×

Habari

Katibu Mkuu Dkt. Nchimbi Apokelewa Kwa Shangwe, Tayari Kuunguruma Mtwara

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, leo amewasili Mkoani Mtwara kwa ziara ya kikazi ya siku...

READ MORE

Waziri Kombo Aanza Kazi Rasmi katika Ofisi ndogo za Wizara jijini Dar

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) ameanza kazi rasmi katika Ofisi...

READ MORE

Dkt. Abbasi Atembelea Makumbusho za Mahatma Gandhi

Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii ambaye Wizara hiyo kwa Tanzania inasimamia sekta ndogo ya Makumbusho, Dkt. Hassan...

READ MORE

Serikali Yalifunga Kanisa la Christian Life Church la Kiboko ya Wachawi

SERIKALI ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeagiza kufungwa Kanisa la Christian Life Church linaloongozwa na Mchungaji Domique Kashoix Dibwe...

READ MORE

Uchaguzi wa TLS Wapamba Moto, Mgombea Nkuba Aeleza Sera Zake 

Wakati Uchaguzi Mkuu wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS) unaotarajiwa kufanyika Agosti 2, 2024,wangobea urais wa chama hicho waendelea...

READ MORE

Lucy Anayedaiwa Kuuawa Kikatili Na Mpenzi Wake Azikwa Kimara, Dar (Picha +Video)

Simanzi, huzuni na vilio vimetawala kwenye maziko ya mrembo Lucy Haule ambaye anadaiwa kuwa ameuawa kwa kuchomwa na kitu chenye...

READ MORE

RAS Arusha: RC Makonda Yupo Likizo na Ni Mzima wa Afya – Video

Baada ya kuibuka kwa minong’ono na maswali kuhusiana na ukimya wa Mkuu wa mkoa wa Arusha, Paul Christian Makonda hatimaye...

READ MORE

Victorious Centre Of Excellency wasisitiza dhamira ya kuwasaidia watoto wenye usonji

  Na Mwandishi Wetu Kituo cha Victorious Centre of Excellency nchini Tanzania kimesisitiza dhamira yake ya kujitolea katika kutoa matibabu...

READ MORE

Mauaji Tena Dar: ‘Boyfriend’ Adaiwa Kumuua Kikatili Mpenzi Wake – Video

Mama wa marehemu Lucy Haule ambaye inaelezwa kuwa ameuawa kwa kuchomwa na kitu chenye ncha kali kwenye moyo na mwanume...

READ MORE

Djuma Shaban Ajiunga Na ‘Wauaji Wa Kusini’ Namungo

Beki wa zamani wa Yanga Sc, Djuma Shaban (31) raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo amejiunga na ‘Wauaji wa...

READ MORE

Diwani Urio  Ashinda Unaibu Meya Kinondoni

Madiwani wa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni, wamemchagua Michael Urio (Diwani wa Kata ya  Kunduchi), kuwa Naibu Meya Mteule wa Halmashauri...

READ MORE

Nabii Suguye Akemea Vitendo va Kikatili kwa Watoto, Ataka Viongozi Waongoze Mapambano

Viongozi wa dini wametakiwa kuwa mfano na vinara katika kupambana na vitendo vya ukatili wa kijinsia hasa kwa watoto katika...

READ MORE

Vodacom Yazindua Kampeni Kabambe ya Ni Balaaa: Kila Mtu Ni Mshindi

Kampuni ya Teknolojia na Mawasiliano Vodacom Tanzania Plc leo imezindua kampeni kabambe inayojulikana kama “Ni Balaaa” ikiwa na lengo la...

READ MORE

Waziri Kairuki Ateta na Mkurugenzi Wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Utalii Duniani

Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi wa Shirika la Umoja wa...

READ MORE

Ruto amteua Douglas Kanja kuwa Insepkta mpya wa polisi

Rais wa Kenya William Ruto, amemteua Douglas Kanja, kuwa Inspekta Jenerali wa polisi, ofisi yake imesema, ili kujaza nafasi iliyoachwa...

READ MORE

Shahidi Aeleza Mume Wake Alivyopigwa Na Nathwani Mpaka Kuzimia

SHAHIDI Kiran Lalit Ratilal (52), ameileza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam jinsi mume wake alivyopigwa na mshtakiwa...

READ MORE

Kurasa za Magazeti ya leo Julai 26, 2024

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza...

READ MORE

Maandalizi NBC Dodoma Marathon Yakamilika, RC Dodoma Awataka Wananchi Kuchangamkia Fursa

MKUU wa Mkoa wa Dodoma Bi Rosemary Senyamule amethibitisha kukamilika kwa maadalizi ya msimu wa tano mbio za NBC Dodoma...

READ MORE

Kuelekea  Nane-Nane 2024, GF Trucks na EFTA Wawakumbuka Wakulima

Kampuni ya GF Trucks & Equipment na Kampuni ya mikopo ya EFTA zimeingia makubaliano ya kuwakopesha wakulima na wafugaji vifaa...

READ MORE

Vijana Waitwa Kwenye Usaili na Mkuu wa Jeshi la Polisi, Majina Yapo Hapa

Mkuu wa Jeshi la Polisi anapenda kuwatangazia kuwa vijana walioomba ajira ya Jeshi la Polisi kupitia mfumo wa Ajira TANZANIA...

READ MORE

Vyuo vikuu 15 Vya Nje Ya Nchi Kushiriki Maonyesho Ya Elimu Arusha

Maonyesho hayo ya siku moja yatafanyika tarehe 27 kwenye hoteli ya Four point by Sheraton Hoteli zamani ikijulikana kama New...

READ MORE

Tanzania, India Wajadiliana Uhifadhi wa Misitu na Wanyamapori

UJUMBE wa Serikali ya India umekutana kwa mazungumzo na Ujumbe wa Serikali ya Tanzania, na Mwakilishi wa Shirika la Chakula...

READ MORE

Wanafunzi Sekondari/ Msingi Mvomero Wapewa Elimu ya Kujikinga na Ukatili

Julai 23, 2024 Katibu Tawala wa Wilaya ya Mvomero Bw. Said Nguya akiwa ameambatana na viongozi wa dini, maafisa Halmashauri...

READ MORE

Polisi Arekodiwa Akimkanyaga Kichwani Mtu Kwenye Uwanja wa Ndege

Afisa wa polisi amerekodiwa akimpiga akimkanyaga kumpiga kichwani mwanamume alikuwa amelala chini kwenye Uwanja wa Ndege wa Manchester nchini Uingereza....

READ MORE

Mwenyekiti wa Bodi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Leonard Mususa azungumza na wanahisa

Mwenyekiti wa Bodi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Bw. Leonard Mususa akizungumza na wanahisa wakati wa hafla ya Mkutano...

READ MORE

ALAF Yakabidhi Mabati Yenye Thamani ya Sh 35m kwa MOI

ALAF Limited (Tanzania), moja ya makampuni yanayoongoza katika kutoa suluhisho kwa ujenzi imekabidhi mabati yenye thamani ya Sh35 milioni kwa...

READ MORE

Rais Samia Aongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri Ikulu Chamwino, Dodoma

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Chamwino...

READ MORE

Majaliwa: Serikali Ina Mahusiano Mazuri Na Sekta Binafsi

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema maendeleo yaliyopo nchini hivi sasa yametokana na uhusiano mzuri uliopo baina ya Serikali na sekta...

READ MORE

Diwani Kimwanga Afanya Kikao Na Wazazi Hofu Utekaji Watoto Dar

Diwani wa Kata ya Makurumla Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo mkoani Dar es Salaam, Bakari Kimwanga, amewataka wazazi na walezi...

READ MORE

Alikiba Kukinukisha Tamasha la Simba Day Uwanja wa Mkapa

MENEJA wa habari wa Simba, Ahmed Ally leo Julai 24, 2024 amemtambulisha msanii nguli wa mziki wa kizazi kipya (Bongo...

READ MORE

Mama Wa Mtoto Aliyekatwa Koromeo Dar Amwaga Machozi, Afunguka Mapya – Video

Familia ya mtoto Maliki Hashimu (6) mkazi wa Goba jijini Dar, ambaye wiki moja iliyopita inadaiwa alifanyiwa kitendo cha kikatili...

READ MORE

Mkurugenzi wa Idara ya Secret Service Marekani ajiuzulu

Mkurugenzi wa idara ya ulinzi wa viongozi (Secret Service), Kimberly Cheatle, amejiuzulu, siku moja baada ya kukiri kuwa idara hiyo...

READ MORE

Tanzania Yaunga Mkono Agenda za Shirika la Utalii Duniani za Uwekezaji Wa Kimkakati

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeunga mkono agenda za Shirika la Utalii Duniani (UN Tourism) kuhusu uwekezaji wa...

READ MORE

Maeneo ya Urithi wa Dunia Yanachangia Kukuza Utalii

  Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Dkt. Hassan Abbasi amesema sekta ya utalii nchini Tanzania inaendelea kufanya...

READ MORE

PBZ Yazindua Huduma ya Bima Kupitia Benki Kuchochea Matumizi ya Bima

  Na Mwandishi Wetu Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ) imezidua huduma ya bima kupitia benki (Bancassurance) ikiwa ni muendelezo...

READ MORE

Habari Kubwa Za Magazeti Ya Tanzania Leo Julai 24, 2024

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza...

READ MORE

Aweso Amtumbua Kigogo MORUWASA

Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amemsimamisha kazi, Meneja wa usambazaji Maji Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira Morogoro (MORUWASA)...

READ MORE

Serikali Kuzingatia Maendeleo ya Viwanda Dira ya 2050

Na Mwandishi Wetu SERIKALI imesema katika maandalizi ya dira ya taifa  2050 imeweka kipaumbele kikubwa kwenye maendeleo ya ya viwanda...

READ MORE

Rai Samia Atengua uteuzi wa Viongozi TTCL, USAF na UCSAF

Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Viongozi mbalimbali akiwemo Zuhura Sinare Muro, Mwenyekiti wa Bodi ya...

READ MORE

Babu Yetu Alitufundisha Siri ya Mafanikio Kwamba Wakati Unapohisi Hofu Zaidi Ndiyo Muda wa Kufanikiwa

Yeye sio tu mzee anayengojea simu ya mwisho, hakuwa amekata tamaa, akiwa pale nyumbani, Babu yangu alitaka kutoa njia ya...

READ MORE