×

Habari

Azam Yathibitisha Kumsajili Mshambuliaji Adam Adam kwa mkataba wa mwaka mmoja

Klabu ya Azam fc imethibitisha kumsajili mshambuliaji Adam Adam kwa mkataba wa mwaka mmoja kutoka Mashujaa Fc. Adam ambaye anarejea...

READ MORE

TEMESA Yasitisha Huduma za Kivuko cha MV. Kigamboni

Huduma zote za Kivuko cha MV. Kigamboni kinachovusha Abiria kati ya Magogoni Kivukoni na Kigamboni zimesitishwa kuanzia Juni 7, 2024,...

READ MORE

Rais Samia Afanya Uteuzi na Uhamisho wa Viongozi, Petro Magoti Ateuliwa Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe

Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Petro Magoti Itozya kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe akichukua nafasi ya Fatma Almas Nyangasa...

READ MORE

Rais Samia Amteua Zuhura Yunus kuwa Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu

Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Zuhura Yunus kuwa Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye...

READ MORE

TAREA Yaomba Serikali Kupitia Upya Sera Ya Nishati

JUMUIYA ya Wadau wa Nishati Jadidifu Tanzania (TAREA) imeiomba serikali kupitia Wizara ya Nishati kufikiria kupitia upya Sera ya Nishati...

READ MORE

Sahara Consult And The Mastercard Foundation EdTech Fellowship Reveal The First Cohort Of 10 Start-ups Set To Transform Tanzania’s Education Sector

Dar es Salaam, Tanzania – June 7, 2024 – Sahara Consult has named the 10 homegrown Tanzanian EdTech companies that...

READ MORE

Dk.Nchimbi Aweka Historia Mwanga-Kilimanjaro

Melfu ya  Wananchi wa Wilaya ya Mwanga Mkoani Kilimanjaro wamejitokeza kwa wingi kumpokea Katibu mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM)...

READ MORE

Waziri Silaa Azuia Utapeli Eneo la NSSF

*Ni baada ya NSSF kuweka mtego wa kuwakamata matapeli hao *Walitaka ‘kumpiga’ Mama milioni nane, wakaishia mikononi mwa polisi Waziri...

READ MORE

Msafara wa Dkt. Nchimbi Wasimamishwa Himo-Moshi

Mamia ya Wananchi wa wamejitokeza kwa wingi kumpokea Katibu mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt Emmanuel pamoja na...

READ MORE

Samsung, Watu Simu Waungana Kuwawezesha Wananchi Kupata Simu Kwa Mikopo Nafuu

Katika jitihada za kuongeza matumizi ya simu janja, Samsung Electronics East Africa imeungana na Watu Simu kuzindua kampeni inayojulikana kama...

READ MORE

Waziri Silaa Azuia Utapeli Eneo La NSSF, Walitaka ‘Kumpiga’ Mama Milioni Nane

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa amempa siku 14 Kamishna wa Ardhi Mkoa wa Dar es...

READ MORE

Msemaji Mkuu wa Serikali Afunguka Ziara Ya Rais Samia Korea – Video

Mkurugenzi wa Idara ya Habari (Maelezo) na Msemaji Mkuu wa Serikali, Mobhare Matinyi, leo Juni 6, 2024 amefanya mahojiano na...

READ MORE

Chama tawala Afrika Kusini Chawasiliana na Wapinzani Kuunda Serikali ya Umoja wa Kitaifa

Chama tawala nchini Afrika Kusini cha African National Congress (ANC) Jumatano kilisema kimewasiliana na wapinzani ili kuunda serikali ya umoja...

READ MORE

Zuhura Yunus Na Viongozi Wengine Wazungumza kuhusu Ziara ya Rais Samia Korea – Video

Mkurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu Zuhura Yunus pamoja na Viongozi wengine wa Serikali wakizungumza na Waandishi wa Habari Ikulu...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Juni 6, 2024

Gazeti lako bora la Championi linalotoka mtaani mara mbili kwa wiki, Jumatatu na Ijumaa, sasa limekuja kivingine. Tunatoa zawadi kwako...

READ MORE

GGML inavyoshirikisha wazawa katika uchimbaji endelevu wa madini

  Na Mwandishi Wetu Msukumo wa serikali wa kushirikisha wazawa katika mnyororo wa fursa kwenye sekta ya madini umezidi kuleta...

READ MORE

Wale Jamaa wa 666 Jiunge Na Chama Huru Cha Freemason, Tunarudisha Mke Waburutwa Kisutu

WAKAZI 12 wa Sumbawanga Mkoani Rukwa wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashtaka ya kuongoza genge la...

READ MORE

Balozi Dk. Nchimbi Alivyoongoza Mkutano wa Ndani na Wananchama wa CCM Kilimanjaro

  Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk Emmanuel John Nchimbi, akizungumza na Wanachama wa CCM, wawakilishi wa...

READ MORE

Tigo Yatambulisha ‘Sako Kwa Bako’ Kwa Upatikanaji Wa WhatsApp Bila Malipo

Dar es Salaam, Juni 6, 2024 – Tigo, kampuni inayoongoza nchini Tanzania ya maisha ya kidijitali, inajivunia kutangaza uzinduzi wa...

READ MORE

Sherehe Ya Ukuaji Wa Ecobank Tanzania Ulioambatana Na Mafanikio Ya Ecobank Group

Dar es Salaam, June 2024 – Ecobank Tanzania inayo furaha ya kutangaza ukuaji na mafanikio yake lukuki katika mwaka wa...

READ MORE

Korea Yatoa Bilioni 422 Ujenzi wa Hospitali ya Binguni

Serikali ya Tanzania na Serikali ya Jamhuri ya Korea zimesaini Mkataba wa Mkopo nafuu wa Shilingi bilioni 422.16 kwa ajili...

READ MORE

Rais Samia Ashiriki Mkutano wa Biashara katika Hoteli ya Lotte Jijini Seoul, Jamhuri ya Korea

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo June 5, 2024 pamoja na Viongozi mbalimbali wameshiriki Mkutano...

READ MORE

Maagizo ya Dr Nchimbi Kuhusu Boom Tutatekeleza Haraka- Prof Mkenda

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Prof. Adolf Mkenda amesema Wizara yake imepokea maelekezo ya Katibu Mkuu wa CCM...

READ MORE

Sitasahau Mume Wangu Alivyotaka Kunipa Talaka Baada ya Kuishi Naye kwa Miaka 17

Jina langu ni Anna, na miezi michache iliyopita, mimi na mume wangu tulikaribia kutengana. Iliniogopesha sana kwa sababu nilimpenda sana....

READ MORE

Mama Mwenye Watoto 11 Amuomba RC Makonda Msaada Ili Aweze Kimudu Kuwahudumia Watoto

Mama mwenye watoto 11 mkazi wa kata ya Mateves halmashauri ya Arusha, Wilaya ya Arumeru amemuomba Mkuu wa Mkoa wa...

READ MORE

Tanzania kushirikiana na Korea kusini kujenga bandari ya uvuvi Bagamoyo

Serikali ya Tanzania imetolea ufafanuzi juu ya mkopo iliyopokea kutoka Korea Kusini, ulioambatana na makubaliano ya ushirikiano katika sekta ya...

READ MORE

Bei Za Mafuta Zapanda, Kuanza Kutumika Leo Juni 5, 2024… Dar Petrol ni Tsh. 3261, Dizeli Tsh. 3122

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imetangaza kushuka kwa bei kikomo za bidhaa za mafuta ya...

READ MORE

Taifa Gas Yapewa Tuzo Kutambua Jitihada Zake Utunzaji wa Mazingira Nchini

    Makamu wa Rais Dk Philip Mpango amekabidhi tuzo maalum kwa kampuni ya nishati ya gesi ya kupikia ya...

READ MORE

FAO, EU, Wizara Ya Kilimo Wazindua Kampeni Ya Lishe Bora Kwa Njia Ya Daladala

Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO), kwa kwa kushirikiana na Umoja wa Ulaya (EU) na Wizara...

READ MORE

Aweso, Bashe Wakutana Kuweka Mikakati Maelekezo ya Rais Samia

Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso(MB) amefika ofisi ya Waziri wa Kilimo Mhe Hussein Bashe(MB) Wizara ya Kilimo jijini Dodoma...

READ MORE

GGML Inavyoendeleza Uhifadhi Endelevu wa Mazingira Geita

Na Mwandishi Wetu SHUGHULI za uchimbaji madini hutakiwa kwenda sambamba na urejeshaji mazingira ambayo kwa namna moja au nyingine yanaweza...

READ MORE

Hotel ya Ramada Resort Yakanusha Kuhusika na Vitendo Vya Kinyume na Maadili

Hivi karibuni tulipata taarifa za madai kutoka katika baadhi ya mitandao ya kijamii kuhusu hoteli yetu, Ramada Resort Dar es...

READ MORE

Uwekezaji Wa Kweli ni Katika Sekta ya Nishati Safi ya Kupikia, Rais Samia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ameiambia dunia kuwa uwekezaji wa kweli katika nishati ni...

READ MORE

Waziri Aweso amtumbua Mkurugenzi Mtendaji wa ROMBOWSSA

TAARIFA KWA UMMA Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Hamidu Aweso (Mb) amemuondoa katika nafasi yake Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya...

READ MORE

Dkt. Nchimbi Ahitimisha Ziara Kwa Kishindo Arusha

NCHIMBI AHITIMISHA ZIARA KWA KISHINDO ARUSHA

READ MORE

Access Microfinance Bank Sasa Kutambulika Kwa Jina Selcom Microfinance Bank

Tunayofuraha kutangaza hatua muhimu katika safari yetu ya kuelekea kukuhudumia vyema, Benki ya Access Microfinance Tanzania Limited inaendelea kukua, kuimarika...

READ MORE

Rais Samia Ashiriki ufunguzi wa mkutano wa Korea na Afrika uliofanyika Kintex

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Juni 4, 2024 ameshiriki katika ufunguzi wa mkutano...

READ MORE

Sako Kwa Bako Ya Tigo Na Energizer Kutambulisha Simu Mahiri Inayolingana Na Mahitaji Ya Wateja

Dar es Salaam, Juni 4, 2024 – Tigo, kampuni inayoongoza kwa mtindo wa maisha ya kidijitali nchini Tanzania, inafuraha kuzindua...

READ MORE

Kampuni ya Saruji Mbeya Yatangaza Malipo ya Gawio kwa Wanahisa Wake

Kampuni ya Saruji Mbeya (Mbeya Cement Company Limited-MCCL) imetangaza malipo ya gawio kwa wanahisa wake muongo mmoja baada ya malipo...

READ MORE