×

Habari

Kizz Daniel Aunguruma na EP Mpya ya Thankz Alot

MKALI wa muziki nchini Nigeria, Kizz Daniel ametoa EP yake mpya inayokwenda kwa jina la ‘Thankz Alot’, ambayo inakwenda kuthibitisha...

READ MORE

Abdulrahman Kinana Akitarajiwa Kuanza Ziara, Mapya Yaibuka

WAKATI Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Abdulrahman Kinana akitarajiwa kuanza ziara Aprili 14, 2024 tayari kuna mtafaruku...

READ MORE

Wakazi Bonde La Mto Msimbazi Leo Ikiwa Siku Ya Mwisho Kuishi Eneo Hilo Baadhi Hawana Pakwenda

Dar es Salaam 12 Aprili 2024: Waliokuwa wakazi wa Bonde la Mto Msimbazi ambao wametakiwa kuhama maeneo hayo baada ya...

READ MORE

Makonda Achafua Hali Ya Hewa Mbele Ya Rais Samia-Atishia Kuwataja Vigogo Wanaomtukana Rais Mtandaoni – Video

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda amesema anawafahamu wanaolipa watu ili kumtukana Rais Samia Suluhu Hassan kwenye mitandao ya...

READ MORE

Kadio, Nyenza wang’ara raundi 18 Za Kwanza Mashindano Ya Gofu Kumuenzi Lina

Morogoro, 12 Aprili 2024: Wachezaji wa kulipwa wa gofu kutoka Dar es Salaam, Bryson Nyenza na Hassan Kadio waliibuka vinara...

READ MORE

Wanafunzi Saba Wahofiwa kupoteza maisha baada ya gari la Shule kuanguka kwenye korongo Arusha – Video

Wanafunzi Saba wanahofiwa kupoteza maisha baada ya gari la Shule ya Msingi Ghati Memorial kuanguka kwenye korongo linalopitisha maji Mitaa...

READ MORE

Rais Samia Alivyowasili Mkoani Arusha Asubuhi ya leo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amewasili mkoani Arusha asubuhi ya leo na kupokelewa na...

READ MORE

Nabii GeorDavie amuunga mkono Rais Samia

Ofisa Elimu Sekondari wa Wilaya ya Monduli Mwalimu Magreth Muro, kwa niaba ya Mkurugenzi wa Halimashauri ya Monduli amekabidhiwa na...

READ MORE

Tume ya Taifa ya Uchaguzi Kutambulika Rasmi Kuwa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi

Tume ya Uchaguzi (NEC) itabadilishwa jina ifikapo Aprili 12, 2024 ambapo sasa itaanza kutambulika kama Tume Huru ya Taifa ya...

READ MORE

Mafuriko Makubwa ya mvua Yatokea Arusha Usiku wa Kuamkia Leo, Yasomba vitu mbalimbali – Video

MAFURIKO makubwa ya mvua yametokea mkoani Arusha usiku wa kuamkia leo Alhamisi Aprili 11, 2024 ambayo yanasomba vitu mbalimbali ikiwemo...

READ MORE

Kiongozi wa Hamas Athibitisha wanawe watatu wa kiume kuuawa katika shambulio la anga

Kiongozi wa kisiasa wa Hamas Ismail Haniyeh amethibitisha kuwa wanawe watatu na wajukuu zake wanne waliuawa katika shambulio la anga...

READ MORE

Tarura Pwani Yaongeza Mtandao Wa Barabara

Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) imezidi kuimarisha mtandao wa barabara ndani ya mkoa wa Pwani na kufungua...

READ MORE

Rais Samia Ashiriki Baraza la Idd-El-Fitri, katika ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha JNCC -(Picha +Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akishiriki Baraza la Idd-El-Fitri, katika ukumbi wa Kituo cha Mikutano...

READ MORE

Video: Mtoto Wa Lowassa Ajilipua Makonda Kupelekwa Arusha – ”Yalitokea Yaliyotokea – Namtegemea Sana”…

Fredrick Lowassa Mbunge wa jimbo la Monduli, jijini Arusha amefanya mahojiano na waandishi wa habari na kueleza kuwa Mkuu wa...

READ MORE

Rais Samia Ashiriki ibada ya Eid El Fitri katika Msikiti Mkuu wa Bakwata

  Rais Samia Suluhu Hassan ameshiriki ibada ya Eid El Fitri katika Msikiti Mkuu wa Bakwata (Mfalme Mohammed VI wa...

READ MORE

TBL Na CRDB Bank Foundation Washirikiana Kufadhili Kilimo Cha Shayiri Msimu Wa Kilimo 2024

Dar es Salaam 9 Aprili 2024:  TBL, moja ya watengenezaji wa bia na waajiri wakubwa nchini Tanzania na mshirika muhimu...

READ MORE

TRAMPA Yazindua mafunzo maalumu kwa wataalamu wa utunzaji wa kumbukumbu

Chama cha Menejimenti ya Kumbukumbu na Nyaraka Tanzania (TRAMPA) kimezindua mafunzo maalumu yanayolenga kujenga uwezo wa kitaaluma kwa wataalamu wa...

READ MORE

Kamanda Muliro Awataja Wezi Mfuko Wa NSSF, Watu 30 Wakamatwa – Video

Jeshi la Polisi pamoja na Maafisa wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii wa NSSF kuanzia Desemba 2023 hadi Aprili 2024...

READ MORE

Majaji Kuamua Ikiwa Zuma Atagombea Kwenye Uchaguzi wa Mei 29

Majaji nchini Afrika Kusini leo Jumanne wataamua ikiwa rais wa zamani Jacob Zuma ataruhusiwa kugombea kwenye uchaguzi wa Mei. Zuma,...

READ MORE

Waziri Jafo Ashiriki Uzinduzi Wa Nembo Ya Miaka 60 Ya Muungano

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo amesema Watanzania wana kila sababu...

READ MORE

Mbunge wa Kwahani, Zanzibar Afariki Ghafla, Wabunge Wamsalia Bungeni – Video

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Tulia Ackson ametangaza taarifa za kifo cha aliyekuwa Mbunge wa Kwahani,...

READ MORE

TAMISEMI: Mil. 435 Zatumika Kujenga Madaraja, Singida

NAIBU Waziri Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Zainab Katimba amesema katika mwaka wa fedha 2023/24 jumla ya Shilingi milioni 435 zimetumika katika...

READ MORE

TASAC: Watu 17 wameokolewa tukio la kuzama kwa Meli Kigoma

Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) limetoa taarifa kuwa Watu 17 wameokolewa katika tukio la kuzama kwa Meli ya...

READ MORE

Fishtastic Kasino Bora Ushindi ni Uvuvi wa Samaki

Fishtastic ni kasino ya mtandaoni ambayo imeandaliwa na Red Tiger. Mchezo huu una sifa nyingi na bonasi za kasino zenye...

READ MORE

Mbunge Keysha Ampa Tano Rais Samia, Agawa Mitungi200 Ya Gesi Kwa Watu Wenye Ulemavu Dodoma

Mbunge wa Viti maalum Mhe Khadija Shabani Taya (Keysha) akiwa na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Kazi, Ajira,...

READ MORE

Madereva Wa Bodaboda Wameeleza Ambavyo Wamekuwa Sehemu Ya Vyanzo Vya Ajali

Madereva wa bodaboda Wilayani Muheza mkoani Tanga wameeleza namna ambavyo wamekuwa sehemu ya vyanzo vya ajali za barabara kutokana na...

READ MORE

Watu 90 Wamefariki Baada Ya Feri Kuzama Katika Pwani Ya Kaskazini Mwa Msumbiji

WATU zaidi ya 90 wamefariki baada ya feri kuzama katika pwani ya kaskazini mwa Msumbiji, mamlaka za eneo zilisema. Maafisa...

READ MORE

Waziri Kairuki Akutana Na Waongoza Watalii, Asikiliza Kero Zao – Video

Waziri wa Maliasili na Utalii, Angellah Kairuki (Mb) amefanya kikao na Waongoza Watalii kwa lengo la kusikiliza changamoto zao, maoni...

READ MORE

Rais Dk. Mwinyi Ashukuru Dua Za Hayati Mzee Mwinyi

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema familia ya Hayati Mzee Ali Hassan Mwinyi...

READ MORE

Liquid Intelligent Technologies Yajizatiti Kuhakikisha Tanzania Inakuwa Kitovu Cha Teknolojia Kwa Afrika Mashariki

Liquid Intelligent Technologies (Liquid), sehemu ya Cassava Technologies, kampuni ya teknolojia iliyopo Afrika nzima inayofanya shughuli zake nchini Tanzania, imejizatiti...

READ MORE

Yanga dhidi ya Simba ‘Kariakoo Derby’ Kuchezwa Aprili 20, 2024

Mchezo wa Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2023/2024 kati Yanga dhidi ya Simba Sc almaarufu ‘Kariakoo Derby’ ambao awali...

READ MORE

Polisi Ni Watu Na Jamii Ni Polisi Tushirikiane Kwa Pamoja Kutokomeza Ukatili Na Uhalifu

Waamini wa Kanisa la Moraviani lililopo Majengo mjini Tunduma wilayani Momba kwa Mchungaji Japhet Nyangwa wametakiwa kuendelea kutoa huduma ya...

READ MORE

Rais Samia Ashiriki Maadhimisho ya Miaka 30 tangu kutokea Mauaji ya Kimbari Kigali, Rwanda

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Aprili 7, 2024 ameshiriki Maadhimisho ya Miaka 30 tangu...

READ MORE

Makamu Wa Rais Ashiriki Kumbukizi Ya Hayati Abeid Amani Karume – Picha

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk. Hussein Ali Mwinyi ameongoza kisomo cha Dua na Hitma...

READ MORE

Hoja Ya Mbunge Shabiby Tozo Za Simu Kupiga Tafu Mfuko Wa NHIF, Ilivyopokelewa

Siku mbili baada ya Mbunge wa Jimbo la Gairo mkoani Morogoro, Ahmed Shabiby kuishauri serikali kuweka sh 2,000 katika tozo...

READ MORE

Mwimbaji wa FM Academia, Malu Stonchi Aanguka Jukwaani na Kufariki Dunia

Mwimbaji nyota wa FM Academia, Malu Stonch amefariki dunia baada ya kuanguka ghafla jukwaani. Tukio hilo limetokea katika Ukumbi wa...

READ MORE

Timu Ya Afya Ilemela Yapewa Siku 30 Kujitathmini

Mkurugenzi wa huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na Lishe Ofisi ya Rais -TAMISEMI Dkt. Rashid Mfaume ametoa mwezi mmoja kwa...

READ MORE

Serikali Ya Uingereza Yatangaza Mikakati Mipya Ya Ushirikiano Na Tanzania Katika Kuboresha Uwekezaji

Serikali ya Uingereza imetangaza mipango na mikakati mipya ya ushirikiano na Serikali ya Tanzania ili kuzimarisha ushirikiano katika Sekta za...

READ MORE

Waziri Wa Dermark Akutana Na Dr. Nchemba, Dr. Jafo Na Prof. Mkumbo

Kampuni za Denmark zimealikwa kuja kuwekeza nchini katika sekta za uchukuzi, nishati, madini, mazingira na uchumi wa buluu ambazo ni...

READ MORE