wa ushirikiano Kati ya serikali na mashirika...

READ MORE

Washtakiwa kesi ya Asimwe wasema hawajui kosa lao

Washitakiwa tisa wa mauaji ya mtoto mwenye Ualbino Asimwe Novath aliyeuwawa na kukatwa baadhi ya viungo vyake kisha mwili wake...

READ MORE

Kassim Majaliwa: Wazazi Pelekeni Vijana Wenu Shule

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka wazazi wahakikishe vijana wao wanakwenda kusoma kwenye shule za sekondari kwani bila elimu hawawezi kufika...

READ MORE

Mke Wangu Amerejea Nyumbani Baada ya Miaka Miwili

Katika miaka 21 niliyoishi kwenye ndoa, nimehitimisha kwa kusema kuwa; ndoa inahitaji uvumilivu mkubwa sana, ndoa inahitaji kuwa na moyo...

READ MORE

Pambano Jipya la Camera za Simu Samsung S24 vs Tekno Camon 30

Je, picha za camera gani zina ubora kwako S24 VS CAMON30? Ni vita mpya baridi ambayo watu wanaipambanisha kwa sasa...

READ MORE

Mahakama Kuu Yazuia kufuta vijiji katika Wilaya la Ngorongoro – Video

Mahakama Kuu Kanda ya Arusha imesimamisha utekelezaji wa amri iliyokuwa imetolewa na Serikali kupitia tangazo la Serikali namba 673 ya...

READ MORE

Coastal Union Yaachana na kocha wao David Ouma raia wa Kenya

Timu ya Coastal Union imeachana na kocha wao David Ouma raia wa Kenya, Ouma na Coastal wamefikia makubaliano ya pande...

READ MORE

Dangote kuanza kuzalisha Petroli Kuzalisha mapipa 650,000 Kwa Siku

Kiwanda cha kusafishia mafuta cha Dangote cha Nigeria kitakacho zalisha mapipa 650,000 ya mafuta kwa siku kinafanyiwa majaribio ya uzalishaji...

READ MORE

JKCI Yaendelea Kuwa Kivutio Kwa Mataifa Ya Afrika

MADAKTARI nane kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC, wanatarajiwa kutembelea Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), kwaajili ya...

READ MORE

Kassim Majaliwa: Tanzania Tuna Fursa Nyingi Za Utalii

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema bado kuna fursa nyingi hapa nchini ambazo zikitumika vizuri zinaweza kuongeza idadi ya watalii wa...

READ MORE

Rais Dkt. Samia Aweka Jiwe La Msingi Suluhu Sports Academy Kizimkazi, Zanzibar – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameweka Jiwe la Msingi Suluhu Sports Academy Mkunguni- Kizimkazi...

READ MORE

Msanii wa Zabron Singers, Marco Joseph Afariki Jijini Dar

Msanii wa Kundi la Zabron Singers, Marco Joseph amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Agosti 22, 2024 katika Taasisi ya...

READ MORE

Wananchi 367 Wahama Hifadhi Ya Ngorongoro

Muitikio wa wananchi wanaoishi katika eneo la hifadhi ya Ngorongoro kuendelea kuhama kwa hiari umepamba moto ambapo leo tarehe 22...

READ MORE

Serikali Yatangaza Neema kwa Wahandisi Wanawake Utekelezaji Miradi

Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Serikali imeweka mazingira wezeshi kwa ajili ya kutoa fursa kwa Wahandisi Wanawake kushiriki...

READ MORE

Makamu Wa Rais Mgeni Rasmi Wiki Ya Usalama Barabarani

Mkuu wa kikosi cha usalama barabarani nchini DCP Ramadhani Nga’zi amesema hadi kufikia Agosti 26 mwaka huu vyombo vyote vya...

READ MORE

JJAD Kagera Farmers Yamshukuru Rais Samia Kwa Bei Nzuri ya Kahawa

KAMPUNI  inayojihusisha na kilomo cha kahawa  JJAD Kagera farmers imeishukuru serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu...

READ MORE

Rais Dkt. Hussein Mwinyi Azungumza na Balozi wa Umoja wa Ulaya Nchini Tanzania

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na mgeni wake Balozi...

READ MORE

Makamu wa Rais Aweka Jiwe la Msingi Daraja la Mto Hurui-Kondoa

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiweka Jiwe la Msingi Ujenzi wa Daraja...

READ MORE

MwanaFA alivyozindua Mashindano ya Sanaa na Utamaduni ya Mkuu wa Majeshi

Dar es Salaam 19 Agosti 2024: Naibu Waziri wa Sanaa Utamaduni na Michezo Hamis Mwinjuma maarufu MwanaFA Jana alizindua rasmi...

READ MORE

Wakili Mkuu wa Serikali Akabidhiwa Ofisi

Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (aliyesimama kushoto) akipokea nyaraka za makabidhiano kutoka kwa aliyekuwa Wakili Mkuu wa Serikali,...

READ MORE

Simulizi za kusisimua… MKATABA – 5

ILIPOISHIA JUMATATU .. Kwa mara ya kwanza Suma alijishangaa kugundua kitu cha ajabu sana. Pamoja na mapenzi yake yote juu...

READ MORE

Michael Urio Alivyoshinda Kwa Kishindo Nafasi ya Naibu Meya Kinondoni

Diwani wa Kata ya Kunduchi, Michael Urio, jana alishinda kwa kishindo nafasi na Naibu Meya wa Manispaa ya Kinondoni baada...

READ MORE

JK akutana na Makamu wa Rais wa Nigeria Kashim Shettima mjini Abuja

Makamu wa Rais wa Nigeria, Kashim Shettima ametoa wito wa kuimarisha ushirikiano kati ya Nigeria na Tanzania, akisisitiza umuhimu wa...

READ MORE

WHO yasema Mpox inaweza kutokomezwa

Shirika la Afya Duniani (WHO) linaripoti kwamba hatua za kimsingi za afya ya umma zinaweza kukabiliana na milipuko ya mpox...

READ MORE

NSSF Yachangamkia Fursa ya Utoaji Elimu ya Hifadhi ya Jamii Tamasha la Kizimkazi 2024

NSSF YACHANGAMKIA FURSA YA UTOAJI ELIMU YA HIFADHI YA JAMII TAMASHA LA KIZIMKAZI 2024

READ MORE

Baada ya Tuzo za Wachezaji Kila Mechi, NBC Yaahidi ‘Makubwa’ Zaidi

Mdhamini Mkuu wa Ligi Kuu ya NBC, Benki ya NBC imesema mpango mpya wa utoaji wa tuzo kwa wachezaji bora...

READ MORE

Meridianbet Yaadhimisha Siku Ya Utu Duniani Kwa Namna Yake

Kmapuni ya Meridianbet imeadhimisha siku ya Utu duniani kwa namna ya tofauti baada ya kufika Kigamboni na kutoa msaada wa...

READ MORE

Rais Samia Azindua Shule ya Maandalizi iliyojengwa na benki ya NMB, Zanzibar

Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Agosti 20,2024 ameizindua Shule ya Maandalizi iliyojengwa na benki ya NMB katika...

READ MORE