×

Habari

ALAF Limited Yazindua Maonyesho Ya Kazi DIT

ALAF Limited, kampuni inayoongoza na inayoaminiwa kwa kuzalisha vifaa vya ujenzi Tanzania, Jumamosi ilizindua Maonyesho ya kazi kwenye Taasisi ya...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Juni 15, 2024

Gazeti lako bora la Championi linalotoka mtaani mara mbili kwa wiki, Jumatatu na Ijumaa, sasa limekuja kivingine. Tunatoa zawadi kwako...

READ MORE

Soma Hapa… Makadirio Na Matumizi Ya Bajeti Kuu 2024/2025 – Video

Waziri wa Fedha ,Mwigulu Nchemba amesema serikali imesikia kilio cha kikokotoo kutoka kwa wastaafu ambapo sasa Rais Samia Sukuhu Hassan…

READ MORE

Naibu Waziri Chande Aipa Kongole Benki ya Mkombozi

NAIBU Waziri wa Fedha, Hamad Chande ameipongeza Benki ya Biashara ya Mkombozi,kuwa imepanda kutoka hatua moja kwenda nyingine ndani ya...

READ MORE

Jeshi la Sudan lauwa kamanda wa RSF, Darfur

Jeshi la Sudan limesema Ijumaa kwamba limemuua Ali Yagoub Gibril, kamanda wa ngazi ya juu wa kundi la kijeshi la...

READ MORE

Picha ya Pamoja ya Zuhura Yunus na Mhe. Rais Samia Baada ya Kuapishwa

Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Zuhura Yunus, akiwa kwenye picha ya...

READ MORE

Sahara Ventures Yaitangaza Rasmi Sahara Sparks 2024

[Juni 14, 2024, Dar es Salaam] – Sahara Ventures yatangaza rasami tukio la Sahara Sparks 2024 litakalo fanyika tarehe 27...

READ MORE

Mrembo Aliyemuibia Mpenzi Wake Mamilioni Akamatwa Hotelini

Kuna muda mwingine msamaha huchukuliwa kama aina fulani ya udhaifu, na hayo ndio yaliyompata Jones Ouko ambaye anafanya kazi ya...

READ MORE

Waziri wa Fedha, Dk Mwingulu Ataja Takwimu za Kutisha Ajali Barabarani

Waziri wa Fedha, Dk Mwingulu Nchemba ameweka hadharani takwimu za kustaajabisha kuhusu ajali za vyombo vya moto 10,093 zilizosababisha vifo...

READ MORE

Bilioni 136.2 Zimetumika Urejeshaji Wa Miundombinu Barabara Na Madaraja

Serikali imetoa jumla ya Shilingi Bilioni 136.2 kupitia Wakala ya Barabara (TANROADS) na Wakala ya Barabara za Mijini na Vijijini...

READ MORE

Bolt Yazindua Kituo Cha Huduma Kwa Madereva Ili Kuimarisha Uhusiano Wao Nchini Tanzania

Dar es Salaam, Juni 14, 2024: Bolt, Kampuni inayoongoza kwa huduma za usafirishaji Tanzania na Barani Afrika, imezindua kituo cha...

READ MORE

Heineken Yazindua ‘Afterwork’ By Heineken Nchini Tanzania

Dar es Salaam, Tanzania – 14 Juni 2024 –Wafanyakazi nchini Tanzania walipata fursa ya kipekee ya kupumzika siku ya Alhamisi,...

READ MORE

Balozi Nchimbi Bungeni Akifuatilia Bajeti

Matukio mbalimbali katika picha, yakimuonesha Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk Emmanuel John Nchimbi, akiwa ndani na...

READ MORE

Uegeshaji wa Malori Mikumi Watajwa Kuchangia Uhalifu, Ajali na Biashara Haramu

 Kutokana na kuwepo na vituo vya uegeshaji magari makubwa ya Mizigo holela wa katika eneo la Mikumi(Kidoma na Green) Wilaya...

READ MORE

Bajeti ya Serikali 2024/2025: Marufuku Kulipa Kwa Fedha za Kigeni – Video

Serikali imeelekeza kuanzia Julai 1, 2024, wadau wote wa ndani, taasisi za umma, wafanyabiashara, asasi za kiraia, mashirika ya kimataifa...

READ MORE

Rais Samia na Wasaidizi wake wafuatilia Bunge la Bajeti Kuu ya Serikali 2024/25

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na Wasaidizi wake wakati akifuatilia Bunge la Bajeti...

READ MORE

Naibu Katibu Mkuu Zuhura Awasili Ofisini Rasmi Mtumba jijini Dodoma

Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Zuhura Yunus amewasili rasmi ofisini na...

READ MORE

Polisi Wamkamata aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Yahaya Nawanda

Jeshi la polisi limemkamata aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Yahaya Nawanda (46) kwa tuhuma za kumwingilia kinyume na maumbile...

READ MORE

Rais Samia Awaapisha Viongozi Mbalimbali Ikulu Chamwino, Dodoma

    Rais Samia amemuapisha pia Kenan Laban Kihongosi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu na amemuapisha pia Stanslaus Haroon...

READ MORE

Waziri Mkuu: Tunawasaidia Wawekezaji Wazawa Kuwa Mahiri

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema Serikali itaendelea kuwajengea uwezo Watanzania wanaojishughulisha na masuala ya uwekezaji na kuweka mazingira wezeshi ili...

READ MORE

Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki, Dk Shogo Mlozi Afariki

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson ametangaza kifo cha Mbunge wa Bunge la Afrika...

READ MORE

Benki ya Exim, Mpango wa Taifa wa Damu Salama Kuendesha Kampeni Mikoa Mitano

    Benki ya Exim kwa kushirikiana na Mpango wa Taifa wa Damu Salama (NBTS) imeandaa mpango wa kitaifa wa...

READ MORE

Chama cha Inkatha Freedom na ANC kuunda serikali ya Afrika Kusini

Chama cha upinzani nchini Afrika Kusini Inkatha Freedom Party Jumatano kimetangaza kuwa kitashirikiana na chama tawala cha African National Congress...

READ MORE

Kocha wa Viungo Youssef Ammar Aondoka Yanga, Afunguka

ALIYEKUWA mtaalamu wa Viungo Yanga, Youssef Ammar amefunguka kuondoka katika klabu hiyo, hivyo hatakuwa sehemu ya Benchi la Ufundi la...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Juni 13, 2024

Tunatoa zawadi kwako ewe msomaji ambapo kwa kununua GAZETI LA CHAMPIONI, utapata fursa ya kuzawadiwa jezi mpya za Simba na...

READ MORE

Balozi Nchimbi Aongoza Mapokezi ya Katibu Mkuu, Mgombea Urais wa Frelimo

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dk Emmanuel John Nchimbi amewaongoza viongozi mbalimbali wa Chama na Serikali, ngazi...

READ MORE

Rais Samia Afanya Mazungumzo na Mgombea Urais wa Msumbiji kupitia Chama cha FRELIMO

Rais Samia leo Juni 12, 2024 amefanya mazungumzo na Mgombea Urais wa Msumbiji kupitia Chama cha FRELIMO Ndugu Daniel Fransisco...

READ MORE

GGML yaahidi kuendelea kushirikiana na UDSM kudhamini tafiti, ubunifu

  Na Mwandishi Wetu KAMPUNI ya Geita Gold Mining Limited (GGML) imeahidi kuendelea kushirikiana na Serikali kupitia Chuo Kikuu cha...

READ MORE

Jinsi Nilivyomnasa Mama Mkwe Akiweka Hirizi Kwenye Chumba Ninacholala na Mke Wangu

Jina langu ni Sarah mkazi wa Kandara huko Muranga nchini Kenya. Nimekuwa nikiishi katika hali ya misukosuko ya mara kwa...

READ MORE

Chama cha Jacob Zuma chataka uchaguzi Afrika Kusini urudiwe

Chama cha tatu kwa ukubwa cha kisiasa nchini Afrika Kusini kimeiomba mahakama kuu ya taifa hilo kuzuia kuanza baadaye wiki...

READ MORE

Walimu Wakuu 20,661  wa Shule za Msingi  za Serikali na Binafsi Wapewa Mafunzo ya Mtaala wa Mwaka 2023

Jumla ya Walimu Wakuu 20,661  wa shule za msingi  za Serikali na Sizizo za serikali nchini wamepewa mafunzo kuhusu  utekelezaji...

READ MORE

Kiboko Ya Wachawi Alivyowaheshimisha Wanahabari Kwa Kufanya Nao Mkutano Baharini

Nabii Domonic maarufu Kiboko ya Wachawi anayeendeshea huduma za kinabii na uponyaji kwenye kanisa lake lililopo Buza jijini Dar wikiendi...

READ MORE

Waziri Silaa Amrejeshea Mama Kiwanja Chake Alichohangaikia Miaka 40 – Video

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa amemrejeshea eneo lake mama mmoja aliyejulikana kwa jina la mama...

READ MORE

Puma Tanzania Yampongeza Rais Dk. Samia Kwa Kuweka Mazingira Mazuri Ya Uwekezaji Ikikabidhi Gawio La Sh.Bilioni 12.2

Dar es Salaam 11 Juni 2024: Kampuni ya Mafuta ya Puma Tanzania imempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...

READ MORE

Waziri Kairuki Ashiriki Baraza Tendaji La Shirika La Utalii Duniani

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, imeshiriki ufunguzi wa Mkutano wa 121 wa Baraza Tendaji la Shirika la Umoja...

READ MORE

Makamu wa Rais wa Malawi afariki dunia katika ajali ya ndege

Taarifa kutoka Ofisi ya Rais ya Malawi imesema kuwa ndege iliyokuwa imembeba Makamu wa Rais wa nchi hiyo, Saulos Chilima...

READ MORE

Benki Ya Exim Yaja Na Kampeni ya Wateja Kushinda Gari Mpya, Bajaj na Fedha Taslimu

BENKI ya Exim Tanzania imezindua kampeni maalum inayolenga kuwashawishi wateja wake wanaomiliki simu za mkononi kufanya miamala zaidi kwa kutumia...

READ MORE

Timu 16 kushiriki CECAFA, Simba na Yanga ndani

TIMU za Tanzania zinazoshiriki michuano ya kimataifa zitapata nafasi nzuri ya kujiandaa na msimu mpya kwa kucheza na timu za...

READ MORE