×

Habari

Brela- Ada Ya Usajili Wa Kampuni Zinaanzia Shilingi Elfu 20 Hadi Milioni 50

  WAKALA wa wa Usajili wa Biashara na Leseni(BRELA) wamezitaja ada za usajili wa kampuni mpya ambapo gharama zake zinaanzia...

READ MORE

Ndugu wa Wanaodaiwa Kujiuza Sinza Wajitokeza Viunga Vya Mahakama Kudai Ndugu zao

Watuhumiwa Wanaodaiwa kukamatwa katika maeneo ya Sinza siku kadhaa zilizopita wakidaiwa kufanya biashara ya kuuza miili yao wamefikishwa jana Juni...

READ MORE

Rais Samia Alivyowasili Jijini Dar baada ya kuhudhuria Uapisho wa Rais wa Afrika Kusini

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan Juni 19, 2024 amewasili Jijini Dar es Salaam mara baada...

READ MORE

Waziri Simbachawene Apongeza Mageuzi ya Kiteknolojia PSSSF

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Utumishi na Utawala Bora, George Simbachawene (kushoto), akiangalia kwa karibu jinsi huduma za PSSSF...

READ MORE

Makamu wa Rais Dkt. Mpango Atembelea na Kuifariji Familia ya Katibu Tawala Aliyefariki Kwa Ajali

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amesema watumishi wa Umma wanapaswa kumuenzi aliyekuwa...

READ MORE

Brela inakuwezesha kupata usajili wa viwanda kwa njia ya kieletroniki popote ulipo

KATIKA kuhakikisha wanaendelea kurahisisha utoaji huduma Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) umesema kupitia mfumo wa kimtandao wa...

READ MORE

Mjane Afanikiwa Kulipa Mkopo wa Mamilioni Ndani ya Muda Mfupi na Kuokoa Nyumba

Je, umewahi kuwa katika hali kuandamwa na madeni na hukujua jinsi ya kujiondoa hapo? Je, umewahi kukumbana na tishio la...

READ MORE

Miss Tanzania Aomba Msaada wa Kuokoa Maisha ya Mama Yake – Video

Mrembo ambaye amewahi kubeba mataji mbalimbali ya urembo ikiwemo Miss Sinza, Miss Kinondoni na mshiriki wa Miss Tanzania 2010, Amisuu...

READ MORE

Paroko na baba mzazi wakamatwa kwa mauaji ya mtoto mwenye ualbino

Jeshi la Polisi kwa kushirikiana na Raia wema wanaochukia vitendo vya kinyama baada ya msako mkali kuanzia May 31, 2024...

READ MORE

Putin na Kim Wawasili katika viwanja vya Kim Il Sung kwa ajili ya sherehe za makaribisho

Rais Vladimir Putin wa Urusi na mwenzake wa Korea Kaskazini Kim Jong Un wamewasili katika uwanja wa Pyongyang – uwanja...

READ MORE

Barabara ya Jangwani Yafungwa kutokana na mafuriko, DART Wafunguka!

Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka DART umewaarifu watumiaji wa mabasi ya – Mfumo wa DART kuwa leo, Juni 19, 2024,...

READ MORE

CRDB, NALA Kuwapa Diaspora Urahisi wa Kutuma Fedha Nyumbani

  Benki ya CRDB leo imetangaza ushirikiano na kampuni ya Nala kuwawezesha Watanzania waishio nje ya nchi ‘Diaspora’ kutuma fedha...

READ MORE

Rais Samia Alivyowasili Afrika Kusini kuhudhuria hafla ya Uapisho wa Rais mteule Cyril Ramaphosa

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewasili katika uwanja wa Ndege wa Waterkloof Pretoria nchini...

READ MORE

Rais Samia Kushiriki hafla ya uapisho wa Rais Mteule, Cyril Ramaphosa Afrika Kusini

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajia kusafiri kuelekea Jamhuri ya Afrika Kusini leo jioni kwa...

READ MORE

RAS Kilimanjaro Afariki Dunia Kwa Ajali

KATIBU Tawala Mkoa wa Mkoa wa Kilimanjaro, Tixon Nzunda amefariki Dunia katika ajali ambayo imetokea eneo la Njia panda ya...

READ MORE

Makala Maalum Kuhusu ya Mafanikio ya TANROADS

MAKALA MAALUM KUHUSU MAFANIKIO YA TANROADS KWENYE UJENZI WA MIUNDOMBINU MKOANI KAGERA Mafanikio hayo hii leo yanaangazia Wakala wa Barabara...

READ MORE

Mafunzo ya BRELA Kwa Waandishi wa Habari Yazinduliwa na Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara

Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) imetoa mafunzo kwa waandishi wa habari kwa lengo la kuwajengea uwezo namna...

READ MORE

Putin afanya ziara yake ya kwanza Korea Kaskazini baada ya miaka 24

Rais wa Russia Vladimir Putin anatarajiwa kuwasili mjini Pyongyang leo Jumanne katika ziara nadra ambayo inaweza kupelekea kusainiwa “mkataba wa...

READ MORE

Watu wanane wafariki kwenye ajali ya treni ya India

Treni moja ya mizigo imegongana na nyingine ya abiria kwenye jimbo la mashariki mwa India la West Bengal mapema Jumatatu,...

READ MORE

Cheza kasino ya mtandaoni na uwe tajiri! Expanse Tournament inatoa mzigo mkubwa

Endelea kucheza kasino ya mtandaoni na uwe tajiri! Expanse Tournament inatoa mzigo mkubwa wa washindi 40, jishindie bonsai za kasino...

READ MORE

Majaliwa: Watanzania Tuendelee Kudumisha Amani, Upendo Na Mshikamano

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametoa wito kwa Watanzania kuendelea kudumisha amani, upendo, umoja, mshikamano, kuhurumiana sambamba na kujiepusha na vitendo...

READ MORE

Rais Samia Aswali Swala ya Eid Al Adha katika Msikiti wa Mikocheni, Dar

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia akiwa leo Juni 17, 2024 aswali swala ya Sala ya Eid Al...

READ MORE

Waziri Mkuu Mgeni Rasmi Swala ya Eid na Baraza la Eid Kitaifa

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Juni 17, 2024 ameswali swala ya Idd El-Adh’haa katika Msikiti wa Mfalme Mohamed VI BAKWATA,...

READ MORE

Amend Na Ubalozi Wa Uswiss Tanzania Wameendelea Kutoa Mafunzo Ya Usalama Barabarani

SHIRIKA la Amend kwa kushirikiana na Ubalozi wa Uswiss nchini Tanzania wameendelea na kampeni ya kutoa mafunzo ya usalama barabarani...

READ MORE

Rais Samia Asherehekea Siku Ya Mtoto Wa Afrika Pamoja Na Wajukuu Ikulu Jijini Dar

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesherehekea Siku ya Mtoto wa Afrika akiwa pamoja na wajukuu,...

READ MORE

WCF Watoa Elimu Ya Mfuko wa Fidia kwa Wahariri wa Vyombo vya Habari

Vyombo vya habari nchini vimehimizwa kushirikiana na Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) katika kutoa elimu na habari sahihi kwa...

READ MORE

Waziri Mkuu Aagiza RC, DC Kufanya Mapitio Ya Vikundi Vya Jogging

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya nchini kufanya mapitio ya vikundi vyote vya Jogging...

READ MORE

Makamu wa Rais Akiwasili Malawi Kushiriki Mazishi

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwasili katika Uwanja wa Ndege...

READ MORE

Agizo la Waziri Silaa Kutekelezwa, Waliovamia Eneo la NSSF Kuanza Kuondolewa

*Mkuu wa Wilaya ya Temeke afika eneo la tukio na kutoa angalizo. Hatimaye waliovamia ardhi ya Mfuko wa Taifa wa...

READ MORE

Waziri Ummy Akutana na Kufanya Mazungumzo na Kido, Balozi wa Kampeni ya Holela-Holela Itakukosti

Waziri wa Afya Ummy Mwalimu leo amekutana na kufanyia mazungumzo na KIDO ambaye ni balozi wa kampeni ya Holela-Holela itakukosti....

READ MORE

Mwanajeshi Ashtakiwa Kumuambukiza kwa makusudi virusi vya Ukimwi mpenzi wake – Video

Mwanajeshi wa zamani wa Afrika Kusini akutwa na hatia ya kutaka kuua na kubaka baada ya kumuambukiza makusudi virusi vya...

READ MORE

Rais Samia Amteua Thobias Makoba kuwa Msemaji Mkuu wa Serikali, Afanya Uteuzi Viongozi Mbalimbali – Video

Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Thobias Makoba kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari – Maelezo na Msemaji Mkuu wa Serikali...

READ MORE

Ramaphosa kutangaza baraza la mawaziri jumuishi katika serikali ya umoja wa kitaifa

Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa, aliyechaguliwa tena kwa muhula wa pili baada ya chama chake cha ANC kudhoofika na...

READ MORE

Kampuni Na Ubalozi Wasitisha Mkataba Na Kipanya Kisa Tuhuma Za Mwijaku – Video

Wanasheria wanaomwakilisha Masoud Kipanya, wamewaambia waandishi wa habari kwamba kwene barua walitomuandikia Mwijaku, walimueleza kuwa anatakiwa kumlipa mteja wao kiasi...

READ MORE

Waziri Mkuu Majaliwa amezindua Kiwanda cha kutengeneza virutubishi

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amezindua Kiwanda cha kutengeneza virutubishi (premix blending plant), cha kampuni ya SANKU – PHC Tanzania. Viongozi...

READ MORE

Wanafunzi wa Kike 2000 Kunufaika na Mradi wa ‘Code Like a Girl’

  ZAIDI ya wasichana 2000 wenye umri kati ya miaka 14-18 kutoka shule za sekondari zilizopo kutoka mikoa ya Mwanza,Mbeya...

READ MORE

Cyril Ramaphosa Achaguliwa Tena kuwa Rais wa Afrika Kusini

Bunge nchini Afrika Kusini limemchagua tena Rais Cyril Ramaphosa kuwa Rais wa nchi kwa muhula mwingine tena baada ya kufanyika...

READ MORE

Waziri Silaa Aingilia Mgogoro wa Ardhi Mapinga Uliotaka Zaidi ya Nyumba 100 Zivunjwe

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa ameingilia kati mgogoro wa ardhi uliozua taharuki katika eneo la...

READ MORE

Chongolo Amwapisha Elias Mwandobo Kuwa Mkuu Mpya wa Wilaya ya Momba

Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Daniel Chongolo amemwapisha Mkuu Mpya wa Wilaya ya Momba, Elias Mwandobo, uapisho uliofanyika Juni 14,2024...

READ MORE

Mwijaku Amuomba Radhi Mtangazaji Mwenziye Masoud Kipanya – Video

Mtangazaji na muamasishaji wa mambo mbalimbali kwenye mitandao ya kijamii Burtoin Mwenda ‘Mwijaku’ amemuomba radhi Mtangazaji mwenziye Masoud Kipanya kwa...

READ MORE