×

Habari

Waziri Mkuu: Serikali Yatumia Sh. Trilioni 10 Ujenzi Wa SGR

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali imetumia sh. trilioni 10.69 kwa ajili ya ujenzi wa reli ya kisasa kwa kiwango...

READ MORE

Dkt. Biteko: Watendaji Wazembe Tanesco Kuanza Kuchukuliwa Hatua Kila Mwezi

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati,  Dkt. Doto Biteko ameagiza ripoti ya taarifa kila wiki ya Kituo cha Huduma...

READ MORE

Aliyekuwa spika wa bunge Afrika kusini ashtakiwa kwa tuhuma za ufisadi

Nosiviwe Mapisa-Nqakula, ambaye alijiuzulu wadhifa wa uspika Jumatano, alifikishwa mahakamani mjini Pretoria baada ya kufika polisi na kukamatwa rasmi. “Mashtaka...

READ MORE

Rais Samia Amteua Alice Edward Mtulo kuwa Naibu Wakili Mkuu wa Serikali

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Alice Edward Mtulo kuwa Naibu Wakili Mkuu wa...

READ MORE

Uteuzi Mkurugenzi wa Manispaa ya Sumbawanga Atenguliwa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Catherine Michael Mashalla katika nafasi ya...

READ MORE

Walionaswa Kwenye V8 Wahukumiwa Mwaka Mmoja Jela – Video

Wahamiaji haramu raia wa Ethiopia wamehukumiwa kifungo cha mwaka mmoja na nusu jela au kulipa faini ya Milioni moja kwa...

READ MORE

Elimu Ya Matumizi Ya Nishati Safi Yafikishwa Kwa Kinamama Mwalusembe Pwani

Katika kuunga juhudi za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kuhakikisha wanawake wanatumia nishati...

READ MORE

Waziri Mkuu Atoa Kauli Kuhusu Usimamizi wa Usalama na Afya Nchini

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa amesema Serikali inachukua kila jitihada kuhakikisha wafanyakazi nchini wanalindwa...

READ MORE

Simalenga Akunwa Na Jitihada Za Kilimanjaro One Kukuza Utalii Wa Kiutamaduni Bariadi

Mkuu wa Wilaya ya Bariadi, Mh. Simon Simalenga amaipongeza kampuni ya Kilimanjaro one Travel and Tours kkwa kuunga mkono kwa...

READ MORE

Kasino ya 5 Hot Strike Ulimwengu wa Ushindi

Matunda ni lishe muhimu katika mwili wa binadamu lakini kwa upande wa kasino ni kiungo kinachotumika kutoa ushindi kwa wachezaji...

READ MORE

Video: Rais Samia Amuapisha Makonda Na Viongozi Wengine Aliowateua Ikulu, Dar

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewaapisha Viongozi Wateule katika ukumbi wa Kikwete Ikulu jijini Dar...

READ MORE

NMB Yafuturisha Wabunge na Watoto Wenye Mahitaji Maalum Dodoma

        Tunapoendelea na mwezi Mtukufu wa Ramadhani, Benki ya NMB imepata nafasi ya kujumuika na wabunge wa...

READ MORE

Tanzania Yapongezwa Usimamizi Rasilimali Madini, Mafuta Na Gesi Asilia

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko Aprili 3, 2024 amekutana na kuzungumza na Mwenyekiti wa...

READ MORE

Seti ya kwanza ya treni ya kisasa ya EMU Yawasili katika Bandari ya Dar

Shirika la Reli Tanzania (TRC) limesema Seti ya kwanza ya treni ya kisasa ya Electric Multiple Unit (EMU), vichwa vitano...

READ MORE

Rais Samia Ateua viongozi Watatu wa Mahakama Nchini

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Bw. Sylvester Joseph Kainda kuwa Jaji wa...

READ MORE

Wanawake Wa Mwalusembe Pwani Wakihimizwa Kutunza Mazingira Kwa Kuachana Na Kuni Na Mkaa

Pwani 4 Aprili 2024: Balozi  wa Heshima wa Shelisheli nchini Tanzania, Maryvonne Pool kwa kushirikiana na Kampuni ya Oryx Gas,...

READ MORE

Samsung Yaongeza Ubunifu Na Usalama Kwa Wateja Kupitia Galaxy A55 5G Na A35 5G

Zikiwa na maboresho ya program za usalama na uono angavu zaidi, simu mpya za toleo la Galaxy A zinaleta uhuru...

READ MORE

Waziri Mkuu Majaliwa: Mapato Ya Ndani Yafikia Trilioni 17 – Video

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema kati ya Julai, 2023 na Januari, 2024 Serikali imefanikiwa kukusanya sh. trilioni 17.1 ambazo ni...

READ MORE

Amos Makalla Achukua nafasi ya Paul Makonda CCM

Chama cha Mapinduzi (CCM) kimemteua Amos Makalla kuwa Katibu wa halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo akichukua...

READ MORE

Jokate Mwegelo Ateuliwa kuwa Katibu wa mkuu wa Umoja wa Vijana (UVCCM)

Aliyekuwa Katibu wa UWT Jokate Mwegelo ameteuliwa kuwa Katibu wa mkuu wa Umoja wa Vijana (UVCCM) Jokate anachukua nafasi ya...

READ MORE

John Mongella Achaguliwa Kuwa Naibu Katibu Mkuu Wa CCM Bara

John Mongella amechaguliwa kuwa Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara, akichukua nafasi ya Anamringi Macha ambaye ameteuliwa kuwa Mkuu wa...

READ MORE

Ally Hapi Achaguliwa Kuwa Katibu Mkuu Wa Umoja Wa Wazazi Tanzania

Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi imemchagua Ally Salum Hapi kuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Wazazi Tanzania Hapi ana...

READ MORE

Rais Samia Aongoza Kikao cha Kamati Kuu ya CCM jijini Dar – Picha

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Samia Suluhu Hassan aongoza Kikao cha Kamati Kuu ya CCM, kilichokutana leo Jumatano,...

READ MORE

Historia ya Kale ya Misri Katika Book of Egypt Kasino

Nchi ya Misri ni miongoni mwa mataifa yenye mchango mkubwa katika historia ya mambo ya kale, unapozungumzia historia ya Pyramids,...

READ MORE

Rais wa Senegal Amteuwa Kiongozi wa Upinzani Ousmane Sonko kuwa Waziri Mkuu

RAIS mpya wa Senegal, Bassirou Diomaye Faye, amemteuwa kiongozi maarufu wa upinzani Ousmane Sonko, kuwa Waziri Mkuu wa nchi hiyo,...

READ MORE

Mwanafunzi awashambulia wanafunzi wenzake kwa bunduki Shuleni Finland

Mwanafunzi mwenye umri wa miaka 12 amefariki na wengine wawili wamejeruhiwa baada ya mwanafunzi mwenzao kuwashambulia kwa bunduki ndani ya...

READ MORE

Bei Za Mafuta Zapanda, Kuanza Kutumika Leo Aprili 3, 2024

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura), imetangaza bei mpya za mafuta zitakazoanza kutumika leo Jumatano Aprili...

READ MORE

EWURA Yaandaa mfumo uitwao EWURA e-LUC kufuatilia utendaji wa Mamlaka za Majisafi na Usafi wa Mazingira

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imeandaa mfumo uitwao EWURA e-LUC, ili kufuatilia utendaji wa Mamlaka...

READ MORE

Adel Zrane Afariki Duniani Ghafla mchana wa leo Rwanda

Kocha wa viungo aliyewahi kuitumikia Klabu ya Simba kuanzia 2018 mpaka mwaka 2021 alipoondoka, Adel Zrane amefariki duniani ghafla mchana...

READ MORE

Jumanne ya Leo Shangwe Lipo Meridianbet, una nafasi ya kupiga mkwanja

Ndugu Mteja Jumanne ndio hii imewadia kabisa na wewe una nafasi ya kupiga mkwanja endapo utaweka pesa yako meridianbet na...

READ MORE

Rais Mwenye umri Mdogo Zaidi wa Senegal Aapishwa

Bassirou Diomaye Faye, rais wa tano wa Senegal, ameapishwa kuwa rais katika hafla iliyofanyika katika mji mkuu, Dakar. Mapema mwezi...

READ MORE

Benki ya CRDB Yaingia mkataba na TFF kudhamini Kombe la Shirikisho

Benki ya CRDB imeingia mkataba rasmi na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) ambapo itatoa zaidi ya shilingi Billioni tatu kudhamini...

READ MORE

Meli Unayoweza Kununua Chumba kwa Mabilioni Yatua Kwa “Royal Tour” Dar

The World-Residences at Sea, moja ya meli kubwa za kifahari duniani na ambayo imekuwa ikizunguka dunia kwa miaka 20 sasa...

READ MORE

Watanzania Waaswa Kudumisha Amani na Upendo Mfungo wa Ramadhan

Watanzania waumini wa dini ya Kiislamu nchini kote wamehimizwa kudumisha amani na upendo miongoni mwao wakiwa wanaendelea na mfungo wa...

READ MORE

TRA Yatoa Taarifa ya Makusanyo ya Kodi Katika Robo ya Tatu ya Mwaka

KATIKA kipindi cha robo ya tatu ya Mwaka wa fedha 2023/24, Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imefanikiwa kukusanya kiasi cha...

READ MORE

Dk Nchimbi Amtembelea Mzee Yusuf Makamba jijini Dar

  Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi, amemtembelea kumjulia hali mmoja wa Makatibu Wakuu...

READ MORE

Rais wa Congo (DRC) Amteua Judith Tuluka Suminwa kuwa Waziri mkuu

Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Felix Tshisekedi Aprili Mosi amemteua Waziri wake wa Mipango, Judith Tuluka Suminwa...

READ MORE

Naibu Waziri Mkuu Akagua Matengenezo Ya Mashine Za Kufua Umeme Kidatu

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amefanya ziara ya dharura katika mitambo ya kufua umeme ya...

READ MORE

Mashindano Ya Gofu Kumuenzi Lina Kuanza Kurindima Tena Aprili 11 Morogoro

Baada ya Awamu ya kwanza ya Mashindano ya Gofu  yaliyofanyika Moshi kumuenzi  mchezaji wa zamani wa timu ya taifa ya...

READ MORE